Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
nitafutieni contact za mmmojawapo wa hao watoto mm nitamsomesha bureWazee wa kazi ukibeep wapiga check hapo mambo ya udsm
nitafutieni contact za mmmojawapo wa hao watoto mm nitamsomesha bureWazee wa kazi ukibeep wapiga check hapo mambo ya udsm
Naomba polisi hakikisha mnauwa kama wawili hapo ili iwe fundisho kwa vyuo vingine kwani hawa wanasababisha hatujengi taifa letu resources nyingi zinatumika kuwatuliza wao, kingine wanatumiwa kisiasa hao na chama cha demostration action (CHADEMA)
fikiria vizuri sana, ipo siku wataishiwa mabomu ya machizi, fikiria nini kitawapata hawa!, hivi umefatilia mbeya! Polisi inaanza kurudi nyuma sasa wananchi wanakwenda kwa mkuu wa mkoa.
Haha dua la kuku CCM mtambo wa kurekebisha tabia....tumewakamata pabaya....beep FFU wanakupigia faster
Nimependa hiyo strategy hapo kwenye nyekundu... na sisi arusha tutaanza kuitumia hii
hivi hao polisi stock yao ya mabomu haiiishi?
Hutakufa kabla ya kukiona kitu kitakachokufanya ujute kuishabikia CCM...Take my words...
sio picha za leo hWazee wa kazi ukibeep wapiga check hapo mambo ya udsm
wamepelekwa kusoma wao wanaingiza siasa, tandika hao wanafunzi, bado wajinga, waliowatuma wanakula kuku wao wanachezea maisha, shauri yao.
god has left africa
sio picha za leo hWazee wa kazi ukibeep wapiga check hapo mambo ya udsm
Tatizo CHADEMA imekuwa chukizo hata mbele za Mungu imeandikwa mtii mamlaka zote kwani zatoka kwa Mungu sasa angalia mnavyopigwa na watu wenye utii na heshima kwa Mungu. Askari asipofanya hiyo kazi nakuambia nchi haikaliki, piga ua wehu hao kwani hawana haki ya kuishi muasisi wa china Mao aliwaua wanafunzi 5000 kwa kuwakanyaga na vifaru elfu kumi ikiwa ni kuwaonyesha uma ubepari haukubaliki na CCm uwa hao ili wajue maandamano yasiyo natija hayna nafasi.Mhurumie huyo mmemkwa maana hata Mungu mwenyewe hawezi kukubaliana na binadamu anayeshauri binadamu wenzake wauawe, kisa tu wametofautiana kifikra. Mwl. Nyerere aliwahi kusema wajinga na werevu wote waliumbwa na Mungu, ingekuwa sio hivyo nadhani tungeshaanza kum-sarowiwa huyu huyu mmemkwa siku nyingi na angeshasahaulika.
Kwa hiyo vyuo vingine ni wakubwa kuwazidi wa UDSM? Pua mbaaaya!Utoto unawasumbu! Mbona vyuo vingine vipo cool? Wakipigwa ni halali yao kabisa.