Uchaguzi ndani ya CHADEMA lini?

Uchaguzi ndani ya CHADEMA lini?

Hapa wewe uko wapi?!nilishatafuta pesa za kutosha nitakula mpaka siku nitakayokufa,mimi sio wewe unaetegemea uandike ujinga humu ili ulipwenna chadema au lumumba,mi najitegemea we mtoto wa kike vipi?!
Mwizi mkubwa!... Umewahi kuona tajiri akishinda mitandaoni? Ni majizi tu kama chenge wenye hela ambazo wanauhakika kuzitumia maisha yao yote. Ungekuwa tajiri ungekesha mitandaoni kupaka matope watu na akili zao?
 
Ile ratiba walioitoa na kuisambaza nchi nzima ikionyesha kuwa uchaguzi ni mwaka huu,ni ya kihuni au?
CCM ni chama cha kaskazini, kilichojaa ubaguzi wa kikanda, udini na ukabila!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Tena na hivi wanaendelea kutumia fedha vibaya kwa kutalii nje ya nchi chama kuwa imara labda mpaka 2040 ndipo uchaguzi utafanyika,kwa sababu kwa sasa saccos bado inatunisha mfuko!
wewe ni CCM - DINI siyo CCM sera
 
CCM ni chama cha kaskazini, kilichojaa ubaguzi wa kikanda, udini na ukabila!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
CDM ni chama cha kibaguzi, kidini, kiukoo na cha kikabila. Mzee Mtei + Mbowe +Mnyika+ John Mrema+ Mdee = Warangi. Hao wote ni Warangi teh teh
 
Wanajua wakifanya uchaguzi Leo hawatakuwa na chao! Full mgogoro na tunajua kinachoendelea na wao wanajua fika
 
List ya wagombea nafasi ya kiti ni zaidi ya 5, na nafasi ya Ukatibu ni zaidi ya 3!!!

Ndio maana babu ameenda kumalizia wakati wake US! Full uzinifu na mke wa mtu.
 
CDM ni chama cha kibaguzi, kidini, kiukoo na cha kikabila. Mzee Mtei + Mbowe +Mnyika+ John Mrema+ Mdee = Warangi. Hao wote ni Warangi teh teh
CCM KWA SASA NI CHAMA CHA WATU WA DINI YAKO!... Mabadiliko yakitokea 2015 utaikana CCM!.
 
List ya wagombea nafasi ya kiti ni zaidi ya 5, na nafasi ya Ukatibu ni zaidi ya 3!!!

Ndio maana babu ameenda kumalizia wakati wake US! Full uzinifu na mke wa mtu.
Wewe unawaume wangapi?!!...
 
CCM ni chama cha kaskazini, kilichojaa ubaguzi wa kikanda, udini na ukabila!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mwenyekiti wa ccm mh. Freeman mbowe aka mr zero ni wa kaskaziniKatibu mkuu wa ccm mh. Dr slaa aka mvunja ndoa za watu, ni wa kaskaziniMwasisi wa ccm mh edwin mtei ni wa kaskazini......
 
Hawa ma-CDM Kaskazini wana roho mbaya sana, na naamini kuwa hata hawa ma-CDM wanosuport ujinga huu NI WA KASKAZINI KAMA Ndesa.. Nina mashaka hata yakipata nchi kwenye miaka 300 ijayo yatakuwa hayafuati katiba. Nani anaweza kuamini mijitu ambayo haifuati katiba yao yenyewe aipe hata kipande kidogo sana cha ardhi. Na badala ya mijitu humu ndani kushinikiza katiba ifuatwe na yenyewe ipate uongozi kwa akili ndogo tu yanakubali yenyewe yaendelee kupiga makofi na kuachwa jangwani yakipigwa jua kila kukicha. Sikubali ujinga huu Uchaguzi lazima na sisi wa kusini, magharibi ,mashariki, kati na nyanda za juu tuchukue usukani. Nyie mijitu ya kaskazini humu ndani muda wenu umeisha la sivyo PATACHIMBIKA

Mimi nashindwa kuelewa, nyinyi wanaCCM watiifu mnaulizia uchaguzi wa CHADEMA mnataka kugombea??

viongozi waliopo wameingia 2009 na wana haki mpaka 2014, na sababu ya kupata muda mzuri wa kujenga chama walipanga uchaguzi ufanyike mwaka huu,

Inavyoonyesha Mbowe na Slaa wanawachoma sana, maombi yangu na dua waendelee

Motomoto motoooooooo!
 
Acha pombe za kienyeji ww. Acheni kupora wake za watu. Acheni kutumbua ruzuku ya chama na mahawara zenu

mfuasi wa mtawala anayemaliza mda wake umechoka!!.

Mwenyekiti wa ccm mh. Freeman mbowe aka mr zero ni wa kaskaziniKatibu mkuu wa ccm mh. Dr slaa aka mvunja ndoa za watu, ni wa kaskaziniMwasisi wa ccm mh edwin mtei ni wa kaskazini......
CCM chama cha kaskazini na kidini, Mawaziri wakuu wawili tu kati ya 10 RASHIDI na SALIMU wamewahi kufika Makka!.. wengine mmmmmh!.
 
wewe kweli Fox

tulishafanya uchaguz wa milele_Mbowe si alituambia kule KArATU kuwa mgombea URAIS ni nan na M/kiti ni nani hata bila ya kuchukua form wala nin_hiyo ndio DEMOKRASIA, wapi SHONZA_uliiona hiyo ukasepa zako ukajua hakuna future, mmemuacha mwenzenu sasa anatumika kuwatengenezea himaya ya kuishi madarakan milele_wengi humu wamezoea kumuita mzee wa su.m.
 
mfuasi wa mtawala anayemaliza mda wake umechoka!!.

CCM chama cha kaskazini na kidini, Mawaziri wakuu wawili tu kati ya 10 RASHIDI na SALIMU wamewahi kufika Makka!.. wengine mmmmmh!.
Mwasisi mtei wa kaskazini
mbowe kaskazini
slaa huko huko
wasio wa kaskazini wanapigwa vita akina shibuda, zito, mwigamba, shonza, mwampamba nk
 
Back
Top Bottom