UDSM kimenuka sasa hivi, Kikwete na Kawambwa Wataficha wapi nyuso zao?

Taarifa: lile gari la machozi lipo hapa Ardhi university,mjipange na mtafute oil chafu mapema.
 
Kwa kifupi Tanzania sio nchi ya amani na haijawahi kuwa ya amani ila kwa miaka wananchi wamekuwa wanawafumbia macho watawala. Mara pale wananchi walipoanza kudai uwajibikaji, na haki tunaanza kuona true colours za viongozi tulionao. Busara zero kabisa.

Kitu ambacho sijaelewa na pengine ingekuwa vizuri serikali ingetueleza ni kwamba, ni kwa nini hawataki watu waandamane? Au ni maandamano ya aina gani yanayokubalika kwao?
 
Naomba polisi hakikisha mnauwa kama wawili hapo ili iwe fundisho kwa vyuo vingine kwani hawa wanasababisha hatujengi taifa letu resources nyingi zinatumika kuwatuliza wao, kingine wanatumiwa kisiasa hao na chama cha demostration action (CHADEMA)

Hutakufa kabla ya kukiona kitu kitakachokufanya ujute kuishabikia CCM...Take my words...
 
wamepelekwa kusoma wao wanaingiza siasa, tandika hao wanafunzi, bado wajinga, waliowatuma wanakula kuku wao wanachezea maisha, shauri yao.
Afadhali kutokusoma kuliko kuwa na kichwa cha kuku kama wewe!!!!
 
Mzumbe na vipi. Lini watawasha moto. Aise napakumpuka revolution square, kipindi cha nyuma tulishashinda pale huku mvua inayesha. Na nyimbo za harakati. Al da best ma kamanda
 
Lakini usafi wa majiji si ni kitu kizuri? Hao wafanyabiashara hawapendi jiji lao liwe safi? Au kuna politics fulani ndani ya hilo zoezi?


ukifatilia sana utagundua uwepo wa kandoro mbeya na magesa kule arusha ni kwa ajili ya siasa...wanatumika
 
Umechakachua hapo kuna baadh ya picha za mg6o wa cku za nyuma
Wazee wa kazi ukibeep wapiga check hapo mambo ya udsm

images
images
images
images
images
 
Hutakufa kabla ya kukiona kitu kitakachokufanya ujute kuishabikia CCM...Take my words...
Usisumbue akili yako kwa huyo kuku!! ubongo wake umelambwa na mafisi mwitu wa magamba hawezi kufikiri tena ni mtumwa anahitaji kukombolewa.
 
Poleni sana jamani udsm na huko mbeya!! Hiyo ndo serikali yetu ya mafisadi!! Komaeni tu bila hivo haki kwa magamba sahauni!!

Poleni sana!!
 
hakuna linalowezekana udsm bila migomo hata historia inaonyesha hivyo...wanaudsm wapo revolution square baada ya kutawnya na polisi...wanajipanga tena waone waanzaie wapi...revolution for change

God be with them!
 
kule udsm wafanye kama huku mbeya...mpaka sasa hali ni mbaya...

Jiji la MBEYA limechafuka,hii ni kutokana na mkuu wa mkoa,ABBAS KANDORO kuja na sera ya safisha jiji ambayo wakuu wa mkoa wote waliopita walishindwa kuitekeleza..

Tangu wiki mbili zilizopita alianzisha kampeni hiyo na badae akawahaidi kua atawaruhusu alhamisi lakin jana hakutekeleza ahadi yake hiyo hivo wafanyabiashara wale wakapanga kuanzisha fujo siku ya leo..

BARABARA ZOTE MBEYA MJINI ZMEFUNGWA,MADUKA YOTE NA BIASHARA ZOTE ZIMEFUNGWA,GARI MOJA IMECHOMWA MOTO,MGAMBOM MMOJA AMEUWAWA NA RAIA,POLISI WAWILI WALIOKUA KWENYE GARI WAKIPIGA MABOMU WATU WAMEUMIZWA VIBAYA NA MAWE..

BADO FUJO ZINAENDELEA,WANAUME WAPO MBELE WAMESHIKA MAWE HUKU WANAWAKE WAPO NYUMA WAMESHIKA NDOO ZA MAJI ZA KUNAWA WAKIPIGWA MABOMU YA MACHOZI..

Nimependa hiyo strategy hapo kwenye nyekundu... na sisi arusha tutaanza kuitumia hii
hivi hao polisi stock yao ya mabomu haiiishi?
 
wamepelekwa kusoma wao wanaingiza siasa, tandika hao wanafunzi, bado wajinga, waliowatuma wanakula kuku wao wanachezea maisha, shauri yao.

Aliyesimamia miguu amesimama, aliyesimamia kichwa kabinuka na aliyesimamia m.akalio AMEKAA.
Maisha yao tangu day one yanategemea hiyo mikopo, na mpaka muda huu hawajapewa unategemea waishije?
Unahitaji msaada namna ya kutumia contents zilizomo kichwani mwako so ili upate msaada huo kwa wewe nakushauri uwaone waingereza nadhani mashart ya unayajua na utayamudu tu.
 
More updates..............ooh no! no! ooh ghashhhhhh hii haikubaliki no no aah polisi wanapiga hovyo hawa vijana duu hawajali cha mwanamke wala mwanaume please guys wapenda amani wote naomba mje mjionee hapa kuna uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu

Naomba polisi hakikisha mnauwa kama wawili hapo ili iwe fundisho kwa vyuo vingine kwani hawa wanasababisha hatujengi taifa letu resources nyingi zinatumika kuwatuliza wao, kingine wanatumiwa kisiasa hao na chama cha demostration action (CHADEMA)

Mkuu fasta fasta

kama unaweza kachukue kisu chinja police kata kuchwa na wewe uwape fundisho

We cant believe all these Is this nation gone down this Low @ Red ... If words related to DEATH ....its so Uncommon ..!! If riots are so common in the street .. What good is for the leaders of this Country!! ... Its pity!!
 
Nasikia sasa hivi wanafunzi wapo REv Scquare
Vijana wamejipanga na kujizatiti kwa lolote

Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Udsm
 
Back
Top Bottom