UDSM kwa sasa ni cha kata, imebaki historia tu

Wew usidhani watu hatuijui UDSM
Three kibao tu zinaenda UDSM ina depend na course
UDOM bila 1 ya 6 PCB husomi MD ila sio kusema UDOM bila one ya 6 husomi
Same applied to
Weka ushahidi wa division 3 kuwepo udsm.
 
UDOM kitoe mkuu

Hapo s ndyo PhD za mchongo zinatolewa

Waambie maprof wa hapo udom Nina mil 5 mfuko wa shat nahtaj PhD ya uchumi

...Kama kuna dalali anicheki inbox plse..
Unasahau hao maprof wengi wa UDOM ni zao la UDSM
 
Hakuna ambaye halijuhi hilo wanajisahurisha tu. Udsm haikufurahishwa kabisa na uanzishwaji wa course za sayansi ambazo nyingi ni kama za Udsm, kwa kuhofia competition wakaanzisha propaganda za kukichafua chuo cha udom, ndiyo maana udsm wanakiandama chuo cha udom kila uchao, jiulize kwa nini hakuna ushindani kati ya udsm na vyuo vingine, kibaya zaidi siasa hii ya elimu imepiga hodi kwenye ofisi na korido za wasimamizi wa hivi vyuo kitu ambacho hakina afya kwenye elimu yetu.
 
Udsm ni chuo kilichokuwa kimejipambanua miaka hiyo kama chuo bora kabisa katika ukanda huu wa maziwa makuu na afrika kwa ujumla kwa kuzalisha viongozi na wasomi mahili katika nyanja ya siasa,uchumi,na sheria.

Sifa hiyo ilikijengea chuo uimara na kukifanya kiwe chuo bora afrika mashariki na kati kwa wakati ule huku kikiwa nguzo imara na tunu ya elima ya juu ya Tanzania miaka ile na siyo sasa.

Huku systems zote za nchi zikiwa zinasimamiwa na kuongozwa na wasomi na viongozi kutoka UDSM, ambao hata hvyo hawajaweza kulinufaisha taifa kimaendeleo bali wakijikita kwenye utunganji wa sera za hovyo na kusaini mikataba mibovu ya kulikwamisha taifa kimaendeleo.

Kwa sasa siyo tu kwamba elimu inayotolewa na udsm ni mbovu bali hata mifumo na sera za uendeshaji wa chuo hiki zimeparaganyika hasa kuanzia mwaka 2010, hivyo kupeleka kuzalisha wasomi wenye uelewa mdogo wa mambo na wasioweza kushindana tena katika soko la ajira kama zamani.

Hali hii imepelekea chuo hiki kujikuta kwenye ushindani mkubwa kutoka vyuo vingine kama SUA ambacho naweza sema ndicho chuo pekee kinachofanya tafiti za kweli na zenye tija hapa Tanzania ,MUHAS, MZUMBE,UDOM,NELSON MANDELA na ARDHI.

Kutokana na sababu hizo chuo hiki kimebaki kutembelea historia kwenye nyanja zote na kujikita kwenye siasa ya elimu, kutokana na wigo mpana wa kuwa na wasomi wengi waliotapakaa kila idara za serikali, wasomi hawa muda wote wamejikuta kwenye propaganda za kushindanisha ubora wa elimu ya UDSM na vyuo vingine hasa UDOM, Kikifika mbali hadi kuanzisha course zisizotambuliwa na serikali mfano molecular biology and Biotechnology, hiki ni kiashiria tosha kwamba chuo kimeshuka ubora kwani kushindana na chuo chenye miaka 12 tu kwenye taaluma huku chenyewe kikiwa na miaka zaidi ya 40 haileti afya kwenye taaluma.

Katika jambo la kushangaza muhitimu bora wa chuo hichi mwaka huu aliyefanyiwa branding ya kutosha na kupewa airtime ya kutosha kwenye vyombo vya habari alisikika akisema "hakupata mkopo, alipewa boom tu", hii ni aibu kubwa kwa muhusika na chuo pia, na kama aliyesema hivyo angekuwa muhitimu wa chuo kingine hasa UDOM mitandaoni kusingekalika, kwa wasomi wa udsm kuhoji ubora wa muhitimu, GPA na chuo husika.

