barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,811
Babu zangu na wako kabla ya kutawaliwa walikuwa hawatembei uchi, ila walikuwa hawavai hiyo minguo yako uliokremishwa kiwa ni ya bichi, ofisini, nusu tai, full tai nk.Ongea lugha inayoeleweka
We tembea uchi na wanao
So ni wazi kuvaa nguo sijakremishwa na wazungu bali na wahenga.