Uchawi upo! Muendekeze Mungu ufe masikini

Uchawi upo! Muendekeze Mungu ufe masikini

Hatuwezi kujua tusicho kijua, lakini, tunaweza kupunguza tusichokijua kwa kujielimisha.

Haya mambo si kwamba mtu alikaa mara moja tu akagundua, ni maelfu na maelfu ya miaka ya watu kusoma, kuvumbua, kuchambua, kuandika na kurithishana vizazi na vizazi.

Einstein alikuwa mdadisi tangu mtoto. Alipewa compass, dira, na baba yake, akawa anajiuliza kwa nini ile needle ya compass inaelekea upande mmoja tu kokote anapoenda? Alijenga udadisi huo mpaka ukubwani, akafanya thought experiments, akasoma mambo ya sayansi ya wengine, akatupa kitu alichoongeza yeye, Relativity, special na general.

Umeuliza kama Einstein alifanya thought experiments tu, au alifanya nini? Alianza kwa thought experiment, akiangalia frame of reference tofauti, mtu aliye kwenye treni na aliyesimama kituoni, jinsi muda unavyokuwa tofauti, watu walio katika elevator (lift) wanavyoweza ku simulate gravity. Ni udadisi tu. Lakini, hizo thought experiments zake ziliangaliwa kimahesabu zikakutwa sawa, zimethibitishwa, aliweza mpaka kufanya utabiri. Mfano, katika solar eclipse ya mwaka 1919, hesabu za Newton zilitabiri kwamba nyota fulani za zilizotakiwa kuwa zinaonekana pembeni ya jua zitakuwa pahali fulani, hesabu za Einstein zikatabiri kwamba, kutokana na gravity ya jua, nyota hizo zitaonekana pembeni kidogo ya zilipotabiriwa na Newton, Arthur Eddington akafanya experiment na kuona hesabu za Einstein ziko sahihi, mwaka 1919.

Kuanzia hapo, Einstein amethibitishwa mara nyingi sana katika muktadha wa Relativity. Hata GPS system inatumia kanuni za Einstein za Relativity, ukitumia Newtonian math kuendesha GPS utatengeneza ajali dunia nzima. Ukiangalaia TV inayotumia matangazo ya satellite, unatumia Relativity. Mambo mengi sana yanayotaka high accuracy in time yanatumia hesabu za Relativity.

Hiyo Big Bang Theory watu hawakugundua mara moja. Ukisoma historia za kina George Lemaitre na Edwin Hubble utaona kwamba hizi habari za ugunduzi zina safari ndefu sana ya uchunguzi, na mpaka leo watu wanachunguza na kuhakiki bado. Mimi hizi habari nazifuatilia tangu form one angalau, na ugunduzi mwingine kama wa Cosmic Microwave Background au Higgs Boson unafanyika mimi nilikuwa nausubiri kwa miaka mingi.

Ttatizo jamii yetu watu wengi hawafuatilii mambo haya kwa karibu, hivyo yanaonekana kama uchawi tu.
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Heshima kwako mkuu.

Hoja zako umeiva haswaa hubahatishi usemacho...

Nimejifunza mengi hapa na baadhi ya maswali yaliyokuwa yana nitatiza nimepata mwanga.

Kuna msemo mmoja wa Haile Selassie Raisi wa Ethiopia aliwahi sema kwamba

"A man who says, I have learned enough and will learn no further should be considered knowing Nothing at all"....

Na ulichosema hapa kwamba"ili kujua zaidi lazima tuendelee kujielimisha" vinapatana na msemo wa Haile Selassie.

Wengi wa watu hujifanya hawataki kwenda beyond, Ku Question uwepo wa Mungu kwa vile wame kuwa "Brainwashed" na kuwekewa Hofu zilizo wageuza waoga na kuwajengea Uoga kuhoji maswala ya imani na uwepo wa Mungu...

Nimejifunza pia, Faith prevents reasonable thinking

Kudos,Mkuu[emoji119][emoji119][emoji119][emoji122][emoji122]
 
Tatizo la binadamu hajui Mungu ni nini?,ndio maana wengine wanasema. MUNGU yupo ila Dunia na watu wanavyo muuelezea sivyo.Mungu ni kila kitu kilichopo universe pamoja Dunia. Mungu ameseti NATURAL principles na laws. Ikikosea sheria asili dunia inakuazibu.Mungu ameumba vitu vingi, hata muda binadamu .fikia dunia ina miaka zaidi billion binadamu amekuja juzi, mabadiliko na atapotea hata Mungu siphoning kama ana mjua
 
Utasemaje uliumbwa na kitu usicho kifahamu uambiwe hicho kitu ni Mungu?

Yani kwanza kitu hakijulikani ila kinalazimishwa kionekane kipo na kiaminiwe kwamba kipo..

Ila kiuhalisia Hakipo.
 
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Heshima kwako mkuu.

Hoja zako umeiva haswaa hubahatishi usemacho...

Nimejifunza mengi hapa na baadhi ya maswali yaliyokuwa yana nitatiza nimepata mwanga.

Kuna msemo mmoja wa Haile Selassie Raisi wa Ethiopia aliwahi sema kwamba

"A man who says, I have learned enough and will learn no further should be considered knowing Nothing at all"....

Na ulichosema hapa kwamba"ili kujua zaidi lazima tuendelee kujielimisha" vinapatana na msemo wa Haile Selassie.

Wengi wa watu hujifanya hawataki kwenda beyond, Ku Question uwepo wa Mungu kwa vile wame kuwa "Brainwashed" na kuwekewa Hofu zilizo wageuza waoga na kuwajengea Uoga kuhoji maswala ya imani na uwepo wa Mungu...

Nimejifunza pia, Faith prevents reasonable thinking

Kudos,Mkuu[emoji119][emoji119][emoji119][emoji122][emoji122]

Asante sana mkuu.

Kuna vingi vya kujifunza. Kinachosikitisha ni kwamba, katika zama hizi za elimu nje nje, ukitaka kujifunza sayansi, historia, sanaa, vitu vingi sana, unaweza kupata courses mpaka za Ivy League colleges online, for free. Unaweza kupata mengi Youtube. Hata kama.mvivu wa kusoma unaweza kusikiliza watu. Hata hapa tunahojiana na kuelekezana, lakini watu wengi hawajachangamkia fursa kujielimisha. Sijui ni kukisa utashi? Au Kiingereza? Lakini hata mijadala ya Kiswahili naona tunazembea.

Mwisho wake tunakuwa consumers tu wa vitu vya watu, teknolojia ya watu, mpaka kufikiri tunakosa kujiongoza kimantiki kwa muktadha wetu. Tunaishia kupewa vitabu vya dini za tamaduni za watu na kupangiwa kuishi, ukihoji unaambiwa unakufuru.

Huku wenzetu hao waliotuletea hizo dini wengine ndio hao wanakwenda kwenye dunia ya ma Quantum Computer ambayo wakiyakamilisha yanaenda ku take over dunia nzima na kuturudisha upya kwenye utumwa, wanakwenda kwenye Artificial Intelligence na kuongeza brainpower mara nyingi bila kuongeza watu, wanatuacha mbali sana.

Sasa sisi wengine tunataka kuamshana padogo tu, hizi njozi za dini, Mungu, uchawi, supernatural powers, tuepukane nazo. Dunia inaeleweka kwa kuiangalia katika natural prism tu, watu wamefanya vitu ambavyo wangeviona mababu zetu wangefikiri ni uchawi, bila kutumia uchawi, the natural is as profound, if not even more profound, than most supernatural dreams, we just have to find the right key to unlock nature. The idea of an all knowing, all capable and all loving God as depicted in tge scripture is actually very parochial and outdated. We can do better than that.

God and religion, witchcraft and supernatural powers, are just human made games, like any game you can play in Playstation, a creation of the human mind, nothing more.
 
Tatizo la binadamu hajui Mungu ni nini?,ndio maana wengine wanasema. MUNGU yupo ila Dunia na watu wanavyo muuelezea sivyo.Mungu ni kila kitu kilichopo universe pamoja Dunia. Mungu ameseti NATURAL principles na laws. Ikikosea sheria asili dunia inakuazibu.Mungu ameumba vitu vingi, hata muda binadamu .fikia dunia ina miaka zaidi billion binadamu amekuja juzi, mabadiliko na atapotea hata Mungu siphoning kama ana mjua
Unajuaje hili ni kweli, na si hadithi unayojipigia tu?
 
