ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,694
- 24,741
Kiazi huyo na coment yake ya ovyoKwa hiyo tukipeleke makumbusho pale kiwe kama nyerere wakati vijana bado wanahitaji elimu bora?
Kiazi huyo na coment yake ya ovyoKwa hiyo tukipeleke makumbusho pale kiwe kama nyerere wakati vijana bado wanahitaji elimu bora?
UDSM bado ni chuo bora ukilinganisha na hivyo vinavyotoa shahada zenye mashakaProduct za udsm tunaziona mtaani wala hauitaji kugoogle kujua ubora wa udsm au lah, prof. mmoja wa udsm aliwahi kusema wao sio kulaumiwa bali walaumiwe huko wanachuo walikotokea, akasema wakipokea material mbovu lazima na product itakuwa mbovu tu, sasa wewe unapingana na prof.
Uliskia wapi au unaropoka tu [emoji1787]Hata div 3 wapo hukoo kuna madogo niliwanyia application na kuna baadhi walipata huko na div 3 zao zenye principal pass 2UDSM hauwezi ingia bila div 1 au 2 ya mwanzo kwa 4m 6,
Tushamuangusha muhas bado udidampo [emoji2][emoji39]Number huwa hazidanganyi.
UDSM baba lao, [emoji122][emoji122][emoji122]View attachment 2053520View attachment 2053522
Hizi ndizo product za udsm very "junkies thinking", hapa anajiona mwenye akili, mtu kama huyu "bogus thinker" badae aje kuongoza taifa, hapa tunajadili mambo ya msingi unatuletea habari za karai na sup hapa.For sure wewe ni bonge la ndina kweli kweli, hata haueleweki, na hayo ndiyo madhara ya kuwa ‘left over’. ,,, si ajabu hata huko UDOM ume graduate kwa karai lili tobolewa tobolewa kwa misumari ya sup za kufa mtuu
GC-MS, NMR.GS MS ndo kitu gani mkuu..au ndo GC-MS
NMR au NIR?
Ubora wa historia tu, chuo hakiwezi tena kulunch projects na researchs za maana zenye tija kwa taifa letu , si kwenye teknolojia,uchumi wala siasa.UDSM bado ni chuo bora ukilinganisha na hivyo vinavyotoa shahada zenye mashaka
Lazima nivitaje kwa sababu kwa hapa nchini ni miongoni mwa vyuo vinavyofanya vizuri. Mfano,ndaki ya informatics udom ndiyo muhasisi wa biometric fingerprints kwa ajili ya pesa ya kujikimu na ada ambayo kwa sasa inatumika na vyuo vyote, online students registration & result assessment pia wao ndiyo waanzilishi then vyuo vingine vikafuata, tukija Mzumbe kwenye fani ya sheria wanafanya vizuri kwahiyo lazima ni vitaje.Article nzuri, ila umeharibu ulipoanza kutaja MZUMBE na UDOM.
Wew usidhani watu hatuijui UDSM
Three kibao tu zinaenda UDSM ina depend na course
UDOM bila 1 ya 6 PCB husomi MD ila sio kusema UDOM bila one ya 6 husomi
Same applied to UDSM
Iyo thread itathibitisha ulichosema
Huwezi kunielewa kama unafikiri hivi, admission nilipataga petroleum chemistry lakini sikutaka kwenda huko, advance nimesoma na yule aliyekuwa mwenyeketi wa CoNAS Elbertus Theobad tena nilimuacha form five,fuatilia ujue alitoka shule gani, kwahiyo kwenye suala la ufaulu ondoa shaka chuo chochote hapa nchini kinanipa admission. Kwahiyo naomba uachane na mambo hayo ya admission ulete hoja.Ungeanza topic yako hivi " baada ya kukosa admission udsm nimeamua kuiponda namna hii" halafu uanze kushusha nondo zako,, hapo tungeelewa zaidi!
Faculty gan hiyo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uliskia wapi au unaropoka tu [emoji1787]Hata div 3 wapo hukoo kuna madogo niliwanyia application na kuna baadhi walipata huko na div 3 zao zenye principal pass 2
Poleeeeh kwa kutosoma UD, punguza hasira zako [emoji23][emoji23][emoji23]4m 6 ndiyo nini wewe product ya udsm, hivi ndivyo mnavyofundishwa kuandika alafu mnakuja kuvimbi humu.
Labda hapo ina depend na courses.Wew usidhani watu hatuijui UDSM
Three kibao tu zinaenda UDSM ina depend na course
UDOM bila 1 ya 6 PCB husomi MD ila sio kusema UDOM bila one ya 6 husomi
Same applied to UDSM
Yaan na mie nashangaa hapa khaaah. [emoji23][emoji23][emoji23]Weka ushahidi wa division 3 kuwepo udsm.
Ubora gani unaotaka wee? Km vyuo vyako ulivosema vimepitwa sasa unatak nn?Siwezi kukataa kwa hapa nchini lazima udsm iwe namba moja kwa sababu imesimama imara muda mrefu kwahiyo historia lazima iibebe, hapa nazungumzia ubora wa elimu ya hiki chuo kwa sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ninacho ikubar SUA hata uwe don, mjanja ,sister duu,sharobaro,mzee wa connection ,mtoto wa mkubwa n.k LAZIMA USOME ILI UFAULU bila hivyo lazima utage
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]you made my day
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app