UDSM kimenuka sasa hivi, Kikwete na Kawambwa Wataficha wapi nyuso zao? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UDSM kimenuka sasa hivi, Kikwete na Kawambwa Wataficha wapi nyuso zao?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kipanga mlakuku, Nov 11, 2011.

 1. k

  kipanga mlakuku Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tayari mambo yamechafuka katika chuo kikuu cha Dar es salaam na mpaka muda huu vijana wako Revolution square na wametangaza mgomo kwa kile wanachodai ni kwa mwaka wa kwanza kunyimwa mikopo, sasa hii ni aibu, je JK na Kawambwa wataficha wapi nyuso zao?
   
 2. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Bila mgomo Tz haiendi..!
   
 3. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  more updates please wengine tupo nje ya Tz
   
 4. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  pesa na kufanya dhifa ya taifa na mashoga wanayo
   
 5. L

  Lua JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  bado wafanyakazi, yaani walimu, polisi, manesi na madaktari na wengineyo. coz jana niliongea na mwl yupo iringa anasema hadi leo mshahara hakupata na s/kali hawana fedha kwasasa.
   
 6. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kama wanaweza wajalibu watakipata cha moto

  [​IMG]
   
 7. O

  Obinna Senior Member

  #7
  Nov 11, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mabilioni ya kusheherekea uhuru wa miaka hamsini wanayo lakini hela za kuwaanda wasomi katika nchi tena kwa kuwakopesha hawana.
  Wakishagoma ndo mnaumiza kichwa kutafuta kiujumla bila mgomo serekali ya kikwete haiwezi kutimiza mahitaji ya watanzania wachatufanye mgomo mpaka mtakapoamua moja muwaachie wanaoweza kuongoza nchi bila mgomo au tuendelee na mgomo.
   
 8. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Wao waibe mabillions lakini watanzania hawapati hata pesa za ada
   
 9. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Wazee wa kazi ukibeep wapiga check hapo mambo ya udsm

  [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]
   
 10. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #10
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Fanya mpango wa kukusanya picha za kutosha ikiwezekana mpaka video na hata audio na uzi2pie hapa jamvin ili 2faid wote.
  Vyombo vya habar haviaminik tena kwan nao wanaficha na kutetea maov ya magamba.

  Vip mzee IGP mwema hajatoa tamko? Na hajatuma vibaraka wake?
   
 11. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #11
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Hapo toa polisi najua wana hali ngumu kuliko hata hao walimu, mbwa hata alale kwenye kibanda bado atabweka tu.
   
 12. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #12
  Nov 11, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Kwa mtaji huu tutaweza kushindana na dunia inayokwenda kasi?
   
 13. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #13
  Nov 11, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,201
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mambo ya ajabu kabisa. Kusema ukweli serikali kupitia HESLB inabidi ijitazame upya. Mpaka sasa wanafunzi wa Masters vyuo vyote ambao wanasoma kwa njia ya Mkopo toka HESLB hawajapewa hela ya utafiti achana na habari ya boom ambayo haijulikani kama ipo au la? Itabidi waongeze recruitment kwenye vyuo vya Polisi
   
 14. B

  Buto JF-Expert Member

  #14
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 249
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Híi nchi imeoza kabisa
   
 15. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #15
  Nov 11, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Vijana nawapa big up, kizazi kilichozaliwa na kukuta mfumo wa vyama vingi ndio wanaokuja kuleta ukombozi na mapinduzi ya kweli ndani ya miaka kumi ijayo.
   
 16. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #16
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  pesa ya kununulia mabomu ya machozi wanayo lakini siyo kukopesha wanafunzi!
   
 17. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #17
  Nov 11, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,217
  Trophy Points: 280
  If you know your rights just take them,usisubiri upewe.utasubiri Hadi Yesu arudi
   
 18. mbogo31

  mbogo31 JF-Expert Member

  #18
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 687
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35

  Fikiria Vizuri sana, ipo siku wataishiwa mabomu ya machizi, fikiria nini kitawapata hawa!, hivi umefatilia mbeya! polisi inaanza kurudi nyuma sasa wananchi wanakwenda kwa mkuu wa mkoa.
   
 19. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #19
  Nov 11, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wamepelekwa kusoma wao wanaingiza siasa, tandika hao wanafunzi, bado wajinga, waliowatuma wanakula kuku wao wanachezea maisha, shauri yao.
   
 20. FDR.Jr

  FDR.Jr JF-Expert Member

  #20
  Nov 11, 2011
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 1,335
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Kumenuka sana hapa muda huuu mabomu ya machozi .........
   
Loading...