Uchaguzi Zanzibar itakuwaje 2010?

Toa kwanza boriti kwenye jicho lako, ndipo unaweza kuona kibanzi kwenye jicho la mwenzako

Kibunango,

Nilikuwa sijaangalia vizuri sahihi yako Mkuu!

ES alisema huyu jamaa ni mlevi na hunywa na kujisahau aliko-na kulala popote- na tunajua Zanzibar ni Visiwa vya Maadili- je tungependa kuwa na balozi au raisi wa aina hiyo? Hakuna mtu ananyimwa kunywa -ila ulevi wa kupindikia kwa balozi ambaye ni mwakilishi wa Watz haitoi picha nzuri kwa nchi yetu!

Je hakuna wengine wenye maadili mazuri? Kwa nini tung'ang'anie?
 
Tatizo langu ni Ukarume hapa: baba-mwana-mwana-then? Wakati watu wenye akili zao wakipinga mambo ya u monarchy wenzetu kina yakhe ndo wanataka waturudishe huko sasa.
Ulevi definition yake ni nini? Kuna maraisi wengi wanapiga mtungi wa kueleweka lakini when it comes to work- they get things done, I dont think this is a problem unless mtu awe na ushahidi kwamba huju jamaa ni alcoholic.
 
Huyu mkuu tatizo lake sio ulevi tu, isipokuwa kama maneno yake mwenyewe yanavyojisema ni kwamba ana uwezo mdogo wa kufkiri ili kuwa rais wa nchi, halafu ni vizuri pia kuwasema hapa wazi viongozi waliowahi kua walevi na wakafanikisha mataifa yao, wakati umefika tuache kuandikia mate, ushahidi wa ulevi wa kiongozi uwekwe hapa? How?

Mlevi ni mlevi tu, kuna walevi wa pombe na kina mama, huyu mkuu ni mlevi wa pombe, sikujua kama hiii nayo inatakiwa kuwa siri, kama kweli ni siri basi wabongo tumelala sana kuliko nilivyokuwa nikiamini, maana huyu mkuu maisha yake yote yuko majuu ambako amefanya vituko mbali mbali vya kilevi, mimi sikujua nayo inatakliwa kuwa siri au dataz.
 
Nikiangalia marais wachache katika historia ya Zanzibar,sidhani kama unahitaji kichwa kuiendesha ile serekali, maamuzi mengi makubwa yanafanywa na rais wa muungano.
Hilo la ulevi,FME ni kweli kabisa- inabidi watu watofautishe social drinking and addiction. Pia kuna story nimewahi kuziskia kuhusu Boris Yestlin, huyu bwana naskia alikua alcoholic kabisa, breakfast yake ilikua ni vodka!
 
Nikiangalia marais wachache katika historia ya Zanzibar,sidhani kama unahitaji kichwa kuiendesha ile serekali, maamuzi mengi makubwa yanafanywa na rais wa muungano.

This stands kama home run, lakini politically incorrect unaikubalije hii theory without offending the Zanzibaris? Kwamba na wao sio vichwa ndio maana it okay kuongozwa na un-kichwa?
 
Kibunango,

Nilikuwa sijaangalia vizuri sahihi yako Mkuu!

ES alisema huyu jamaa ni mlevi na hunywa na kujisahau aliko-na kulala popote- na tunajua Zanzibar ni Visiwa vya Maadili- je tungependa kuwa na balozi au raisi wa aina hiyo? Hakuna mtu ananyimwa kunywa -ila ulevi wa kupindikia kwa balozi ambaye ni mwakilishi wa Watz haitoi picha nzuri kwa nchi yetu!

Je hakuna wengine wenye maadili mazuri? Kwa nini tung'ang'anie?

Je, inafanana na ya kwangu?
 
Ukiangalia kauli za Karume hapa kwenye hii thread utagundua tu kuwa ni Kilaza, lakini cha kushangaza ni kwamba come 2010 Wazanzibar hao hao watampitisha kugombea Urais, no wonder hata yeye mwenyewe anaamini kuwa 'anaweza'. Its a sad situation really lakini ndio hivyo..
 
