MkimbizwaMbio
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 868
- 331
wamepelekwa kusoma wao wanaingiza siasa, tandika hao wanafunzi, bado wajinga, waliowatuma wanakula kuku wao wanachezea maisha, shauri yao.
Kazi ya masaburi hii.
wamepelekwa kusoma wao wanaingiza siasa, tandika hao wanafunzi, bado wajinga, waliowatuma wanakula kuku wao wanachezea maisha, shauri yao.
pesa na kufanya dhifa ya taifa na mashoga wanayo
Naomba polisi hakikisha mnauwa kama wawili hapo ili iwe fundisho kwa vyuo vingine kwani hawa wanasababisha hatujengi taifa letu resources nyingi zinatumika kuwatuliza wao, kingine wanatumiwa kisiasa hao na chama cha demostration action (CHADEMA)
Afadhali kutokusoma kuliko kuwa na kichwa cha kuku kama wewe!!!!wamepelekwa kusoma wao wanaingiza siasa, tandika hao wanafunzi, bado wajinga, waliowatuma wanakula kuku wao wanachezea maisha, shauri yao.
Lakini usafi wa majiji si ni kitu kizuri? Hao wafanyabiashara hawapendi jiji lao liwe safi? Au kuna politics fulani ndani ya hilo zoezi?
Wazee wa kazi ukibeep wapiga check hapo mambo ya udsm
Usisumbue akili yako kwa huyo kuku!! ubongo wake umelambwa na mafisi mwitu wa magamba hawezi kufikiri tena ni mtumwa anahitaji kukombolewa.Hutakufa kabla ya kukiona kitu kitakachokufanya ujute kuishabikia CCM...Take my words...
Hutakufa kabla ya kukiona kitu kitakachokufanya ujute kuishabikia CCM...Take my words...
hakuna linalowezekana udsm bila migomo hata historia inaonyesha hivyo...wanaudsm wapo revolution square baada ya kutawnya na polisi...wanajipanga tena waone waanzaie wapi...revolution for change
Haha natamani huyu mwenye bunduki amlenge kichwa mkuu wa upinzani huoUmechakachua hapo kuna baadh ya picha za mg6o wa cku za nyuma
kule udsm wafanye kama huku mbeya...mpaka sasa hali ni mbaya...
Jiji la MBEYA limechafuka,hii ni kutokana na mkuu wa mkoa,ABBAS KANDORO kuja na sera ya safisha jiji ambayo wakuu wa mkoa wote waliopita walishindwa kuitekeleza..
Tangu wiki mbili zilizopita alianzisha kampeni hiyo na badae akawahaidi kua atawaruhusu alhamisi lakin jana hakutekeleza ahadi yake hiyo hivo wafanyabiashara wale wakapanga kuanzisha fujo siku ya leo..
BARABARA ZOTE MBEYA MJINI ZMEFUNGWA,MADUKA YOTE NA BIASHARA ZOTE ZIMEFUNGWA,GARI MOJA IMECHOMWA MOTO,MGAMBOM MMOJA AMEUWAWA NA RAIA,POLISI WAWILI WALIOKUA KWENYE GARI WAKIPIGA MABOMU WATU WAMEUMIZWA VIBAYA NA MAWE..
BADO FUJO ZINAENDELEA,WANAUME WAPO MBELE WAMESHIKA MAWE HUKU WANAWAKE WAPO NYUMA WAMESHIKA NDOO ZA MAJI ZA KUNAWA WAKIPIGWA MABOMU YA MACHOZI..
wamepelekwa kusoma wao wanaingiza siasa, tandika hao wanafunzi, bado wajinga, waliowatuma wanakula kuku wao wanachezea maisha, shauri yao.
More updates..............ooh no! no! ooh ghashhhhhh hii haikubaliki no no aah polisi wanapiga hovyo hawa vijana duu hawajali cha mwanamke wala mwanaume please guys wapenda amani wote naomba mje mjionee hapa kuna uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu
Naomba polisi hakikisha mnauwa kama wawili hapo ili iwe fundisho kwa vyuo vingine kwani hawa wanasababisha hatujengi taifa letu resources nyingi zinatumika kuwatuliza wao, kingine wanatumiwa kisiasa hao na chama cha demostration action (CHADEMA)
Mkuu fasta fasta
kama unaweza kachukue kisu chinja police kata kuchwa na wewe uwape fundisho
God be with them!