Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 353
Kibunango
Unayajua jaya ama unabisha kwa kuandika kwa kuwa una access na muda wa kuandika ?
KB unaonaje tukianza kuwa na kautaratibu ka kununu credits za kuandika humu? Ka programu kaitwe AKU yaani Andika Kadri Ununuavyo . Hii itawafanya watu watumie maneno yao kwa uangalifu zaidi kama vile salio la simu.