Hakuna lolote wa nini hapo bwana mdogo Dr Hussein Mwinyi ndio anachukua nchi kwani hujui rais wa Zanzibar hajachaguliwa Zanzibar anachaguliwa tanzania Zanzibar wanapewa formality tu kuwa wapige kula kijana Mwinyi ndio anasubiriwa kupewa nchi shame on them kwani wanataka kufanya utawala wa kurithishana.

Kama vile huyo Mwinyi hataendeleza biashara ya utawala wa kurithishana.Usijifunge kwa sheria zako mwenyewe mkuu.
 
This stands kama home run, lakini politically incorrect unaikubalije hii theory without offending the Zanzibaris? Kwamba na wao sio vichwa ndio maana it okay kuongozwa na un-kichwa?
Kwa Zanzibar wasije wakamjaribu maana hatopata kura hata moja,waPemba wansema huyu mtu anakesi kule ya mauaji wakati wa utawala wa baba yake ,nakumbuka gazeti la dira liliwahi kuhoji na kusema wahusika waliofanyiwa kitendo cha kuuliwa kwa mtoto wao wapo hai ,na kwa hali inavyokwenda nafikiri mwisho wa Utawala wa CCM pemba ni msimu huu wa karume.
 
Dr. Husein Mwinyi ni mtu makini mara nyingi huwezi kumlinganisha na balozi Karume!

Kurithishana ni kubaya ila if I were to choose btn Balozi Karume na Dr. Mwinyi ningemchagua Mwinyi!

Well alipokuwa Naibu Wizara ya Afya alikuwa mchapa kazi na he is so much time counscious yaani ukimwita aje kufungua mkutano saa 4.00 asb yaye atakuja 5 minutes kabla consistently!

Well- sijui tu kama nae alijihushisha na ufisadi- sasa yupo Wizara ya Muungano!
 
Nimewahi kuona walevi wengi, Lakini huyu Ali Karume si mlevi tu ni "mlevi mbwa" nilimuona kule Z'bar katika Hoteli ya Bwawani akichungulia harusi ya rafiki yangu mmoja, harusi hiyo ilikuwa karibu pembeni ya bar iitwayo "Pemba Bar" katika ukumbi wa Bwawani, Jitu hili lilikuwa limelewa nyang'anyang'a limekuwa likuuliza huku limelewa likisema kumuuliza mmoja kati ya waandishi wa habari aliyekuwa akiangalia harusi hiyo na kusema "who will be the next president of Zanzibar?" huyo mwandishi wa habari alikuwa yuko speechless juu ya huyo the most stupid mlevi(Ali Karume). Ewe Mungu wetu tunusuru na milevi kama hii ambayo yana uwezo wa kufanya dhulma ya aina yeyote.

God Bless Tanzania.
 
Ulevi sioni ka ni tatizo kwa Karume, kwani sijawahi kumwona akilewa wakati wa kazi. Kwa Zenj haitokuwa ndio mara ya kwanza kuwa na prez anayekamata ze laga, wapo waliopita walikuwa wazuri tu katika anga hiyo. Mwingine kama vile haitoshi alijenga kiwanda kabisa cha ulabu, tena si cha ze laga, bali pombe kali.

Zenj pamoja na sifa nyingine za kiongozi, anahitajika kiongozi aliye social... sasa huyo mnae mpigia debe hana hilo...
 
balozi karume alikimbizwa znz kwa babake kumuomba mwalimu ampe ubalozi baada ya kupata tuhuma nzito..nadhani ma alwatan hapa wanajua tuhuma zake....zilizomfanya marehemu ali nabwa aambiwe zi raia....

pia huwa walikuwa wakizichapa sana na kaka yake hadi mama yao analia...ALI anajiona yeye ndie karume original...na huu ni muendelezo anataka kua chieve alipofikia amani...

zanzibar ali kuwa rais sintachangaa kwa kuwa japo sultan ameondoaka bado wamebakia na mapenzi kwa usultan...na sasa kuna masultan wapya chiini ya baraza la mapinduzi....
 
marais wote wa zanzibar ni walevi isipokuwa wakil na mzee mwinyi....huyu AMANI ndio kabisaa yeye na mdogo wake hawachekani sema siku hizi anazeeka na amefundwa...nadhani hapa kuna ambaomlishapata kunywa naye jolly lub,beach resort au bwawani enzi hizo....kuna ambao hata nguruwe wanakula,...nini ulevi..!!
 
