Udhalilishaji... Hata hili litaachwa lipite?

Magufuli endelea kukaza baba maana watu naona walianza kumjaji makonda kwa elimu yake sasa hivi wameamia kwenye mavazi yake kweli watanzania tumekuwa wapuuzi kiasi hicho au ndio anko Magu amekaza sana hadi akili zetu zinaruka
Ni sahihi nadhani wewe zimeshakuruka hujitambui
 
mwanamfalme ndo shoping zake za Europe na south izo
 
Kwani serikali imekataza hayo mavazi kazin
Hizo waga ni mila tu na hazipo kisheria
Wasii wangu msifatilie kila kitu ili ujiumize moyo
We jiangalie wewe na familia yako na jinsi ya kukuza kipato chako
 
Ungeona clip yote akiwa amepanda ktk scafold anajenga moja ya madarasa, ndonungemuelewa kuwa alikuwa kavaa rasmi kikazi.
Mavazi rasmi ya site sio kaptula labda kama hujui taratibu na masharti ya usalama site... Huko kunatakiwa ovoroli, buti na helmet nk, na kama huna overoli basi suruali ngumu... Kaptula sio kabisa.. Naomba ukasome masharti ya OSHA kazini
BTW hakujenga bali yalikuwa ni mapozi ya kupiga picha
 
Magufuli endelea kukaza baba maana watu naona walianza kumjaji makonda kwa elimu yake sasa hivi wameamia kwenye mavazi yake kweli watanzania tumekuwa wapuuzi kiasi hicho au ndio anko Magu amekaza sana hadi akili zetu zinaruka
Ubishani hasa nyakati hata chai hujanywa si jambo zuri. Hebu soma maoni yako kuanzia mwishoni kurudi mwanzoni. Kuna jambo utamaizi. Tuliza munkari.
 
Haya ni mavazi ya beach ama nyumbani.. Hayarusiwi kuvaliwa kwenye shughuli za kiserikali.... Hata hili litafumbiwa macho?
acff021cc4249b36d7e064e0b8d5d6bd.jpg
Mkuu chunga sana, not to that extent!
 
Tuondoke kwenye siasa za kudeal na personal isue.

Haimzuii kufanya kazi zake kwa juhudi na maarifa au kutoa maamuzi sahihi.

Kwa hili sioni tatizo. Yule ni kojana kuna wakati inabidi ajichanganye kama vijana wenzake alimradi hajavunja sheria.
 
Tutofautishe ujana na majukumu ya serikali
 
Kwani serikali imekataza hayo mavazi kazin
Hizo waga ni mila tu na hazipo kisheria
Wasii wangu msifatilie kila kitu ili ujiumize moyo
We jiangalie wewe na familia yako na jinsi ya kukuza kipato chako
Sikuwahi kudhani kama kuna kundi kubwa la mambumbumbu wa taratibu za kazi kiasi hiki
 
Kwani serikali imekataza hayo mavazi kazin
Hizo waga ni mila tu na hazipo kisheria
Wasii wangu msifatilie kila kitu ili ujiumize moyo
We jiangalie wewe na familia yako na jinsi ya kukuza kipato chako

Serikali ina muongozo wa mavazi. Si mila, ni sehemu ya kanuni za kazi.

Hutakiwi kumwambia mlipa kodi anayemlipa mshahara huyo Makonda ajiangalie yeye na familia yake na jinsi ya kukuza kipato chake bila ya kuangalia anaowalipa mshahara wanafanyaje kazi.
 
Mavazi rasmi ya site sio kaptula labda kama hujui taratibu na masharti ya usalama site... Huko kunatakiwa ovoroli, buti na helmet nk, na kama huna overoli basi suruali ngumu... Kaptula sio kabisa.. Naomba ukasome masharti ya OSHA kazini
BTW hakujenga bali yalikuwa ni mapozi ya kupiga picha
Mwanzoni ulionyesha "ulitaka" avae suti, nashukuru umetambua kuwa suti au casual wear haikuwa eneo lake hapo!
 
Ongea lugha inayoeleweka
We tembea uchi na wanao
Babu zangu na wako kabla ya kutawaliwa walikiwa hawatembei uchi, ila walikuwa hawavai hiyo minguo yako uliokremishwa kiwa ni ya bichi, ofisini, nusu tai, full tai nk.
So ni wazi kuvaa nguo sijakremishwa na wazungu bali na wahenga.
 
Back
Top Bottom