UDSM kwa sasa ni cha kata, imebaki historia tu

UDSM kwa sasa ni cha kata, imebaki historia tu

Kipindi cha nyuma kwenye miaka ya 2000, UDSM ilikua haikosi kwenye Top 10 ya Vyuo Bora Afrika.

Kwa sasa hata kwenye orodha ya Vyuo 100 Bora Vya Afrika haipo.

Lakini kuna watu bado wanasifia UDSM babalao. Hii inasikitisha sana. Ni kama kuwa wa kwanza kwenye kundi la vilaza.

Downhearted 🥲
Nawasubiri hapa wanishukie, niwagalagaze kwa hoja za msingi, najua sasa hivi wahitimu wa udsm hawawezi kujenga hoja tena ni "empty ended brain ".
 
Hata kama ningekuwa wa Udom haina shida, vipi wewe product ya udsm unayetumia "nomadic brain" kureason, mtu kama wewe naamini hata tukikutana live huwezi kunishinda kwa lolote.
apo ndipo mnapo feli kweli kweli nyie products za UDOM, mjitahidi kwanza kukitoa hicho 'kibanzi' cha 'kushindana' kilichomo kichwani mwenu la sivyo
 
vyuo vikuuuu vimebak vya kuhesabu tu ambavyo havina michongo kuna SUA, Arusha technically college,Mzumbe,na muhas
 
Sawa umeeleweka!

Hebu shauri sasa nini kifanyike???

Ova
 
Arusha technically ndio chuo gani hicho? Ndio maana mnakosa admission UDSM sababu ya mambo ya hovyo.
Naongelea sehem ambayo huwez pata cheti cha mchongo whatever ulivomaanisha kwamba n college au taasisi ya elimu technical Arusha is the best nyie kapaten PhD za mchongo huko
 
Elimu inayotolewa vyuoni inaweza kuwa ni ile ile tu kwa vyuo vingi maana hata waalimu wa vyuo vingine wengi wanatokea udsm.

Ishu kubwa katika hivi vyuo ni uzito wa jina la chuo, baaasi??

Mtu anaweza kuwa na gpa ya 4.3 kutoka vyuo vingine lakini mtu wa Udsm mwenye gpa ya 2.9 akapewa uzito kwasababu tu kasoma udsm.

Ukiangalia vizuri unakuja kugundua vyeo vingi sana vya serikalini vya juu juu wengi ni wahitimu wa udsm, ni kama vile wanabebana kifamilia.

Kupata nafasi tu ya kusoma udsm ni heshima kubwa sana, mtu anaweza kawa kapata divisioni 3 form 4, division 3 form 6 lakini akiinga tu udsm ana uwanja mpana sana kuliko kipanga aliepiga division 1 kali form 4 na 6 ila akaishia kusomea vyuo vingine.

Kwa lugha nyepesi, UDSM NI BABA LAO!!
UDSM hauwezi ingia bila div 1 au 2 ya mwanzo kwa 4m 6,
 
Kipindi cha nyuma kwenye miaka ya 2000, UDSM ilikua haikosi kwenye Top 10 ya Vyuo Bora Afrika.

Kwa sasa hata kwenye orodha ya Vyuo 100 Bora Vya Afrika haipo.

Lakini kuna watu bado wanasifia UDSM babalao. Hii inasikitisha sana. Ni kama kuwa wa kwanza kwenye kundi la vilaza.

Downhearted 🥲
Ni ya 42.
 
Number huwa hazidanganyi.
UDSM baba lao,
FB_IMG_16401012790654673.jpg
Screenshot_20211221-184100.jpg
 
Kipindi cha nyuma kwenye miaka ya 2000, UDSM ilikua haikosi kwenye Top 10 ya Vyuo Bora Afrika.

Kwa sasa hata kwenye orodha ya Vyuo 100 Bora Vya Afrika haipo.

Lakini kuna watu bado wanasifia UDSM babalao. Hii inasikitisha sana. Ni kama kuwa wa kwanza kwenye kundi la vilaza.

Downhearted 🥲
Top 10 vyuo bora Africa acha uongo. South Africa pekee hutoa vyuo 6 top 10 Africa. Ungesema 10 East Africa.
 
vyuo vikuuuu vimebak vya kuhesabu tu ambavyo havina michongo kuna SUA, Arusha technically college,Mzumbe,na muhas
MUHAS wameifanyia nn nchi ktk janga la Corona? Au nyie ubora ni msuli mgumu na majengo?
Vyuo vyote Tz ni Secondary tupu. Hakuna Tafiti wala innovation.
 
Unataka vigezo gani wewe, jadili hoja usilete maneno tu nitajie tafiti hata tano mwaka 2021 zilizofanywa na Udsm kama ni chuo bora kweli kama kinavyojipambanua ambazo zimeleta au zinaendelea kuleta matokeo chanya kwenye sekta yeyote.
Utajiwe tafiti tano wewe kama nani?
Tuanzie hapo kwanza
 
Back
Top Bottom