Jamani hii interview huyu KARUME anaonekana hanakitu kichwani kwani anaongea purely KILEVI sababu hajibu swali ila ni majisifu na mipasho na offpoints. Kwamfano anaulizwa mafanikio akiwa ujerumani--anasema eti kuhamisha ubalozi kutoka Bonn kwenda Berlin-- hivi hii ni yeye au ni baada ya ujerumani mashariki na magharibi kuungana na kuvunja ukuta wa Berlin. Mbona ofisi nyingi zilihamia Berlin-- hiyo nafikiri kuhama ilikuwa TRIVIAL au NATURAL.

Nafikiri wazanzibar na CCM wana akili timamu.
 
Leo mnasikiliza hitimisho la mahojiano na huyu jinga kabisa . The guy aliwahi kuitwa katika kusanyiko la Tanzania pale Stuttgart .Akaja na maneno ya mipasho na kusema Watanzania wa Ujerumani waachane na siasa za nyumbani maana wao wanakaa Ujerumani.Akasema pilipili ya shamba inakuwasha nini ? Akiwa na maana kwamba walioko Ujerumani waendelee na ya tanzania wawachie Watanzania .Lakini yeye akatoka hapo akaenda kugombea Urais . Huyu ni mjinga tu hana kitu kichwani mavurugu kila siku na kupigana Ikulu Zenji . Ali miaka yote ameishi Zenji na kuacha Ubalozi mtupu.Ali hakuwahi kujua umuhimu wa yeye kuwa Balozi na kuwa mwakilishi . Amekuwa akifanya akiwa Zanzibar na muda wote wa ubalozi wake . Uliza Italia watakueleza yuko wapi sasa .Baada ya kutoa statement hiyo sisi tukaondoka na wenye kujua mambo wakaondoka wakamwacha anacheza mduara na kunywa pombe Stuttigart
 
Ukisikia fitina na chuki ndio maneno kama hayo yako...
 
Kibunango
Mimi sina haja ya kumfitini mtu kama Karume .Unajua mnapenda kubisha tu.Naomba wasiliana na Watanzania wa Ujerumani waulize kuhusu huu mkasa . Nilikuwepo mwenyewe sikuambiwa na mkutano huo ulifanyika Stuttigart .Nilete majungu ili iweje ? Mtu ambaye hadi anaondoka Berlin hakuwahi kusimamisha bendera ta Tanzania Ubalozini ? Unajua kwamba wakati wa kubadili PP ilibidi watu waenda Brussels kupewa huduma ambako kulionekana nafuu kiasi fulani ?Hadi watu wana anza process ya kupoea PP Ujerumani Karume alisena hakuwa na habari maana hakuwa na barua na akawa anaendelea kulamba ulanzi ? Unayajua jaya ama unabisha kwa kuandika kwa kuwa una access na muda wa kuandika ?
 
some chemicals ktk someone's brain need an urgent attention..........balozi gani anayeongea kwa kiwango cha chini namna hii........halafu anapewa nchi potential kama Germany!!!! ku-head our mission for such a while!!!.......kuna watu wamekaa ktk nafasi zao mpaka wamechoka mmoja wao ndiye huyu, mrudisheni tu nyumbani.
 
Kumrudisha hawawezi kwa kuwa ana mavurugu analilia madaraka ya urais toka kwa Kaka yake .Kuna madai kwamba wote ni watoto wa Karume lakini yeye ndiye haswa na Amani ni mtoto wa nje ya ndoa si unawajua wa CCM na nyumba ndogo . So to keep him away lazima apewe Nchi tena anayotaka yeye .Hawana ujanja .Jamaa anaongea utadhani chizi gani . Balozi mzima anaongelea mambo ya Political Science leo ? Mmesema ana digrii ngapi vile ? Alizipata huko Zenji ama ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom