Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

hivi Mawio ni gazeti la kusoma watu wenye akili? Gazeti liandikwe na taahira kubenea halafu wasome werevu?

Taahira anawanyima usingizi hadi mlitaka kumpofua!
Hao waliotaka kumpofua na kufungia gazeti lake ndio mataahira
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hivi Mawio ni gazeti la kusoma watu wenye akili? Gazeti liandikwe na taahira kubenea halafu wasome werevu?

Ni kweli kwa watu watu wenye akili kama akina prof.Tibaijuka ni hatari kulisoma MAWIO watapata ugonjwa wa moyo afadhari wawe wanasoma UHURU
 
Hakuna gazeti linalouza kama Mawio kwa sasa. Wanatoa copy nyingi na zinaisha kabla ya mzungiko. Ni gazeti la week nzima Kumbuka. Serikali za mitaa tukija kupiga Mahesabu vizuri utakuta CHADEMA wana 60% vs 40% za CCM. Ila kwa sababu wao ndo wasemaji wanatulisha matango. Ukweli tunao vichwani na CCM wamebaki na propaganda tu hawana lingine la kushawishi wananchi. Sasa huu ni mwanzo. Mtadanganya sana. Mara tunaongea na wazee, mara Jumatatu. Kwishne. Rudisheni na hela zetu kwanza.
 
Mara nyingi nimekuwea nikiangalia meza za magazeti na kuangalia gazeti gani linabaki kwa muda mrefu naona mawio ni mojawapo ya gazeti ambalo haliuziki. Jana nimegundua sababu kuu ya kwa nini haliuziki..Kwa sababu linaandika uongo mtupu..Limeandika CCM aibu tupu ati wapinzani wameata asilimia 38. lakini wasimamizi wa uchaguzi kila wilaya wanasema ccm imeshinda kwa zaidi ya asilimia 70 sasa ukifanya wastani tu utaona bado ccm imepata ushindi mnono lakini kwa kuwa mawio wanataka kuwalisha watu uongo wameamua kufanya propaganda hizo ambazo kwa kiwango kikubwa zinaua soko la gazeti lao

hebu tupe ukweli wa matokeo yote nchi nzima maana nape alisema ni 84% hapo wewe umesema zaidi ya asilimia 70 nisaidie kujua ukweli maana mawio wamesema wapinzani wameshinda asilimia 38 wewe umepinga.
 
Mara nyingi nimekuwea nikiangalia meza za magazeti na kuangalia gazeti gani linabaki kwa muda mrefu naona mawio ni mojawapo ya gazeti ambalo haliuziki. Jana nimegundua sababu kuu ya kwa nini haliuziki..Kwa sababu linaandika uongo mtupu..Limeandika CCM aibu tupu ati wapinzani wameata asilimia 38. lakini wasimamizi wa uchaguzi kila wilaya wanasema ccm imeshinda kwa zaidi ya asilimia 70 sasa ukifanya wastani tu utaona bado ccm imepata ushindi mnono lakini kwa kuwa mawio wanataka kuwalisha watu uongo wameamua kufanya propaganda hizo ambazo kwa kiwango kikubwa zinaua soko la gazeti lao

Madhara ya shule za kata. Bs
 
Na Nape aliyetoa matokeo kuwa ccm wamepata 85% hata kabla vituo vingine havijahesabu kura, haikuwa propaganda?
 
hivi Mawio ni gazeti la kusoma watu wenye akili? Gazeti liandikwe na taahira kubenea halafu wasome werevu?

Daaah we jamaa INA maana binafs huna akiri hats kidogoo sijawahi ona unapost kitu chenye maana even a single post yaani u mean gazeti LA Uhuru ndio linasomwa na wasomi? Kubenea hana akiri? Nani hamjui kubenea nchii hii? He ni mwandishi gani wa Uhuru ambaye anajielewa na anaeleweka na wasomi kama kubenea? Kwa nn kubenea alimwagiwa tindikali? Na wasi wasi na na ubongo wako. My take badili hill jina lizaboni ndio wengine kwetu unatudhalilisha.
 
kama kichwa chako kinafanyakazi vizuri utakubalia na mimi kwa sababu zifuatazo 1-ushindi uliopatikana na kuhesaba idadi ya vijiji na vitongoji ambavyo ccm imeshinda na sio idadi ya watu waliopiga kura 2-ukawa imeshinda sehemu zenye population kubwa ya watu. 3-idad ya watu ambao wangeichagua ukawa sehemu ambazo ccm imepita bila kupingwa haikuhesabiwa bali wamehesbia idadi ya vijiji na vitongoj.4-baadhi ya sehemu watu walizuiwa kupiga kura kwa sababu zisizo na kichwa wala miguu.Note:kama wewe ni great thinker utakubaliana na mimi japo kwa sehemu ya sababu nilizotoa,matusi au kukashifu wengine mwiko.
 
Kupitia matangazo ya asubuhi Radio RFA gazeti la mzawa latoa taarifa kuwa Jiji la Mwanza limekuwa chini ya himaya ya UKAWA.
Hii ni baada ya mtokeo yote kutolewa na kyonyesha UKAWA imeigalagaza CCM/ESCROW na kukigeuza CCMsasa kuwa ni chama cha Upinzani hapo jijini MWANZA .
HONGERA SANA CDM UKAWA
 
Mangamba pole yao sana. Mimi naamini kitu kimija tu kama maisha ya kiumbe hai yanamwisho iweje chama tu na tena CCM kisiwe na mwisho Tz???

Tatizo la hawa wa Tz wenzetu wa mangamba ni wanakiburi sana na hiyo yote ni kwa sababu ya wao kujiaminisha kuwa hakuna akiye juu yao. Hope for this watakuwa wamejifunza kitu
 
Back
Top Bottom