Udhalilishaji... Hata hili litaachwa lipite?

Udhalilishaji... Hata hili litaachwa lipite?

Namuona charles mbugi anaendeshwa sana nauyu kijana
 
Haya ni mavazi ya beach ama nyumbani.. Hayarusiwi kuvaliwa kwenye shughuli za kiserikali.... Hata hili litafumbiwa macho?
acff021cc4249b36d7e064e0b8d5d6bd.jpg
Hii inaitwa show what your mummy gave. Anonyesha alicho jaaliwa[emoji38] [emoji38]
 
Back
Top Bottom