Mwaka huu ndugu yangu alihitimu shahada ya kemia Udsm akiwa na GPA ya 3.9, lakini hajuhi chochote kuhusu carbon NMR spectrum, IR spectrum, GS-MS, TGA vitu ambavyo ni basics kwenye instrumental analysis, hiki ni kiashiria kwamba ubora wa elimu ya udsm umeshuka.

Mwaka huu nilikuta muhitimu wa zoology stationary akiwa na cheti safi kabisa chenye GPA 4.2 kutoka Udsm, jambo la kushangaza muhitimu huyo hata basics za computer applications hajuhi, yaani alishindwa kabisa kutumia copy, cut, paste vitu ambavyo ni vya kawaida sana, je project alifanyaje?, anajua mwenyewe, hii yote inaonyesha jinsi gani ubora wa Udsm umeshuka.

Mwisho kabisa katika elimu hakunaga umungu mtu, ukijisahau kidogo tu wenzako wanakuongoza, hivyo udsm ijitafakari upya, udsm siyo ya kushindana na Udom nyakati hizi labda miaka ijayo , udsm mnatakiwa mshindane na NAIROBI,MAKELELE,PRETORIA universities kutokana na ukongwe wenu kwenye taaluma.
Kuna watu wapuuzi Sana, unafananisha UDSM na centre's zenu zenye kuwauzia degree kwa bei chee. Nonsense.!
 
Udsm ni chuo kilichokuwa kimejipambanua miaka hiyo kama chuo bora kabisa katika ukanda huu wa maziwa makuu na afrika kwa ujumla kwa kuzalisha viongozi na wasomi mahili katika nyanja ya siasa,uchumi,na sheria.

Sifa hiyo ilikijengea chuo uimara na kukifanya kiwe chuo bora afrika mashariki na kati kwa wakati ule huku kikiwa nguzo imara na tunu ya elima ya juu ya Tanzania miaka ile na siyo sasa.

Huku systems zote za nchi zikiwa zinasimamiwa na kuongozwa na wasomi na viongozi kutoka UDSM, ambao hata hvyo hawajaweza kulinufaisha taifa kimaendeleo bali wakijikita kwenye utunganji wa sera za hovyo na kusaini mikataba mibovu ya kulikwamisha taifa kimaendeleo.

Kwa sasa siyo tu kwamba elimu inayotolewa na udsm ni mbovu bali hata mifumo na sera za uendeshaji wa chuo hiki zimeparaganyika hasa kuanzia mwaka 2010, hivyo kupeleka kuzalisha wasomi wenye uelewa mdogo wa mambo na wasioweza kushindana tena katika soko la ajira kama zamani.

Hali hii imepelekea chuo hiki kujikuta kwenye ushindani mkubwa kutoka vyuo vingine kama SUA ambacho naweza sema ndicho chuo pekee kinachofanya tafiti za kweli na zenye tija hapa Tanzania ,MUHAS, MZUMBE,UDOM,NELSON MANDELA na ARDHI.

Kutokana na sababu hizo chuo hiki kimebaki kutembelea historia kwenye nyanja zote na kujikita kwenye siasa ya elimu, kutokana na wigo mpana wa kuwa na wasomi wengi waliotapakaa kila idara za serikali, wasomi hawa muda wote wamejikuta kwenye propaganda za kushindanisha ubora wa elimu ya UDSM na vyuo vingine hasa UDOM, Kikifika mbali hadi kuanzisha course zisizotambuliwa na serikali mfano molecular biology and Biotechnology, hiki ni kiashiria tosha kwamba chuo kimeshuka ubora kwani kushindana na chuo chenye miaka 12 tu kwenye taaluma huku chenyewe kikiwa na miaka zaidi ya 40 haileti afya kwenye taaluma.

