Uchawi upo! Muendekeze Mungu ufe masikini

Uchawi upo! Muendekeze Mungu ufe masikini

Hujapungukiwa kitu sawa.
Ila duniani umeisha kama paka mweusi

Ila mashoga wenye pesa
Majambazi
Wamekula pesa na maisha matamu na Mungu hayupo.

Wewe ni mwendo wa njaaa tu[emoji23][emoji23][emoji119]
Wewe usie muamini Mungu ni tajiri namba ngapi nchi hii?
 
Huo ndo ukweli ila hizi dini za kuletwa kwa njia ya biashara ya utumwa na ukoloni zimetushika akili kiasi hatuwezi tena kuwaza ila tumebaki kuamini
Waache wanao wanao amini dini za kuletewa wewe usie ziamini ni tajiri namba ngapi tz?
 
Hivi Mungu mwenye huruma, mpole mkaribu mwenye kusamehe.

Ndio huyu huyu anaewapa watu maradhi makubwa ya kutisha na ulemavu wa kudumu binadamu wake?

Amekuwa katiri kiasi kwamba haoni shida watu kufa kwa njaaa maradhi na mateso makubwa hapa duniani?

Mungu huyu huyu ndio husababisha ajali kubwa kuuwa watu na kuwaacha wakiteseka?

Mungu huyu huyu ndio anawapa pesa mashoga washirikina na wachawi alafu wachamungu wanaishi kama paka?

Mungu huyu huyu ndio hutoa umasikini wa kudumu kwa watu?

Mungu aliefanya yote hayo ndio anakupenda na wewe?
Wengine hawapendi?

Uchawi upo utumie vizuri baadae rudi kwa Mungu

Jifunze kuishi kwa technique.

Kosoeni masikini wanaomtegemea Mungu kuwa matajiri wakati wapo masikini wa kudumu wenye kudumu na ibada ila wanaishi mpaka aibu.
Wewe sio mtanzania.
 
mnaposemaga Mungu anampa mwanadamu mtihani apo ndio ninapokataaga kwa 100% huo uongo wenu.

Mungu mwenyewe anajua yajayo sasa akupe mtihani wanini, atake nin kwenye huo mtihani au hajui kuwa akikupa mtihani utafeli au utafaulu ikiwa yeye anaijua baadae yako.

mambo yote magumu utokea ni mfumo tu aliouandaa na sio kumpa mtu mtihani ikiwa mwisho wakotayari anaujua.
Wewe unajitoa akili ukidhani ukikataa dini au kusema hakuna mungu itakuwa sababu yako kuwa tajiri huo ni ufahamu mdogo kama masikini masikini tu
 
Mimi naamini kuna Mungu(ambae ndio huyo mnajichanganya mara alete magonjwa kwa watu innocent au mabalaa mara ni Mungu mwenye upendo etc yani complexity ya vitu vingi),kuna shetani ambae nae ana mambo yake you can say negative energies na kuna Nguvu ya asili iliotuumba hii haihitaji chochote kutoka kwetu yenyewe ni kamilifu,imetuumba ili tuishi

However naheshimu kila imani ya mtu na siwezi kumshangaa yeyote kati yetu
Hii nguvu ya asili ni tofauti na Mungu?
 
Hii nguvu ya asili ni tofauti na Mungu?

Exactly ndio maana wasio amini uwepo wa Mungu wanawauliza maswali magumu mnashindwa kuyajibu
Mungu hawezi kuwa na upendo alafu hapo hapo akawa na hasira akawa na uwivu hapana hio ni fiction binadamu aliiweka kumuhusu Mungu na wewe umeikuta na umeiamini hivyo hivyo,Nguvu ya asili haiji contradict ikafanya wema na uwovu etc siwezi kujielezea kwa kuandika hapa ni mvivu wa kuandika
 
Sawa hakuna Mungu,Lakini unakubali kuna kitu kina nguvu ya asili inayokuzidi wewe?unaamini kuna Nguvu ya uumbaji ambayo ndio wewe ulipotokea?
Hiyo nguvu inaweza ikawepo ila sio lazima iwe Mungu.

Ninyi mnalazimisha kuiita hiyo nguvu Mungu.
 
Unajitoa akili he subili siku akiichukua roho yako kisha ukafukiwa na kifusi cha tani 10 ndipo utakapo amini kuwa mchawi hana uwezo
Kufa kila kiumbe kitakufa.Hata wewe unaye mwamini Mungu utakufa na kuoza.

Kifo sio uthibitisho au ushahidi wa kusema Mungu yupo.
 
Wewe usie muamini Mungu ni tajiri namba ngapi nchi hii?
Utajiri na umaskini havina Uhusiano na uwepo wa huyo Mungu.

Unashindwa kujibu hoja za kuthibitisha uwepo wa Mungu unabadilisha mada.

Kuna watu wana mwamini Mungu na ni Maskini choka mbaya..

Pia kuna watu hawa mwamini Mungu na ni matajiri wakubwa..

Hoja zako za maskini au tajiri na huyo Mungu hazina uhusiano wala mashiko
 
Sawa hakuna Mungu,Lakini unakubali kuna kitu kina nguvu ya asili inayokuzidi wewe?unaamini kuna Nguvu ya uumbaji ambayo ndio wewe ulipotokea?
Nguvu gani? Hata gravity ni nguvu ya asili ya uumbaji inayonizidi mimi, inayarudisha maji yaliyo juu milimani chini na kuumba mito, inaweza kuniangusha mimi chini.