Siku ukifa utajua kua mungu ni nani hasa...mkuu na utajua hata ule utajiri uliokua ukiuabudu hauna maana yeyote baada ya kufa
 
Tumeletwa duniani kwa lengo moja tu..la kumuabudu mwenyezi mungu...mengine mbwembwe..
 
Siku ukifa utajua kua mungu ni nani hasa...mkuu na utajua hata ule utajiri uliokua ukiuabudu hauna maana yeyote baada ya kufa
Ulishawahi kufa au kuna Aliye wahi kufa akarudi duniani kusema na kuthibitisha kwamba ukifa utajua Mungu ni nani??

Ulicho nacho wewe ni feat of unknown, una hofu na wasiwasi kwa kiumbe cha kufikirika imaginations just an illusion
 
Tumeletwa duniani kwa lengo moja tu..la kumuabudu mwenyezi mungu...mengine mbwembwe..
Ilishindikanaje aabudiwe huko huko aliko?

Kwa nini duniani na si huko aliko yeye?

Kwa nini anataka aabudiwe, akisha abudiwa anapata faida gani na ipi?
 
Siku utayojua uko Duniani kwa Ajili ya Nini ndio utakuwa umeanza kujitambua.

Kama unatumia MAJANI kuvuta fanya uache Mara moja!
 
Siku ukifa utajua kua mungu ni nani hasa...mkuu na utajua hata ule utajiri uliokua ukiuabudu hauna maana yeyote baada ya kufa
Vitisho ni kauli ya mwisho ya mfia dini yeyote yule.
Inakuwaje Mungu ajidhihirishe kwa wafu na si kwa walio kwenye game halisi?
Mtu ukifa unamjuaje Mungu, this is hilarious
 
Nafikiri mataifa yaliyoendelea hayamwendekezi Mungu. Hiyo kazi wameacha kwa watu wa ulimwengu wa tatu. Haya sasa, tuendelee kufunga macho na kusali.
 
Hivi Mungu mwenye huruma, mpole mkaribu mwenye kusamehe.

Ndio huyu huyu anaewapa watu maradhi makubwa ya kutisha na ulemavu wa kudumu binadamu wake?

Amekuwa katiri kiasi kwamba haoni shida watu kufa kwa njaaa maradhi na mateso makubwa hapa duniani?

Mungu huyu huyu ndio husababisha ajali kubwa kuuwa watu na kuwaacha wakiteseka?

Mungu huyu huyu ndio anawapa pesa mashoga washirikina na wachawi alafu wachamungu wanaishi kama paka?

Mungu huyu huyu ndio hutoa umasikini wa kudumu kwa watu?

Mungu aliefanya yote hayo ndio anakupenda na wewe?
Wengine hawapendi?

Uchawi upo utumie vizuri baadae rudi kwa Mungu

Jifunze kuishi kwa technique.

Kosoeni masikini wanaomtegemea Mungu kuwa matajiri wakati wapo masikini wa kudumu wenye kudumu na ibada ila wanaishi mpaka aibu.
Unataka kusema nini?
 
Hivi kwanini watu mnadhani Mungu ni kama mtu wa kumchezeachezea kama peremende?
Mungu hanaga utani na mwanadamu, ana upendo usio na kikomo na at the same time ghadabu kali mno Kwa wanaomuasi kwa makusudi .
Yaani utumie uchawi then umrudie Mungu unaongea kwa urahisi hivyo?
Chagua upande, ukitaka kumtumikia Mungu Mtakatifu mtumikie , ukitaka uchawi nenda.
Kwanza ni nani kakuambia Mungu ameumba note za pesa? Mungu kaumba dhahabu na minerals zingine za thamani, so hizi pesa Kuna mmiliki wake(mungu wa pesa) anaitwa mammon.
Dah nmeenda kumgoogle mammon aisee ni hatar
 
Back
Top Bottom