zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 10,831
- 8,622
god has left africa
but GOD is everywhere.
god has left africa
Tatizo CHADEMA imekuwa chukizo hata mbele za Mungu imeandikwa mtii mamlaka zote kwani zatoka kwa Mungu sasa angalia mnavyopigwa na watu wenye utii na heshima kwa Mungu. Askari asipofanya hiyo kazi nakuambia nchi haikaliki, piga ua wehu hao kwani hawana haki ya kuishi muasisi wa china Mao aliwaua wanafunzi 5000 kwa kuwakanyaga na vifaru elfu kumi ikiwa ni kuwaonyesha uma ubepari haukubaliki na CCm uwa hao ili wajue maandamano yasiyo natija hayna nafasi.

magamba nchi imemshinda
wewe kilaza kweli unaleta dini kwenye siasa . hiyo ilikuwa kweli enzi za dola ya rumi siyo sasa
kesho litakuwa arusha yaani ningekuwa na uwezo ningempiga hata manati....
we na elimu yako ya darasa la saba haikusaidi chochotewamepelekwa kusoma wao wanaingiza siasa, tandika hao wanafunzi, bado wajinga, waliowatuma wanakula kuku wao wanachezea maisha, shauri yao.
nitafutieni contact za mmmojawapo wa hao watoto mm nitamsomesha bure
bado wafanyakazi, yaani walimu, polisi, manesi na madaktari na wengineyo. coz jana niliongea na mwl yupo iringa anasema hadi leo mshahara hakupata na s/kali hawana fedha kwasasa.
wamepelekwa kusoma wao wanaingiza siasa, tandika hao wanafunzi, bado wajinga, waliowatuma wanakula kuku wao wanachezea maisha, shauri yao.
pesa za miaka 50 ya uhuru ambazo wizara zinagharamia zipelekwe huko...ila nna wasiwasi utackia kuna chama flan cha siasa kinachochea huo mgomo mana siku hizi kila watu wakidai haki kwa maandamano utaskia chama flani kinahusika mbona watakoma kipindi hiki
Kwa kifupi Tanzania sio nchi ya amani na haijawahi kuwa ya amani ila kwa miaka wananchi wamekuwa wanawafumbia macho watawala. Mara pale wananchi walipoanza kudai uwajibikaji, na haki tunaanza kuona true colours za viongozi tulionao. Busara zero kabisa.
Kitu ambacho sijaelewa na pengine ingekuwa vizuri serikali ingetueleza ni kwamba, ni kwa nini hawataki watu waandamane? Au ni maandamano ya aina gani yanayokubalika kwao?
wamepelekwa kusoma wao wanaingiza siasa, tandika hao wanafunzi, bado wajinga, waliowatuma wanakula kuku wao wanachezea maisha, shauri yao.