Udhalilishaji... Hata hili litaachwa lipite?

Udhalilishaji... Hata hili litaachwa lipite?

Raha ya kuzaa na Mh. mtoto wako wa kike anakua na jishape la hatari hadi raha.
 
Mkuu Prince Huyo...masikini wazee wa watu na tusare na tusuti wamechomekea kwa woga
 
Haya ni mavazi ya beach ama nyumbani.. Hayarusiwi kuvaliwa kwenye shughuli za kiserikali.... Hata hili litafumbiwa macho?
acff021cc4249b36d7e064e0b8d5d6bd.jpg
Kulikuwa na shughuli gani hapo?? Ni picha ya lini??
 
Hvyo vinguo wanawake c ndio wanaviita vipedo? Dar mmekumbwa na nini wanaume wenzangu?
 
Haya ni mavazi ya beach ama nyumbani.. Hayarusiwi kuvaliwa kwenye shughuli za kiserikali.... Hata hili litafumbiwa macho?
acff021cc4249b36d7e064e0b8d5d6bd.jpg
Duh huyu anamuiga yule waziri wa mambo ya ndani wa zamani? Hio ilikuwa wapi na ni shughuli gani?
 
Haya ni mavazi ya beach ama nyumbani.. Hayarusiwi kuvaliwa kwenye shughuli za kiserikali.... Hata hili litafumbiwa macho?
acff021cc4249b36d7e064e0b8d5d6bd.jpg
Ungeona clip yote akiwa amepanda ktk scafold anajenga moja ya madarasa, ndo ungemuelewa kuwa alikuwa kavaa rasmi kikazi.
Tuachage kufanya hitimisho kwa kutumia snapshot moja tu.
Jf demands us to have a good analytical eye of curiosity before jumping to a conclusion.
 
Back
Top Bottom