UDOM kuanzisha kampasi Njombe. Kimaadili hii siyo sawa kabisa ktk nchi hii

Watu wa Njombe wa haki ya kupata Elimu sawa na mikoa mingine, pia Kati ya mikoa yenye mwamko wa Elimu Tanzania ni Njombe....Ukiacha wivu ulionao mtoa post, Mkoa wa Njombe unastahili kabisa kuwa location ya chuo,kwasababu, ya kupanua shughuli za elimu, pia kuleta maendeleo ya mkoa, Njombe ni mkoauliopo katikati kati ya Iringa, morogoro, Mbeya na Ruvuma, Kuhusu idadi ya watu sio issue , lazima wasomi wa UDOM wamefanya projection ya population ya mkoa....
 
Fala ww njombe kunafikika kwa lami toka mikoa yote
 

Wewe inaonekama huna jitihada za kuondokana na ujinga.

Mkoa wa 4 kwa utajiri Tanzania, unaita kamkoa!! Basi wewe utakuwa kajitu:

Rank Region. GDP per capita TSh. /=

1Dar es Salaam 4,348,990

2Mbeya Region 3,506,101

3Iringa Region 3,360,551

4Njombe Region 3,317,698


Source:

National Bureau of Statistics (Tanzania).[1]
 
Ya mwaka gani hii weka source tafadhali.
 
Ndugu na wao Wana haki jmn khaa!
Halafu njombe usiichukulie poa kihivyo.
Inakuja juu kuliko ht iringa!
 
Basi, tunajua kuongeza vyuo tu !!!!!,
Hebu sasa vyuo vimetosha , hivyo hivyi vilivyopo, viimarishwe,

Tuangazie sasa viwanda vitakavyo ajili hawa waliopo,

Watoto wanamakiza vyuo kwa maelfu hawana cha kufanya.

Uwezo wenu umekuwa ni kujenga majengo na kuweka vitabu tu,

Hatuangalii upande wa pili.

Hao maprofer hawana cha kusaidia ili nchi ifanye mambo yake yenyewe?

Wahandisi wanamaliza vyuo lakini makampuni yote ya ujenzi wa maana yanatoka nje , sisi tunakuwa vibarua tu na kujenga nyumba tunazoita vyuo.

Vyuo sasa tuwaachie watu binafsi, kwa serkali basi inatosha.
 
Unaweza kuwa umeongea ukweli lakini ni kitu gani kinachokusukuma kusema huo ni ukabila na si wewe mwenye element za ukabila?
Usipate tabu Mkuu!
Kauli zake zinaonyesha ukabila 100%
Pili zina element za chuki na dharau.
Sioni sababu ya kulalamika na kuweka idadi ya watu katika mkoa husika.
Chuo sio sekondari.
Chuo hata kikiwekwa machakani mwanafunzi atakifuata huko kulingana na kozi anayotaka kama ipo katika chuo hicho.
Ndio maana ukifika chuo unakutana na wanachuo kutoka mikoa mbalimbali.
 
Mtoa mada soma haya maoni ya kitaalamu
 
Mkuu umefafanua vizuri.
 
Well said
 
Kwa akili hizi nchi kusogea ni changamoto. Yaani kwa sababu ni Mtanzania aliyezaliwa Njombe basi sehemu anayofanya kazi hauruhusiwi kuwa na mashirikiano na mkoa aliozalowa Mkuu wasehemu hiyo!!!! Shida sana ninyi watu!
Pumbafu sana wewe!
Mkoa wenye watu laki tatu ni sahihi kupeleka Chuo kikuu?
Kama sio elements za ukabila ni kitu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…