Uchunguzi huru: JF haina warembo

Doc mi mbona nna 20 na ninatafuta?
Evelyn Salt ...watoto wazuri kama nyie na under 30 mnatafutwaga...sijawahi kuona under 30 yrs akitafuta bana..by the way nlikuwa najaribu kumrahisishia mwenye uzi..
 
We mbona mi na miaka23 na nlisema nataka mpenz/mchumba na ni m..........
Tumboo mtoto mzuri..wewe ni moja kati ya maelfu..pengi wewe kwa mwaka huu utakuwa wa kwanza na wa mwisho..umefanikiwa malkia..?!!
 
Tumboo mtoto mzuri..wewe ni moja kati ya maelfu..pengi wewe kwa mwaka huu utakuwa wa kwanza na wa mwisho..umefanikiwa malkia..?!!

Kwan uzuri wa mwanamke nn...me najua mwanamke papuchi na si suraa..
 
wadada wanaojiheshimu hukuti wakijianika ovyo kama huko kwenye ma insta na fb
 
em njoo tufanye mambo yetu mrembo! achana nae huyu anaepima kina cha maji kwa miguu yote miwili!

come and shake it to me!

ngoja nikuje kupima ujazo kwanza nisijeanza kushake tu ukamwaga! vingine vina gesi atii
 
Yawezekana nikawa niko sahihi kwa asilimia kubwa kiasi fulan...JF haina wadada wazuri na wenye mvuto kimahaba kwan tafiti zinaonyesha wadada wazuri hawana tym na JF wao wako Instagram na fb
.........mtanisamehe bure ila huo ndo ukweL.......

Nitawasaidia akina dada hii hoja si kweli maana instagram na FB ujivuni ndio mwingi mara niko London mara naingia South mara nilikuwa mapumzikoni Ushelisheli wakati JF ni nondo na mipasho hakuhitajiki matangazo. Naamini akina dada walio JF ni wapenda, maarifa, kujihabarisha na kuandika makala hawa ni aina ya wanawake hata ukiweka Newsweek kwenye coffee table watabeba na kusoma kule instagram ni wasoma magazeti ya udaku, tabloids na kuonyeshana nani ni nani wakati hawana lolote
 
Mmmmh! Mnataka muanze mipango ya kumpora nyumba Mke wangu nikiwa Bado hai!

Yani nilishaandika URITHI mali zangu zote ni mali ya Mke wangu Khantwe mpk lile shamba letu la UKOO la kule kwetu ITUBHILO Ntuzu

Cc: miss neddy Honey Faith

Umeona eeh? Ubaya hawajui hata kinachoendelea.... Achana nao hebu kuja tupate morning glory swthat
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…