Kinakuuma nini?
Preach what you practice
Kinakuuma nini?
Kuna kila dalili kuwa Mwenyekiti wa cdm mheshimiwa Freeman Mbowe ana mpango wa kuhakikisha anabaki kuwa mwenyekiti wa cdm hadi atakapolazimishwa kuondolewa kwa nguvu kama ilivyo kwa mgombea wa kudumu wa uraisi Professor Lipumba wa chama cha wnanchi cuf.
peoples power inatumika nje ya CHADEMA siyo ndani ya CHADEMA kama ulikuwa hujui pole.
Sawa naibu katibu mtarajiwaNo, No,No! Hold on.....!
Kabla hujajifunza mbinu kali kali za kupiga Ramli jifunze maadili ya uandishi kwa Lugha ya Kiswahili kwanza.Unapoteza fursa na Mwelekeo.
Amekwambia
Hayakuhusu . . . Umbea mtupu. Utavishwa gauni
Kwa kuwa utendaji wake ndani ya chama na nchi kwa ujumla ni ya kuridhisha sana,hata akiwa wa MILELE ni sawa tuu!!!Graph ya Chadema inapaa kwa kasi ya ajabu,mpaka sasa ccm hawataki kuingia katika chaguzi ndogo kwa kutoa visingizio vya bajeti ila pesa za safari zipo!!!!!!!!!!
Kuna kila dalili kuwa Mwenyekiti wa cdm mheshimiwa Freeman Mbowe ana mpango wa kuhakikisha anabaki kuwa mwenyekiti wa cdm hadi atakapolazimishwa kuondolewa kwa nguvu kama ilivyo kwa mgombea wa kudumu wa uraisi Professor Lipumba wa chama cha wnanchi cuf.
Wewe ni wa jinsia gani mkuu,acha kukariri wewe
Kuna kila dalili kuwa
Mwenyekiti wa cdm mheshimiwa Freeman Mbowe ana mpango wa kuhakikisha
anabaki kuwa mwenyekiti wa cdm hadi atakapolazimishwa kuondolewa kwa
nguvu kama ilivyo kwa mgombea wa kudumu wa uraisi Professor Lipumba wa
chama cha wnanchi cuf.
Kwa kuwa utendaji wake
ndani ya chama na nchi kwa ujumla ni ya kuridhisha sana,hata akiwa wa
MILELE ni sawa tuu!!!Graph ya Chadema inapaa kwa kasi ya ajabu,mpaka
sasa ccm hawataki kuingia katika chaguzi ndogo kwa kutoa visingizio vya
bajeti ila pesa za safari zipo!!!!!!!!!!
..."nimeambiwa,nimeelezwa,nimefahanishwa,nimeandikiwa hotuba...washauri wangu wamenishauri vibaya na labda wamenidanganya kwa sababu sijui chochote"...
Preach what you practice
udikteta wa mbowe unaharibu demokrasia ndani ya chama
Naungana nae kwa sababu
chama nincha BABA MKWE wake,sio mbaya na hasa ukizingatia kwamba
chadema ni cha ukoo na saccos ya watu wa Kaskazini!Bigup komred
Mbowe!