Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

Kwa wale wenye taarifa za matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa kwenye jimbo la mh.Shibuda anipatie kwani sijaweza kuyapata mpaka sasa.
 
Wewe nae IQ yako ni ndogo mno, mleta Uzi anaomba matokeo ww unaongea uharo, shida kwelikwel

Mkuu Mai Mau, naomba kujua angalau taarifa fupi huyu mdau aitwaye mjepo; mi ni mgeni humu jamvini lakini kila ninaposoma andiko la mjepo napata taswira nyingi kichwani...lakini mara nyingi nahisi ama ana mtindio wa ubongo au afya ya akili yake ina mgogoro...!!
 
Huyu atakuwa sio mgeni isipokuwa ID yake ndo ngeni,ukiangalia Comments zake zinafanana kabisa na majina fulani humu ndani.
 
Chama cha upinzani FISI M wenye uchu wa kutawala milele,
Kimeomba poo kwa umoja wa UKAWA kimekubali kuundwe sirikali ya mseto kuepuka uchaguzi Mkuu ,
 
Yaani msafi ujichanganye na majambazi mbona itakuwa aibu ya Mwaka.
 
Back
Top Bottom