Udhalilishaji... Hata hili litaachwa lipite?

Aslay, kuna wimbo kataja mambo ya shape... Zoom picha funika kiunoni kwenda juu... Kuna mtu wa tofauti anaonekana
IMG-20171101-WA0142.jpg
 
Magufuli endelea kukaza baba maana watu naona walianza kumjaji makonda kwa elimu yake sasa hivi wameamia kwenye mavazi yake kweli watanzania tumekuwa wapuuzi kiasi hicho au ndio anko Magu amekaza sana hadi akili zetu zinaruka
 
Duuh..!! This is TOO MUCH..!!! Nway, labda ilikuwa ni hafla ya kimichezo na yeye hakuwa mgeni rasmi, ila ni kama wamekutana tu hapo, but not an official event..!!!
 
Magufuli endelea kukaza baba maana watu naona walianza kumjaji makonda kwa elimu yake sasa hivi wameamia kwenye mavazi yake kweli watanzania tumekuwa wapuuzi kiasi hicho au ndio anko Magu amekaza sana hadi akili zetu zinaruka
Sio kosa lako
 
Back
Top Bottom