Tumekupata katibu wa itikadi na uenezi...tuma salamu...
makupa kikwetu ni nyuma...
Anafaaa sana kwa kuwa ni mchapakazi..
mkuu, ahsante sana kwa maelezo yaliyojitosheleza. pia katibu mkuu wao, babu slaa alisema kuwa chama hakijaimarika vya kutosha kuweza kubadilishana madaraka
Kuna kila dalili kuwa Mwenyekiti wa cdm mheshimiwa Freeman Mbowe ana mpango wa kuhakikisha anabaki kuwa mwenyekiti wa cdm hadi atakapolazimishwa kuondolewa kwa nguvu kama ilivyo kwa mgombea wa kudumu wa uraisi Professor Lipumba wa chama cha wnanchi cuf.
nitaunga mkono,lakini tuanze kwanza kuizika ccm!natuma salamu kwa josephine mushumbusi na babu slaa wakiwa washington dc. nawaambia kuwa waendelee kutumia kwa fujo fedha zetu. pili namtumia salamu mbowe. namwambia kuwa ikiwa atang'ang'ania madaraka, chama hakitaimarika. ujumbe, twende tukachimbe kaburi la kuizika rasmi chadema
kwa hili mwambie jk linamhusu hili!anachapa kazi gani na anazalisha nini? kama kusababisha mimba zisizotarajiwa na watoto wa nje ya ndoa sawa
mkuu huo ni umbeya na majungu!Kama hawajawa tayari kubadilishana madaraka ndani ya chama tu kubadilshana madaraka ndani ya nchi hawawezi.Taasisi ndogo tu kama CHADEMA wanashindwa kuijenga iwe imara serikali hawataiweza kabisa kuijenga iwe imara.Anachosema slaa umati ule wote wa Chadema HAKUNA AWEZAYE? kAZI IPO. MIAKA YOTE WANAFANYA NINI kama hawajaweza kujenga uwezo wa wengine kushika chama na kuongoza nje ya wao? Wazingatie katiba wafanye uchaguzi kupigia kelele katiba mpya ya nchi wakati hata katiba zao tu kuzizingatia ni shida ni kutapeli wana-chadema na wananchi.Msajili wa vyama hakikisha CHADEMA wanafanya uchaguzi.Wasibake katiba ya chama chao.
naunga mkono mkuu, sisi watu wa kusini tunaunga mkono 2000%.mbowe anafaa kuendelea kwa kazi nzuri!mlizoea chama cha upinzani kusambaratika miaka 2 baada ya uchaguzi. Sasa huu mziki wa Mbowe unawaumiza mno.
CHADEMA hakuna haja ya kufanya uchaguzi kwa sasa waliopo wanafanya kazi nzuri
mkuu, ahsante sana kwa maelezo yaliyojitosheleza. pia katibu mkuu wao, babu slaa alisema kuwa chama hakijaimarika vya kutosha kuweza kubadilishana madaraka
spit what you ate
Ndiyo,Uliona wapi Makamanda wanabadilishwa katikati ya Vita?Ukipna adui anaanza kulia kuwa eti 'Jamani Badilisheni Makamnda wenu' ujue kipigo kimewaelemea.Ongeza mapambano,zidisha mashambulizi,Songa Mbele.
Maneno mazito haya!!!!
Ndio msimamo wa chama?????
Preach what you practice
Hili ni jamvi la Great thinkers na sio mahali pa wapiga soga! Acha porojo!Kuna kila dalili kuwa Mwenyekiti wa cdm mheshimiwa Freeman Mbowe ana mpango wa kuhakikisha anabaki kuwa mwenyekiti wa cdm hadi atakapolazimishwa kuondolewa kwa nguvu kama ilivyo kwa mgombea wa kudumu wa uraisi Professor Lipumba wa chama cha wnanchi cuf.
Maneno mazito haya!!!!
Ndio msimamo wa chama?????