Uchawi upo! Muendekeze Mungu ufe masikini

NIMROD alikua ni MTAWALA pia alikua ni Hunter mzuri sana..
na aliwai kiamini kua Kwa utaalamu na Nguvu alizo kua nazo akipiga Arrow angani mshale uta mpata malaika (strike an Angel)

Na ndie muhasisi wa kujenga TOWER OF BABEL (Mnara wa babel)
Aliamini kua huu Mnara wake angefika mbinguni (paradise) Kwa uraisi mkubwa.......

history haielezei Zaid tunacho kisoma ni kua Mungu Ali msambalatisha nimrod na ufalme wake....
Ni kweli, ila sidhani kama alimuua. Mungu yupo fair sana.
 
Hivi Mungu mwenye huruma, mpole mkaribu mwenye kusamehe.

Ndio huyu huyu anaewapa watu maradhi makubwa ya kutisha na ulemavu wa kudumu binadamu wake?

Amekuwa katiri kiasi kwamba haoni shida watu kufa kwa njaaa maradhi na mateso makubwa hapa duniani?

Mungu huyu huyu ndio husababisha ajali kubwa kuuwa watu na kuwaacha wakiteseka?

Mungu huyu huyu ndio anawapa pesa mashoga washirikina na wachawi alafu wachamungu wanaishi kama paka?

Mungu huyu huyu ndio hutoa umasikini wa kudumu kwa watu?

Mungu aliefanya yote hayo ndio anakupenda na wewe?
Wengine hawapendi?

Uchawi upo utumie vizuri baadae rudi kwa Mungu

Jifunze kuishi kwa technique.

Kosoeni masikini wanaomtegemea Mungu kuwa matajiri wakati wapo masikini wa kudumu wenye kudumu na ibada ila wanaishi mpaka aibu.
una mambo mengi sana ya kujifunza,Mpumbavu mmoja alisema ety kwann wachawi wengi ni masikini mtu anamiliki nafsi 400 za washirikina unamuita masikini njoo kwenye realm huku ye nikama mo
 
Angalia video ya mchngaji (R.I.P) Dr Myles Munroe anaeleza kwanini wasiowacha Mungu ni matajiri na wakristo ni masikini sana. Kwa kifupi anasema sali sana ila fanyakazi. Uwe na shughuli ya kuingiza kipato ukiwa kanisani unasali Muombe Mungu aibariki kazi yako,akuletee wateja nk sasa wakristo au wacha Mungu wengi wanaamini wanaweza kuombewa wakapata magari na manyumba bila kuwa na hela ila maombi tu
 
Hizi ni kufuru....any way hakuna Alie wai anzisha mtiti na MUNGU akashinda.....

Wap FARAO, Wap Nebucadreza, Wap Goliath, Wap Nimrod ,Wap Pirato.....
Ni list ndefu...

Achana na hii mijadala ya kum challenge Almighty God..
UNAIELEWA VIZURI HABARI YA FARAO AU UMESOMEWA BIBLIA, MUNGU YEYE MWENYEWE ALIMFANYA FARAO AWE NA MOYO MGUMU HASIWAACHIE WANA WA ISRAEL,

SASA APO KOSA LA FARAO NI NINI IKIWA KAMA YEYE MWENYEWE MUNGU NDIO ALIYEUKAZA MOYO WAKE UWE JEURI KUZIDI KUWASHIKILIA WAISRAEL.
 
UNAIELEWA VIZURI HABARI YA FARAO AU UMESOMEWA BIBLIA, MUNGU YEYE MWENYEWE ALIMFANYA FARAO AWE NA MOYO MGUMU HASIWAACHIE WANA WA ISRAEL,

SASA APO KOSA LA FARAO NI NINI IKIWA KAMA YEYE MWENYEWE MUNGU NDIO ALIYEUKAZA MOYO WAKE UWE JEURI KUZIDI KUWASHIKILIA WAISRAEL.
Aliufanya mgumu Ili watu mama kama nyinyi muweze kuelewa......................

Mungu humchagua amtakaye hum hurumia amhurumiaye.......

MUNGU HUMCHAGUA AMTAKAE HUMPA KIPIGO NA ROHO MBAYA NA NGUMU AMTAKAYE....

KUSUDI LA MUNGU KUCHAGUA LITASIMAMA

Tupo pamoja ndugu yangu
 
Back
Top Bottom