Prof. Palamagamba: Rais Samia anavipa Vyama vyote nafasi sawa

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,354
Reaction score
18,620
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Profesa Palamagamba Kabudi, amesema kuwa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi nchini hautakiwi kuchukuliwa kama uadui, uhasama au shari, bali ni jukwaa la kuwakutanisha Watanzania wa maoni tofauti ili kujadili mustakabali wa taifa lao.

Katika hatua nyingine, Prof. Kabudi amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fursa na nafasi sawa kwa vyama vyote vya siasa kukutana naye na kutoa maoni yao kwa uwazi.

"Nimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuvipa vyama vyote vya siasa nafasi iliyo sawa ya kukutana naye, kuongea naye na kutoa maoni yao."

"Nimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuvipa vyama vyote vya siasa nafasi iliyo sawa ya kukutana naye, kuongea naye na kutoa maoni yao." - Palamagamba Kabudi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu)
Mimacho kodo
 
Kabudi amefanya wasomi wadharaulike sana katika nchi hii. Zamani mtu akisema mie ni Prof. tulikuwa tunampa heshima zote; Prof. Shivji, Prof. Mwandosya, Prof. Shaba, Prof. Luhanga nk. Sasa tangu huyu aseme yeye aliokotwa jalalani na mambo kama haya amefanya maprofessor wote waonekane hawana kitu kichwani hata Msukuma anawabeza kuwa na akili zaidi
 
"Nimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuvipa vyama vyote vya siasa nafasi iliyo sawa ya kukutana naye, kuongea naye na kutoa maoni yao." - Palamagamba Kabudi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu)
View attachment 3685921
Kama anasoma hayo maelezo sawa nikajua anayatoa kichwani,nadhani hata msomaji hajui anasoma nini. Ni muhimu kuangalia trending ya upepo wa taifa inavyokwenda.
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Profesa Palamagamba Kabudi, amesema kuwa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi nchini hautakiwi kuchukuliwa kama uadui, uhasama au shari, bali ni jukwaa la kuwakutanisha Watanzania wa maoni tofauti ili kujadili mustakabali wa taifa lao.

Katika hatua nyingine, Prof. Kabudi amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fursa na nafasi sawa kwa vyama vyote vya siasa kukutana naye na kutoa maoni yao kwa uwazi.

"Nimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuvipa vyama vyote vya siasa nafasi iliyo sawa ya kukutana naye, kuongea naye na kutoa maoni yao."

Kama ni kweli amwachie huru mwenyekiti wa kile chama anachokinyima usawa.Halafu tuutafute huo usawa kama unaukweli?
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Profesa Palamagamba Kabudi, amesema kuwa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi nchini hautakiwi kuchukuliwa kama uadui, uhasama au shari, bali ni jukwaa la kuwakutanisha Watanzania wa maoni tofauti ili kujadili mustakabali wa taifa lao.

Katika hatua nyingine, Prof. Kabudi amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fursa na nafasi sawa kwa vyama vyote vya siasa kukutana naye na kutoa maoni yao kwa uwazi.

"Nimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuvipa vyama vyote vya siasa nafasi iliyo sawa ya kukutana naye, kuongea naye na kutoa maoni yao."

Sema kweli
 
Baba Kabudi,
Tatizo tulilo nalo ni hilo, kwamba rais ana mamlaka ya kufanya chochote juu ya vyama vingine vya siasa, bila hisani yake basi mambo yake hayaendi. Kwanini useme rais anawapa wote nafasi sawa? Kwann hujasema msajiri anavipa vyama nafasi?
Watu wote kila siku wanasema Madhila wanayopitia vyama vya upinzani vina mkono wa serikali nyie mnakataa, mkiambiwa kesi ya mwenyekiti wao ni ya kisiasa tunakataa.
Baba yetu Profesa, hebu jirudi urudi kwenye ubora wako kabla ya kuingizwa kwenye siasa.
 
Na huyu ndio mwanasheria wa nchi
 
Anavipa nafasi yeye kama nani kwanza?

Halafu Samia alichaguliwa lini na nani pia kuwa rais?
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Profesa Palamagamba Kabudi, amesema kuwa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi nchini hautakiwi kuchukuliwa kama uadui, uhasama au shari, bali ni jukwaa la kuwakutanisha Watanzania wa maoni tofauti ili kujadili mustakabali wa taifa lao.

Katika hatua nyingine, Prof. Kabudi amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fursa na nafasi sawa kwa vyama vyote vya siasa kukutana naye na kutoa maoni yao kwa uwazi.

"Nimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuvipa vyama vyote vya siasa nafasi iliyo sawa ya kukutana naye, kuongea naye na kutoa maoni yao."

Kabudi is a disgrace to this nation.
 
Attachments

  • IMG_0830.jpeg
    IMG_0830.jpeg
    184.2 KB · Views: 3
Back
Top Bottom