UDSM: GPA ya Maalimu Seif Sharifu Hamad

UDSM: GPA ya Maalimu Seif Sharifu Hamad

Jamaa kichwa sana....Mwalimu Nyerere alimwandaa vizuri sanaa Maalim Seif...

His IQ is clearly the best and unquestionable...!!!

Kazi yenu ni kumsifu kila aliye ukawa, huyo kasoma kozi moja na uncle wangu, ni wa kawaida sana japo alipenda unafiki tangu chuo
 
yaani hiyo ndo unasema alivunja record? tafta ya Nyanto Salvatory, anasoma PhD huko Lowa marekani
Ha ha umenikumbusha huyu jamaa tulitoka nae boys pale jamaa wa kigoma.kumbe analamba PhD kwa Obama alikuwa serious na kitabu
 
Huyu naambiwa alishindwa kabisa Mwl akamsaidia ili kulinda muungano.
Hizi ndo taarifa nilizo nazo mimi na kimsingi, hata kuingia kwake UDSM inasemekana hakukutokana na kuwa na sifa hizo bali kulinda zaidi muungano na kuwafanya wa-Zenj wengi zaidi kuingia chuo kikuu!
 
Ndugu yangu feedback umetu-insult waislam wote tunaoamini katika madrassa, please kuwa muungwana na tuombe msamaha, ni vizuri tukapunguza chuki hizi za kidini na kudharauliana, ni ushauri tu

naunga mkono hoja yako, haifai kukashifiana kidini
 
Eti Bill Gate hakufanikwa kumaliza chuo kikuu kwa sababu alifeli, na hvo hana gpa yoyote? Najaribu kuwaza kwa sauti tu
 
hivi ni kweli Prof Lipumba nae alipata GPA ya 5.0 ...Economics?
 
Wewe ni mshamba kwelikweli. GPA haina uhusiano wowote na siasa. Si onawaona Ma-prof wengi wanaingia ulingoni wanachemka?
Mkuu hiki kilichoasisiwa na ccm ndani ya Tanzania si siasa halisi ni uongo ndo maana maprofesa wetu wanachemsha ndo maana badala ya kuenda mbele kama nchi tunarudi nyuma.
 
Huyo binti ni mtu wa kujirusha,hajui tution inafananaje,kozi aliyochukua ni mpya inahusiana na Hifadhi ya Jamii,alisoma EGM Benjamin Mkapa na mwaka wao aliongoza kwa somo la Economics Tanzania


Huyo binti hatari sana, ni kichwa namfaham, nilikuwa napishana nae tuu, korido
 
Professor Ibrahim Lipumba Mwaka 1983 Ndo alimaliza kila kitu BA Economics GPA 5.0 na mwaka huu kala mzigo Pande zote mbili kenda kula Viuno vya Kinyarandwa
 
Back
Top Bottom