Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,768
- 165,391
CCM wataiga hizo sera maana ndio kawaida yao.
inasemekana nguo ya kuazima haisitiri makalio mkuu , unajua unaponadi hizi sera za chadema sharti kuu ni kutabasamu , kitu ambacho ccm haiwezi ( nadhani umenielewa ) , kunadi sera huku unatukana wananchi hakuna atakayekuelewaCCM wataiga hizo sera maana ndio kawaida yao.
usiogope mkuu , inasemekana ukiona giza totoro ujue karibu kunakucha .Sijui kwanini nimekinai siasa za Tanzania
Kwa utafiti gani ?Mkuu kuna mambo hata sisi wanachadema tunashangaa , muitikio wa usomaji wa sera toleo la 2018 unatisha !
Mkuu mbona sijaona wakisoma au wanasoma kwenye website?Mkuu kuna mambo hata sisi wanachadema tunashangaa , muitikio wa usomaji wa sera toleo la 2018 unatisha !
Ofisi zinahusika Vp na sera mbadala?! Acha wivu wa kikeKwa utafiti gani ?
Ofisi za makao makuu ya chama zitajengwa lini ?
Utawezaje kuona wakati umepigwa na upofu wa kijani hapo LumumbaMkuu mbona sijaona wakisoma au wanasoma kwenye website?
Hiyo lugha unayotumia inaeleweka kwa kuwa unawaita watani wenu waje haraka.
Kama watu wengi wanasoma, wanaelewa? Baada ya hapo nini kitafuata? Maana hata huko makanisani kuna 'kipaimara'!
Mikutano ya Kampeni tunaona mnajaza; ikiwa ishara kwamba kiu ipo. Je maji ya kukata kiu hicho mnayo? Mtu mwenye kiu kweli kweli, hata mkojo atakunywa; lakini ni dhahiri bado wananchi hamjawafikisha huko. Wanakuja na kiu yao, wanasikiliza na wanarudi nyumbani hata maji machafu hawayataki achilia mbali mkojo.
Sasa hicho ndio kitendawili mnachotakiwa kukitengua kwa makini zaidi ya porojo kama zilizowekwa hapa (sikukatishi tamaa, ni njia yangu ya kukupandisha mori).
Lakini, bila ya kuweka masihara: Hivi Tanzania yetu hii bado tunazo nyumba kama hizo zilizoonyeshwa pichani? Nahofia sana madhara ya moto![/QUOTE
Tembea barabara ya segera -chalinze kushoto kulia tazama utaziona.
Tembea Lindi-Mtwara ingia Mtwara vijijini utazikuta zaidi ya hizo.
Nb
Nimejibu hoja yako ila sipo upande wowote wanaopinga au wanaokubaliana na huu uzi
Nimeshawishika tu kujibu mchango wako
Unamatatizo wewe mbona mie sijaona zikisomwa au zinasomwa nyumbani kwenu zaidiWakuu ama kwa hakika usije ukathubutu kushindana na Aliyejaaliwa na Maulana , unaweza kujikuta unatembea umbali mrefu kwa miguu baada ya kuishiwa nauli.
Chadema ni mpango wa Mungu mwenyewe ambao bila ya shaka HAKUNA MWANADAMU YEYOTE ALIYEUMBWA KWA UDONGO ataweza kuishikia chini , hiki chama kiacheni tu jamani , kimeshindikana ! Hivi wanatumia njia zipi hawa watu jamani ? kitabu kimetoka juzi lakini kinasomwa , kinafuatiliwa na kuzingatiwa utadhani ni filamu ya Sultan ! ama kweli Chadema inapendwa mno !
Ufuatiliaji huu wa sera hizi mbadala ambao kiukweli siku ya kuzinduliwa kwake hazikupewa promo yoyote ya maana ni ishara ya wananchi wa Tanzania kuchoshwa na umasikini , njaa na mateso wanayoyapata , kuchoshwa kwa wananchi na porojo za takwimu feki za viongozi kuhusu uchumi wa nchi , maendeleo , afya na elimu , wananchi wanaziangalia sera za chadema kama Mkombozi wao , na kiukweli hakukuwa na namna yoyote ile zaidi ya kuzuia siasa za majukwaa ili kuokoa jahazi .
View attachment 883997View attachment 883998View attachment 883999
Kama walivyoiga kipindi cha M4C.CCM wataiga hizo sera maana ndio kawaida yao.