Sasa unaongelea nguvu gani? Be specific please.
 
I definitely agree with you,huyu Mungu ni fiction imetengenezwa na watu wachache wajanja na wamefanikiwa
Naamini kuna nguvu iliotuumba ambayo haihitaji kuabudiwa wala kusujudiwa,jinsi ilivyo ni kamilifu haihitaji chochote kutoka kwetu
Kazi yetu kuu sisi ni kuishi maisha basi
Maisha yametokana na interplay ya nguvu nyingi za kiasili, si nguvu moja.

Hata wanasayansi miaka mingi sana wamekuwa wakitafuta "the theory of everything", lakini, miaka ya hivi karibuni wameanza kujihoji kama hiyo "theory of everything" ipo kweli, au wanahamishia kasumba zao za kidini kwenye sayansi na kumtafuta Mungu katika theories za kisayansi!

As far as the origin of our universe, which may be one of many, the current scientific thinking and the Big Bang model require us to reconcile Einstein's Relativity with Quantum Mechanics to produce a Quantum Gravity Theory, which will explain what happenned t the singularity of the Big Bang.

So, we have to work on that, people are working on that.Perhaps with the help of quantum Computer and AI, we will make some leaps.

But these things are neither in The Bible, nor in The Quran.
 
Kwa sasa unaweza kusema hutakavio lakini siku roho ikikutoka ukafukiwa na kifusi cha tani 10 siku hiyo utaamini kuwa hiyo elimu yako inayo kufanya kuwa mshenzi aina maana
Wewe hata hiyo roho huwezi kuthibitisha kuwa ipo.

Halafu hujawahi kufa ukashuhudia mtu akifa inakuwaje.

Unapiga hadithi ambazo na wewe umesimuliwa na watu waliosimuliwa na wenzao waliosimuliwa, vizazi nenda, vizazi rudi.

Hakuna aliyethibitisha, ni simulizi za imani tu.
 
Maisha yametokana na interplay ya nguvu nyingi za kiasili, si nguvu moja.

Hata wanasayansi miaka mingi sana wamekuwa wakitafuta "the theory of everything", lakini, miaka ya hivi karibuni wameanza kujihoji kama hiyo "theory of everything" ipo kweli, au wanahamishia kasumba zao za kidini kwenye sayansi na kumtafuta Mungu katika theories za kisayansi!

As far as the origin of our universe, which may be one of many, the current scientific thinking and the Big Bang model require us to reconcile Einstein's Relativity with Quantum Mechanics to produce a Quantum Gravity Theory, which will explain what happenned t the singularity of the Big Bang.

So, we have to work on that, people are working on that.Perhaps with the help of quantum Computer and AI, we will make some leaps.

But these things are neither in The Bible, nor in The Quran.
Hivi mkuu, Kabla ya "Big Bang" kulikuwa hakuna kitu chochote?

Yani kwamba, Nothing existed before Bing bang theory?

Je, Bing Bang ilitokea kwa kutokuwepo kitu kabla yake?
 
Hivi mkuu, Kabla ya "Big Bang" kulikuwa hakuna kitu chochote?

Yani kwamba, Nothing existed before Bing bang theory?

Je, Bing Bang ilitokea kwa kutokuwepo kitu kabla yake?
Kwanza kabisa, Big Bang ni model.

Pili, kwa mujibu wa Einstein's Relativity, time is relative, there is no absolute time, time depends on the observers frame of reference. Sasa, ukiuliza kabla ya Big Bang, unauliza kabla ya Big Bang kutoka frame of reference gani?

From the Big Bang model, time and space started at the Big Bang, so in this framework, there is no time or space to call "before" the Big Bang. You need to reconcile Einstein's Relativity with Quantum Physics to find out how exactly did the Big Bang happen.

Asking what existed before the Big Bang is like asking what is north of the north pole.
 
kwa kwel MUNGU yupo ila kwa sisi wengine naona katuacha tunaugua ,tunateswa na wachawi na ibada tuna fanya lakini wapi? majalibu wengine tangu utotoni na ukubwani bado hali nitete ,huwaga na jiuliza au tulizaliwa kwa bahati mbaya? au tulimkosea? any way ni mshukuru na pumua japo tunaish kwa mateso, ila tusilaum je ambao hawaoni,watoto wadogo wanao umwa ambao hawajui dhambi nini, vi wete wanaoshinda njaa. wenye dhambi naona ndo wanakula mema ya nchi.kuna wakat hal ilizd kuwa ngumu na kutaman kujiunga na wajenz huru nikiamin nikiwa fm mchaw hato nigusa. kibaya zaid tuna teswa na ndugu zet ambao wangetusaidia.MUNGU yupo jaman ,kama uchaw upo ,majin yapo na MUNGU yupo
Nguvu za giza zimefanikiwa kuyaharibu maisha yangu..najiuliza mpango wa Mungu kwangu ni upi?
Je,haupo au ulikuwepo ila umeharibiwa?

maisha hayana radha kabisa,ni basi tu nilishazaliwa
 
Back
Top Bottom