Tundu Lissu aeleza kwanini walimchagua Lowassa kugombea Urais

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,743
45,276
Tundu Lissu aeleza kwanini waliamua kumchagua Lowassa kugombea Urais

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kiliamua kumchukua aliyekuwa waziri mkuu, Edward Lowassa, ajiunge na chama hicho baada ya kubaini katika utafiti maalum uliofanywa na shirika moja kutoka nchi za nje kwamba alikuwa na uwezo wa kubeba asilimia 18 ya kura zote katika uchaguzi mkuu kuliko mgombea mwingine wa urais katika uchaguzi mkuu uliopita.

Hayo yalizungumzwa na Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu, wakati akihojiwa na Global TV Online ambapo alisema pia Lowassa aliongoza wagombea wote katika utafiti huo.

“Wazungu wakatuambia hivi political personalities zote za Tanzania walimfanyia kila mmoja wao walimfanyia uchunguzi wake, wakatuambia hivi ‘katika wote hao ukimweka huyu na huyu, huyu bwana mkubwa Lowassa huyu yeye peke yake anatembea na asilimia 18 ya Tanzania voters,’ aliyekuwa anamfuata alikuwa na asilimia 11 tu. Kwahiyo Lowassa as Lowassa alikuwa na eighteen percent ya likeability ya kupendwa na hao Watanzania akienda huku anaenda na asilimia 18 ya ziada, akienda huku anaenda na asilimia 18 za ziada nyingine ongezeeni,” alisema Lissu.

“Tukasema hivi, ‘tunataka kushinda uchaguzi eeh tuzungumze na Lowassa’ na Dkt Slaa akasema tuzungumze na Lowassa tukamwambia ‘Dkt una mawasiliano naye’ akasema ‘sina mawasiliano naye, ila kuna mtu ambaye anaweza akawezesha mawasiliano naye ni nani? Askofu Gwajima’ tunaelewana, so this how we got Edward Lowassa.”
 
Utumwa wa fikra Mr lawyer.wazungu wakakurambisheni jokeli.
 
Mkuu nimesaidie hiyo link.

QUOTE="ndege JOHN, post: 19246564, member: 384465"]Tundu Lissu aeleza kwanini waliamua kumchagua Lowassa kugombea Urais

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kiliamua kumchukua aliyekuwa waziri mkuu, Edward Lowassa, ajiunge na chama hicho baada ya kubaini katika utafiti maalum uliofanywa na shirika moja kutoka nchi za nje kwamba alikuwa na uwezo wa kubeba asilimia 18 ya kura zote katika uchaguzi mkuu kuliko mgombea mwingine wa urais katika uchaguzi mkuu uliopita.

Hayo yalizungumzwa na Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu, wakati akihojiwa na Global TV Online ambapo alisema pia Lowassa aliongoza wagombea wote katika utafiti huo.

“Wazungu wakatuambia hivi political personalities zote za Tanzania walimfanyia kila mmoja wao walimfanyia uchunguzi wake, wakatuambia hivi ‘katika wote hao ukimweka huyu na huyu, huyu bwana mkubwa Lowassa huyu yeye peke yake anatembea na asilimia 18 ya Tanzania voters,’ aliyekuwa anamfuata alikuwa na asilimia 11 tu. Kwahiyo Lowassa as Lowassa alikuwa na eighteen percent ya likeability ya kupendwa na hao Watanzania akienda huku anaenda na asilimia 18 ya ziada, akienda huku anaenda na asilimia 18 za ziada nyingine ongezeeni,” alisema Lissu.

“Tukasema hivi, ‘tunataka kushinda uchaguzi eeh tuzungumze na Lowassa’ na Dkt Slaa akasema tuzungumze na Lowassa tukamwambia ‘Dkt una mawasiliano naye’ akasema ‘sina mawasiliano naye, ila kuna mtu ambaye anaweza akawezesha mawasiliano naye ni nani? Askofu Gwajima’ tunaelewana, so this how we got Edward Lowassa.”[/QUOTE]
 
Kama Chadema Ilienda Kumpigia Magoti Lowassa, Wacha Aipelekeshe Kama Anavyotaka Maana Hakuna Namna Sasa! Mkimzingtb Tu Anarudi Alikotoka, Na Hapo Ndo Chadema Kifo Cha Mende
 
Chadema waliona mbali sana.
Umaarufu wa CHADEMA ulitokana na jinsi walivyotuaminisha WaTZ kuwa walikuwa wapingaji wa kikweli wa ufisadi ambapo icon ya ufisadi nchini ni Lowassa. Kiukweli CHADEMA walijiimarisha kwa kutuaminisha kuwa walikuwa wakiupinga ufisadi kutoka moyoni. Kitendo cha kumchukua yule yule Lowassa na kujaribu kumsafisha eti anatembea na 18% ya kura kitawaumiza sana CHADEMA. Sawa waliongeza idadi ya wabunge lakini ikifika 2020 nani atawamini?
 
... Nadhani wewe ndiye umejikwaa kwa sababu numbers don't lie... Ndo maana out come of the election, pamoja na figisu zoote, jamaa ameibuka na kura 6 million na wabunge wengi...
>>>Wewe kweli ni mwehu....

Kura za Lowasa ni za muungano wa vyama vinne .... Pamoja na mamluki wachache wa cCM.
 
Nyie wabongo mnachojua ni kuhamisha pesa za ruzuku kutoka main account ya cuf na kuipeleka Temeke tu
 
15942151_1366778640060380_191498622_n.jpg
 
Hizi tafiti nazo muda mwingine..mh!
Katika tafiti ambazo nadhani zilitoa majibu halisi hizi ni miongoni mwazo (bila kujali mimi na wewe tunampenda au tunamchukia Lowasa). Kura za maoni za ccm zilionesha hivyo, alipokuja Chadema/Ukawa hali halisi ilionesha hivyo. Kuna watu walikua wanasema jamaa anahonga but hata akili ya kawaida tu haiwezi amini kama huyu mtu anaweza honga watu wote au makutano yote yale, huyu mtu basi atakua ni Trilionea. Ki ukweli kabisa ushahidi wa mazingira unaonesha JAMAA "Alishinda" mengine tuyaache tu but historia will tell the truth one day.
 
Back
Top Bottom