Hapa ndipo unapozidi kijichanganya ukihisi upo sawia.
Unasema Mungu amekuleta duniani na kukupa mtihani then unasema Mungu ndio hupanga kifo chako (Maana yake kwamba anajua A - Z ya maisha yako)
Inamaana hata mchawi, jambazi, anajua kwamba watakuja kua hivyo kabla hata hajafanya maamuzi ya kuwaumba na watakufa kwa namna flani ambayo itawapelekea kwenda motoni.
Yani ni kama saivi wewe upewe option ya kuzaa mtoto kisha upewe ufahamu wa kupanga au kutambua fika huyu atakuja kuwa jambazi, mwizi, mchungaji, malaya, shoga, tajiri je utachagua yupi kati yao??