Katika jambo la kushangaza muhitimu bora wa chuo hichi mwaka huu aliyefanyiwa branding ya kutosha na kupewa airtime ya kutosha kwenye vyombo vya habari alisikika akisema "hakupata mkopo, alipewa boom tu", hii ni aibu kubwa kwa muhusika na chuo pia, na kama aliyesema hivyo angekuwa muhitimu wa chuo kingine hasa UDOM mitandaoni kusingekalika, kwa wasomi wa udsm kuhoji ubora wa muhitimu, GPA na chuo husika.

Mwaka huu ndugu yangu alihitimu shahada ya kemia Udsm akiwa na GPA ya 3.9, lakini hajuhi chochote kuhusu carbon NMR spectrum, IR spectrum, GS-MS, TGA vitu ambavyo ni basics kwenye instrumental analysis, hiki ni kiashiria kwamba ubora wa elimu ya udsm umeshuka.

Mwaka huu nilikuta muhitimu wa zoology stationary akiwa na cheti safi kabisa chenye GPA 4.2 kutoka Udsm, jambo la kushangaza muhitimu huyo hata basics za computer applications hajuhi, yaani alishindwa kabisa kutumia copy, cut, paste vitu ambavyo ni vya kawaida sana, je project alifanyaje?, anajua mwenyewe, hii yote inaonyesha jinsi gani ubora wa Udsm umeshuka.

Mwisho kabisa katika elimu hakunaga umungu mtu, ukijisahau kidogo tu wenzako wanakuongoza, hivyo udsm ijitafakari upya, udsm siyo ya kushindana na Udom nyakati hizi labda miaka ijayo , udsm mnatakiwa mshindane na NAIROBI,MAKERERE,PRETORIA universities kutokana na ukongwe wenu kwenye taaluma.
GS MS ndo kitu gani mkuu..au ndo GC-MS
NMR au NIR?
 
Wewe umeandika kwa mhemuko.Je unavijua vigezo kimataifa vinavyotumika kupima ubora wa chuo kikuu? unakuwa kama Dr.Msukuma Kasheku
Product za udsm tunaziona mtaani wala hauitaji kugoogle kujua ubora wa udsm au lah, prof. mmoja wa udsm aliwahi kusema wao sio kulaumiwa bali walaumiwe huko wanachuo walikotokea, akasema wakipokea material mbovu lazima na product itakuwa mbovu tu, sasa wewe unapingana na prof.
 
Siwezi kukataa kwa hapa nchini lazima udsm iwe namba moja kwa sababu imesimama imara muda mrefu kwahiyo historia lazima iibebe, hapa nazungumzia ubora wa elimu ya hiki chuo kwa sasa.
For sure wewe ni bonge la ndina kweli kweli, hata haueleweki, na hayo ndiyo madhara ya kuwa ‘left over’. ,,, si ajabu hata huko UDOM ume graduate kwa karai lili tobolewa tobolewa kwa misumari ya sup za kufa mtuu
 
Udsm ni chuo kilichokuwa kimejipambanua miaka hiyo kama chuo bora kabisa katika ukanda huu wa maziwa makuu na afrika kwa ujumla kwa kuzalisha viongozi na wasomi mahili katika nyanja ya siasa,uchumi,na sheria.

Sifa hiyo ilikijengea chuo uimara na kukifanya kiwe chuo bora afrika mashariki na kati kwa wakati ule huku kikiwa nguzo imara na tunu ya elima ya juu ya Tanzania miaka ile na siyo sasa.

Huku systems zote za nchi zikiwa zinasimamiwa na kuongozwa na wasomi na viongozi kutoka UDSM, ambao hata hvyo hawajaweza kulinufaisha taifa kimaendeleo bali wakijikita kwenye utunganji wa sera za hovyo na kusaini mikataba mibovu ya kulikwamisha taifa kimaendeleo.

Kwa sasa siyo tu kwamba elimu inayotolewa na udsm ni mbovu bali hata mifumo na sera za uendeshaji wa chuo hiki zimeparaganyika hasa kuanzia mwaka 2010, hivyo kupeleka kuzalisha wasomi wenye uelewa mdogo wa mambo na wasioweza kushindana tena katika soko la ajira kama zamani.

