UDSM kimenuka sasa hivi, Kikwete na Kawambwa Wataficha wapi nyuso zao?

Fikiria Vizuri sana, ipo siku wataishiwa mabomu ya machizi, fikiria nini kitawapata hawa!, hivi umefatilia mbeya! polisi inaanza kurudi nyuma sasa wananchi wanakwenda kwa mkuu wa mkoa.

Kuna washawasha check chini hapo ipo nyuma ya rev square inawasubilia

DSC06409.JPG
 
Hapo toa polisi najua wana hali ngumu kuliko hata hao walimu, mbwa hata alale kwenye kibanda bado atabweka tu.
Walimu nao bado wana tatizo la kuogopa njaa. Wakitishiwa tu kufukuzwa kazi utaona wanasalimu amri. Lakini kwa hii, wao wenyewe watogoma kwa sababu ajira wanayoogopa kufukuzwa itakuwa haina maana tena.
 
pesa za miaka 50 ya uhuru ambazo wizara zinagharamia zipelekwe huko...ila nna wasiwasi utackia kuna chama flan cha siasa kinachochea huo mgomo mana siku hizi kila watu wakidai haki kwa maandamano utaskia chama flani kinahusika mbona watakoma kipindi hiki
 
Haya ndo akina FaizaFoxy huwa hawataki kabsa kuja na hoja zao!!!

Wao wanakalia, shule kazaa, vyuo kazaa, sijui nini kazaa,... hawajali ubora wala quality management!!!

Hi ni aibu... sasa nawaita akina ritz, FF, rejao, MS na wengineo watueleze; yale ya IMF kutangaza kufilisika kwa serikali ni uongo au la...
 
bado wafanyakazi, yaani walimu, polisi, manesi na madaktari na wengineyo. coz jana niliongea na mwl yupo iringa anasema hadi leo mshahara hakupata na s/kali hawana fedha kwasasa.

Polisi achan nao, wao wanapewa tu amri na kutekeleza ujinga.
 
Tayari mambo yamechafuka katika chuo kikuu cha Dar es salaam na mpaka muda huu vijana wako Revolution square na wametangaza mgomo kwa kile wanachodai ni kwa mwaka wa kwanza kunyimwa mikopo, sasa hii ni aibu, je JK na Kawambwa wataficha wapi nyuso zao?

walisha zoea tangu 2006. Hali ilikuwa mbaya kipindi kile lakini walipita kiivyohivyo. Cha msingi kusiwepo kusalitiana, msaliti adhibitiwe
 
Weye acha uongo! mbona walimu walishapata mishahara nkiwemo mimi?

bado wafanyakazi, yaani walimu, polisi, manesi na madaktari na wengineyo. coz jana niliongea na mwl yupo iringa anasema hadi leo mshahara hakupata na s/kali hawana fedha kwasasa.
 
Haya ndo akina FaizaFoxy huwa hawataki kabsa kuja na hoja zao!!!

Wao wanakalia, shule kazaa, vyuo kazaa, sijui nini kazaa,... hawajali ubora wala quality management!!!

Hi ni aibu... sasa nawaita akina ritz, FF, rejao, MS na wengineo watueleze; yale ya IMF kutangaza kufilisika kwa serikali ni uongo au la...

watabaki kulaumu CDM
 
Utoto unawasumbu! Mbona vyuo vingine vipo cool? Wakipigwa ni halali yao kabisa.
 
utasikia tu chadema wanaandamana wanataka nchi isitawalike, hata hili nalo watasingizia chadema wameandaa mgomo huu. hapa huhitaji kuwa na elimu kubwa sana kujua serikali ya JK bila migomo haiend hata kidogo

huku mtaani maisha yamekuwa magumu sana kama huko magerezani kuna chakula cha kutosha mbona tutafanya kila liwezekanalo tujae humo tule bure tushachoka na maisha haya ya uraiani.
 
More updates wakuu....................niko hapa vijana wanatoa hoja kuwa kwanini wasipewe hela ilihali rais anazurura ulimwengu mzima kutoka anga moja mpaka nchi nyingine, inavyoonekana serikali haina majibu kabisa , naona wanausalama wanajaa hapa , HAKUNA HAKI NASEMA HAKUNA HAKI , HAO WANANIFATA NA MIMI NAPIGWA WAKUU, KIKWETE TOKAAAAAAAAAAAAAA, TUACHIE NCHI YETU TOKA
 
wamepelekwa kusoma wao wanaingiza siasa, tandika hao wanafunzi, bado wajinga, waliowatuma wanakula kuku wao wanachezea maisha, shauri yao.

usishabikie vitu ambavyo hata huna uchungu navyo.funga bakuli ingekuwa mwanao ndo anasoma hapo?acha kufikiri kwa kutumia masaburi hakuna haki inayoletwa yenyewe lazima uitafute.
 
jamani hii serikali yetu imeoza, mana huku watu wamekwatwa mishahara yao hasa sekta ya afya watu wamepunjwa hadi sh 70,000 sasa nesi wa bush umkate hela hiyo kweli jamani hii ni haki? wazee waension hawajaingiziwa pension hadi leo jamani watu wanateseka tu, alafu wadai waongezewe posho na mishahara, aah jamani
 
wamepelekwa kusoma wao wanaingiza siasa, tandika hao wanafunzi, bado wajinga, waliowatuma wanakula kuku wao wanachezea maisha, shauri yao.

Unaweza kusoma ukiwa na njaa na bila mahitaji muhimu? acha siasa za magamba wewe
 
vijana kazeni buti jamani KUNJI NDIO INFINITE SOLUTION YA MATATIZO SUGU UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM (UDSM )
"It's a struggle for every young Black man. You know how it is, only God can judge us". -Tupac Shakur


 
Back
Top Bottom