Udhalilishaji... Hata hili litaachwa lipite?

Udhalilishaji... Hata hili litaachwa lipite?

Wote wanamuogopa, angalia makamanda wazima wamenywea na mavazi ya kihuni. wamenywea.

Watu wachonganishi sana. Sasa kumuogopa nini? Lakini hata kama ...bado ni mwenyekiti wa ulinzi na usalama mkoa. Hivyo si ajabu hata wajeda waki- salute.
 
Anavaa hivyo halafu anatoka hapo anaenda kusema Dar mkoani kwangu.
Jiji la Dalisalama limepatikana mbona, wenye mji kimyaa!
 
Nilishasema niliacha kumfuatilia bashite ila now naendelea kujua akili ya aliyempabkiburi na dharau hapo kashuka kwenye hiyo v8 dah
 
Haya ni mavazi ya beach ama nyumbani.. Hayarusiwi kuvaliwa kwenye shughuli za kiserikali.... Hata hili litafumbiwa macho?
acff021cc4249b36d7e064e0b8d5d6bd.jpg
Huyo ni KE au ME?
 
Back
Top Bottom