Uchambuzi wa Sera mpya ya CHADEMA toleo la 2018

Uchambuzi wa Sera mpya ya CHADEMA toleo la 2018

Naona mugabe kajiweka kwenye picha katika ukurasa wa mwanzo kabisa!

Sasa unapomuweka hivyo maana yake nini? Si bora wangeweka picha za kina mtei?
Siku zote nasema,jarbu kusoma uzi,kisha utoe mawazo,au maoni yako. Sasa unaposema Mugabe kaweka picha yake,sijui nikufikirieje. Huyo aliyekutuma kuandika ulichoandika huwa anamheshimu sana Mugabe,wewe unamdharau Mugabe...jaribu kujibu hoja kama una cha kusema.
Mwisho.....tuambie sera za chama chako..lkn usituambie wanakulipa ubwabwa
 
Hivi hawa vijana wa Lumumba hata uwezo tu wa kumiliki simu au kununua vocha wanao? Nahisi watakuwa wanapewa simu na vocha. Kati ya makosa makubwa CCM inafanya ni kuokoteza mtaani vijana ambao hata darasa 1 hawajaenda. Tukisema hawa magraduates walokosa ajira haiwezekani. Hata kama wametumwa komenti zao ni zaidi ya wendawazimu sometimes huwazinawarudi lakini hawa vijana wehu totally.
 
Katika jamii yenye watu wengi (Zaidi ya wau milioni 61) ni kazi sana kuhakikisha unaridhisha kila aina ya makundi katika jamii.
Hapa ndipo tunapoona ukombozi wa CHADEMA kwa watanzania.
Hii ni kwa sababu ya sera zake za kibepari ambazo kimsingi zimejikita zaidi katika uhuru wa mtu au taasisi kwa hiyo demokrasia katika mfumo huu ni kubwa sana.

Watu hujimwaga na kujielewa kiuwazi katika ubepari pia wako huru kumiliki chochote watakacho bila bugudha.
Kwenye ubepari kuna mfumo wa vyama vingi, uhuru wa kuabudu privatization kama nilivyoeleza hapo juu na uhuru wa kujieleza. Huwezi pata aina hii ya uhuru kutoka kwenye ujamaa au udikteta kamwe hutakaa ulipate hili kwani watu hufungwa midomo na kunyamazishwa kwa lazima.

Sera za CHADEMA ni nzuri sana iwapo watanzania tutazifata basi tutatengenez taifa huru na imara kama la Kenya. Wenzetu kenya katiba yao ni imara na mifumo yao pia ni imara! Kenya hakuna uminyaji wa demokrasia watu wapo huru kuchagua wakiaminicho. Tun aweza ona hili kwa wao kubadilishana nafasi ya uraisi kwa vyama mbalimbali. Wenzetu waliona mbali kuuchagua ubepari leo hii wametupita kimaendeleo ya kiuchumi na kijamii.

Tuna mengi sana ya kujifunza kwa wenzetu Kenya.
CHADEMA ni lazima mujiimarishe vilivyo huo udhaifu mulio nao upotee mapema bila hivyo mkombozi wa watanzania CHADEMA utatuangusha. Ni muda muafaka sasa wa kutekeleza sera zenu na kujiimarisha kama chama cha demokrasia na maendeleo.
MUNGU awe nanyi.
 
huwezi kutenganisha sera ya chama na wanachama
Kwani sera zinaandaliwa na haohao wanachama
Wewe ni Kama unasema Maji haya ni salama ila yametengenezwa na kiwanda kichafu
 
Hapana, Kenya wana Vingi vya Kujifunza kutoka kwetu kuliko sisi kujifunza kutoka kwao, pamoja na fitna za wapinzani bado wananchi tumeendelea kuwa na imani na serikali na umoja wa kitaifa umeimarika zaidi pamoja na choko choko zote hizo kutoka ndani na nje ya nchi,

bado muungano unazidi kushamiri na serikali inazidi kupiga kazi. kama wao tu umoja wa kitaifa unawapiga chenga je wataweza haya mengine?.

Katiba yetu inajitosheleza na mifumo ni imara.

#DG.
 
Tangu uchaguzi mkuu uliofanyika 2015 hakuna anayeweza kupinga kuwa ubora wa Sera za CHADEMA ndizo zilizo tekelzwa na ccm , tumeshuhudia umakini wao wa kuandaa viongozi waliobora ambao kila wanapo hamia ccm hawakosi nafasi za uongozi ndani ya chama hicho kinacho jiita kuwa chama kikongwe ikiwa na maana kuwa kimezeeka hadi kufikia kukosa viongozi na sasa wanaamua kuwachukuwa toka CHADEMA , hongera sana mh Mbowe kwa ungozi bora, lazima ifike mahali muone fahari kwa kutoa mchango mkubwa sana wa viongozi mulio waandaa na kuchukua nafasi za kiuongozi ndani ya ccm, ushauri anzeni kuaandaa timu nyingine iliyo bora ili muwe tayari kwa usajili wa 2020.
 
Kwahiyo ukiwa mfuasi wa Mboe basi inakuwa na IQ kubwa?

"ujinga ni pale unapojiona mwerevu kuwaona watu wengine ni wajinga"
Ujinga mwingine ni pale unapokubali kuwa MO ametekwa na watu nnje ya serikali.

Ujinga mwingine ni pale unapokubali kutoa kuhoji 1.5T imeenda wapi?

"hamu uondoa ufahamu"
 
Ni wazi kabisa kuwa CHADEMA kuna hazina ya viongozi walio bora na ndio maana kila wanapo hamia ccm wanafanya sherehe kubwa za kuwapokea.
 
Tatizo ni moja tu, kulalamika lalamika na kutochukua ama kuchukua hatua kiudhaifu sana!
 
Ni ajabu sana kuwa na chama kinachojiita cha siasa alafu kutwa kinangoja matukio kama chombo cha habari, viongozi wake wamekaa kushadadia udaku mitamdaoni
Jamani embu mje mueleze sera zenu mbadala kuhusu Huduma za kijamii
Sera yenu ya mambo ya nje
Ulinzi na Usalama
Sisi tulio na kiu yakuona haya mambo mnatuboa sana kwakweli maana kila siku nyie na udaku udaku na nyie sasa nnashindwa kutofautisha kati ya chama chenu na magazeti ya udaku
 
Back
Top Bottom