Uchambuzi wa Sera mpya ya CHADEMA toleo la 2018

Uchambuzi wa Sera mpya ya CHADEMA toleo la 2018

Ninacho sikitika sana nikutaka wote tukatafute vitabu hivyo wakati hapa ulipaswa kuendelea kutushushia hizo Sera ili tuzipime na tuendelee kuzieneza kwa wasio na uwezo wa kupata vitabu

Naomba kama huto jali anzisha uzi utakao elezea hizo Sera wengi tuweze kuzipata na kuzisoma kwa urahisi na wakati
 
Wakuu ama kwa hakika usije ukathubutu kushindana na Aliyejaaliwa na Maulana , unaweza kujikuta unatembea umbali mrefu kwa miguu baada ya kuishiwa nauli.

Chadema ni mpango wa Mungu mwenyewe ambao bila ya shaka HAKUNA MWANADAMU YEYOTE ALIYEUMBWA KWA UDONGO ataweza kuishikia chini , hiki chama kiacheni tu jamani , kimeshindikana ! Hivi wanatumia njia zipi hawa watu jamani ? kitabu kimetoka juzi lakini kinasomwa , kinafuatiliwa na kuzingatiwa utadhani ni filamu ya Sultan ! ama kweli Chadema inapendwa mno !

Ufuatiliaji huu wa sera hizi mbadala ambao kiukweli siku ya kuzinduliwa kwake hazikupewa promo yoyote ya maana ni ishara ya wananchi wa Tanzania kuchoshwa na umasikini , njaa na mateso wanayoyapata , kuchoshwa kwa wananchi na porojo za takwimu feki za viongozi kuhusu uchumi wa nchi , maendeleo , afya na elimu , wananchi wanaziangalia sera za chadema kama Mkombozi wao , na kiukweli hakukuwa na namna yoyote ile zaidi ya kuzuia siasa za majukwaa ili kuokoa jahazi .

View attachment 883997View attachment 883998View attachment 883999

ombeni msamaha kwa slaa
 
Dili Mkuu hawezi kushusha Sera yote hapa.

Ninacho sikitika sana nikutaka wote tukatafute vitabu hivyo wakati hapa ulipaswa kuendelea kutushushia hizo Sera ili tuzipime na tuendelee kuzieneza kwa wasio na uwezo wa kupata vitabu

Naomba kama huto jali anzisha uzi utakao elezea hizo Sera wengi tuweze kuzipata na kuzisoma kwa urahisi na wakati
 
Mimi toka nishuhudie madawa ya kulevya yakiuzwa na mabaunsa wa club billicanas nikasema sitakuja kuamini CHAMA kinachoongozwa na mmiliki wa club hio.never!
Ni vizuri kuchambua kwanza Sera yao ili kuona kama inaruhusu ushirikishwaji, inatoa fursa kwa watu wote kushiriki katika kufaidi keki ya taifa na kama inatoa matumaini kwa Watanzania, kama haikidhi matakwa na matarajio ya Watanzania, itupwe kuleeeeeee, lakini kama inakidhi, ifanyiwe kazi hata na Chama Tawala maana kinachohitajika ni maendeleo kwa Watanzania wote sio maendeleo kwa watu wachache.
 
Nimesoma mpka hapa hakuna pdf. Yaani tujadili kitu ulichosoma wewe ukaelewa?
Halafu sikuona umuhimu wa kuweka picha ya viongozi ktk hiyo sera. Inakuwaje akistaafu au akijiudhuru au kufa angali sera haijabadilishwa? Kuprint nyingine ni gharama isiyo na maana.
 
Kufika makandana si leo wanadili mujini mujini tu Mkuu.

Na inafahamika wengi wao Chadema ni wafanya biashara.

Yericko ni mfanyabiashara wa vitabu inafahamika
Hali ngumu kipindi hiki cha Jpm nani Chadema atatoa pesa awatolee Sera bure muisome.

Kama dili basi wabaki na vitabu vyao maana najua huku kwetu haviwezi kufika
 
Uko sahihi mkuu
Ni vizuri kuchambua kwanza Sera yao ili kuona kama inaruhusu ushirikishwaji, inatoa fursa kwa watu wote kushiriki katika kufaidi keki ya taifa na kama inatoa matumaini kwa Watanzania, kama haikidhi matakwa na matarajio ya Watanzania, itupwe kuleeeeeee, lakini kama inakidhi, ifanyiwe kazi hata na Chama Tawala maana kinachohitajika ni maendeleo kwa Watanzania wote sio maendeleo kwa watu wachache.
 
Kufika makandana si leo wanadili mujini mujini tu Mkuu.

Na inafahamika wengi wao Chadema ni wafanya biashara.

Yericko ni mfanyabiashara wa vitabu inafahamika
Hali ngumu kipindi hiki cha Jpm nani Chadema atatoa pesa awatolee Sera bure muisome.
Ndio wajue kujenga chama ni garama maana humu tupo tunao weza kusoma na kuzisambaza kama wanaona hasara basi wakae navyo
 
Naona mugabe kajiweka kwenye picha katika ukurasa wa mwanzo kabisa!