Hali hii imepelekea chuo hiki kujikuta kwenye ushindani mkubwa kutoka vyuo vingine kama SUA ambacho naweza sema ndicho chuo pekee kinachofanya tafiti za kweli na zenye tija hapa Tanzania ,MUHAS, MZUMBE,UDOM,NELSON MANDELA na ARDHI.

Kutokana na sababu hizo chuo hiki kimebaki kutembelea historia kwenye nyanja zote na kujikita kwenye siasa ya elimu, kutokana na wigo mpana wa kuwa na wasomi wengi waliotapakaa kila idara za serikali, wasomi hawa muda wote wamejikuta kwenye propaganda za kushindanisha ubora wa elimu ya UDSM na vyuo vingine hasa UDOM, Kikifika mbali hadi kuanzisha course zisizotambuliwa na serikali mfano molecular biology and Biotechnology, hiki ni kiashiria tosha kwamba chuo kimeshuka ubora kwani kushindana na chuo chenye miaka 12 tu kwenye taaluma huku chenyewe kikiwa na miaka zaidi ya 40 haileti afya kwenye taaluma.

Katika jambo la kushangaza muhitimu bora wa chuo hichi mwaka huu aliyefanyiwa branding ya kutosha na kupewa airtime ya kutosha kwenye vyombo vya habari alisikika akisema "hakupata mkopo, alipewa boom tu", hii ni aibu kubwa kwa muhusika na chuo pia, na kama aliyesema hivyo angekuwa muhitimu wa chuo kingine hasa UDOM mitandaoni kusingekalika, kwa wasomi wa udsm kuhoji ubora wa muhitimu, GPA na chuo husika.

Mwaka huu ndugu yangu alihitimu shahada ya kemia Udsm akiwa na GPA ya 3.9, lakini hajuhi chochote kuhusu carbon NMR spectrum, IR spectrum, GS-MS, TGA vitu ambavyo ni basics kwenye instrumental analysis, hiki ni kiashiria kwamba ubora wa elimu ya udsm umeshuka.

Mwaka huu nilikuta muhitimu wa zoology stationary akiwa na cheti safi kabisa chenye GPA 4.2 kutoka Udsm, jambo la kushangaza muhitimu huyo hata basics za computer applications hajuhi, yaani alishindwa kabisa kutumia copy, cut, paste vitu ambavyo ni vya kawaida sana, je project alifanyaje?, anajua mwenyewe, hii yote inaonyesha jinsi gani ubora wa Udsm umeshuka.

Mwisho kabisa katika elimu hakunaga umungu mtu, ukijisahau kidogo tu wenzako wanakuongoza, hivyo udsm ijitafakari upya, udsm siyo ya kushindana na Udom nyakati hizi labda miaka ijayo , udsm mnatakiwa mshindane na NAIROBI,MAKERERE,PRETORIA universities kutokana na ukongwe wenu kwenye taaluma.
Article nzuri, ila umeharibu ulipoanza kutaja MZUMBE na UDOM.
 
UDSM haiwez kuwa constant kama reference yake ni vyuo vya ndani..Heshima yake "itakuwa" kama culture yake italenga kutoa elimu bora hata kwa wafanyakaz wake. gpa nikipimo kibovu sana kukitumia kama magnitude ya uelewa lakini Tatizo kubwa ni kukifanya cha biashara badala ya kuwa na marking scheme inayolenga kuprint mwanafunzi atakayemudu stress za maisha baada ya chuo. Serikali inachangia kudumaza vyuo kwa kutotoa uhuru unatosheleza maamuzi ya mwalim na mwanafunzi. ifike paala VISION ya chuo ipewe space yakuipima kwa kuona uwezo wa wanafunzi sio kuhitimisha idadi nying ya wanafunzi. wapo mitaani wanayumba kama wale mateja wa garage za magomeni..hawaanguki lakini pia hawez fanya chochote. . kazi kulaumu kuwa hamna AJIRA. si tatizo lao ni tatizo la WAWAJIBIKAJI.
FB_IMG_1640097258512.jpg
 
Back
Top Bottom