Sasa unapomuweka hivyo maana yake nini? Si bora wangeweka picha za kina mtei?
inawezekana na hiyo ni sera yao nyingine kuamini kila anachosema, watu wanadai katiba wakati katiba yao wenyewe inawashinda
 
Ninacho sikitika sana nikutaka wote tukatafute vitabu hivyo wakati hapa ulipaswa kuendelea kutushushia hizo Sera ili tuzipime na tuendelee kuzieneza kwa wasio na uwezo wa kupata vitabu

Naomba kama huto jali anzisha uzi utakao elezea hizo Sera wengi tuweze kuzipata na kuzisoma kwa urahisi na wakati
Shida ya jf ni kuunganishwa kwa nyuzi , hili swala la sera mbadala si jambo dogo , lilitakiwa lipewe nafasi , ndio maana tunajaribu kuweka nyuzi kadhaa , lakini moderator anaunga nyuzi zetu , si rahisi kitabu chote kukiweka kwenye uzi mmoja , kwa manufaa ya wadau nitampigia simu Yericko ajaribu kutuwekea kitabu chote hapa watu wote wasome
 
Sawa mkuu naamini MNA uweza wa kuwasiliana na mod mkaweka uzi kwaajili ya Sera tu na zikawekwa kwa mpangilio kulingana na na kurasa zake

Kusema haziwezi kukaa kwenye uzi mmoja inawezekana maana naona simulizi zinafika idadi ya wanavyo ona inafaa wasimuliaji

Kinacho paswa ombeni mod waweze kuruhusu uzi uitwe uzi wa Sera mpya za chadema

Hii itasaidia kuzisoma kila siku na kuweza kuzijua vizuri
 
nimechukua maoni yako
 
Fikru finyu hudhani kuwa sera za vyama zipo kwaajili ya kuombea kura tu katika chaguzi. Na kwa hiyo hujenga chuki zisizo na msingi bila kujali ubora wa sera hizo kwa manufaa ya wananchi.

Simple minded politicians think of next election, but great leaders think of next generations. "Wanasiasa wenye fikra finyu huwazia uchaguzi ujao, lakini viongozi bora hufikiria mustakabali wa vizazi vijavyo"
Maelezo hayo hapo juu ni muhimu sana. Hasa ninapotafakari, namna chama cha Chadema kilivyoamua kuendesha utaratibu wake wakuwasaidia wananchi. Sera zilitupwa pembeni...Wazungu wakawa sera ya chadema na namna ya kuwaletea wananchi maendeleo. Tuliyaona kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015. Ndiyo...!! Unaguna nini !? Ebu rejea maelezo aliyotoa Mh. Lissu alipoojiwa na Global TV namna Chadema kilivyoingia ikulu. Soma quote hii ya JOHN wa JF kutoka kwenye uzi ambao link yake ipo chini ya post hii.
Chadema hawajatembea kwenye msemo wao (Walk the Talk) na sidhani kama watembea katika utaratibu wao huu wa uendeshaji siasa nchini. Muda 'utaeleza'.
“Wazungu wakatuambia hivi political personalities zote za Tanzania walimfanyia kila mmoja wao walimfanyia uchunguzi wake, wakatuambia hivi ‘katika wote hao ukimweka huyu na huyu, huyu bwana mkubwa Lowassa huyu yeye peke yake anatembea na asilimia 18 ya Tanzania voters,’ aliyekuwa anamfuata alikuwa na asilimia 11 tu. Kwahiyo Lowassa as Lowassa alikuwa na eighteen percent ya likeability ya kupendwa na hao Watanzania akienda huku anaenda na asilimia 18 ya ziada, akienda huku anaenda na asilimia 18 za ziada nyingine ongezeeni,” alisema Lissu.

“Tukasema hivi, ‘tunataka kushinda uchaguzi eeh tuzungumze na Lowassa’ na Dkt Slaa akasema tuzungumze na Lowassa tukamwambia ‘Dkt una mawasiliano naye’ akasema ‘sina mawasiliano naye, ila kuna mtu ambaye anaweza akawezesha mawasiliano naye ni nani? Askofu Gwajima’ tunaelewana, so this how we got Edward Lowassa.”

Tundu Lissu aeleza kwanini walimchagua Lowassa kugombea Urais - JamiiForums
 
Nimesoma mpka hapa hakuna pdf. Yaani tujadili kitu ulichosoma wewe ukaelewa?
Halafu sikuona umuhimu wa kuweka picha ya viongozi ktk hiyo sera. Inakuwaje akistaafu au akijiudhuru au kufa angali sera haijabadilishwa? Kuprint nyingine ni gharama isiyo na maana.
Mkuu nimeanza kuweka vipande nakala za picha katika post humu katikati ya post, hebu rudi nyuma kidogo..

Sera ni kitabu kikubwa huwezi kupost chote, pdf itakuwa hewani iko jikoni ikidhibitiwa isidurufiwe na mabingwa wa kunakili kila kitu....
 
Back
Top Bottom