Uchaguzi ndani ya CHADEMA lini?

Uchaguzi ndani ya CHADEMA lini?

Mahawara watatu ie josephine, rose kamili sukum na secilia pareso

Inakuhusu nini? Hivi watu wakianza kufuatilia mahawara za wanene kuna atakayepona? Kama unakaa kwenye nyumba ya vioo angalia ni kwa jinsi gani unatumia mawe vinginevyo unaowarushia wakiamua kukurudi utaaibika.
 
Mwasisi mtei wa kaskazini
mbowe kaskazini
slaa huko huko
wasio wa kaskazini wanapigwa vita akina shibuda, zito, mwigamba, shonza, mwampamba nk
CCM mawaziri wakuu wote kaskazini... Makatibu wakuu CCM wote MAKKA..
 
Kamwe presha za CCM zisiruhusiwe kushinikiza kufanyika uchaguzi ndani ya CHADEMA.Tunaweza hata kutumia maneno ya Edward Lowasa aliyoyatamka mwaka 2008 wakati akitoa hotuba kabla ya kujiuzuru.Nina nukuu"....tatizo lililopo kwa mimi kujiuzuru ni CHEO CHA UWAZIRI MKUU,LAKINI WATANZANIA WANAONA,WAAFRIKA WANAONA NA DUNIA INAONA.....NIMEAMUA NA NINAJIUZURU"MWISHO WA KUNUKUU.Maneno haya ya EL yana umuhimu sana kwa CHADEMA ya kwenda kukamata dola mwaka 2015.Kwa kuwa nina amini katika mpango mkakati wa kuifikisha CHADEMA mwaka huo ikiwa na umoja,upendo,mshikamano,ujasiri na matumaini,nahitaji kila mwanachadema atambue,aone na kukiri wazi namna uongozi wa kamanda Mbowe ulivyo kiimarisha chama kwa badiliko chanya "+ve mobility".Haya ni mambo ambayo yamekifanya chama watanzania wakione,waafrika wakione na dunia wakione.Wasomi wa tz,afrika na dunia wananaosoma juu ya mfumo wa vyama vingi hawakosi kukitaja CHADEMA kwa sasa katika siasa za Tanzania.Kwa maana hiyo,ni aibu na ufedhuli mkubwa kwa mwanachadema yeyote yule kwa sasa kudandia gari la ccm ili likufikishe katika safari fupi iliyosalia eti kwa sababu umeelekea kuchoka na unadhani unapendwa na dereva na abiria wa gari la ccm,werevu ni kumalizia safari kwa mateso yako ili uwe jasiri na ufikie matumaini yako.Mbinu za ccm siku zote ni kurubuni wanavyama wenye kuchoka,kupigika,tamaa na woga.Uongozi wa Mbowe upo smart,haurubuniki kwa namna yoyote ile,hili ndilo jambo ccm linawapa shida mno katika kutimiza azma yao ya kuingiza mdudu ndani ya CHADEMA.Sikatai ule wimbo wa demokrasia la hasha,bali katika demokrasia ujanja lazima uwepo,unaweza kuchanganya na uholela,udikteta,uimra nk,ili mradi mambo uliyopanga yaende vema.Hakuna mahali ambapo palitumika,panatumika na kutatumika aina moja ya uongozi,isipokuwa mfumo wa utawala.CCM MTAHANGAIKA MWISHO MNYWE SUMU.KAMANDA MBOWE,TUTANGULIZE MPAKA MAGOGONI,WANAOCHOKA,WOGA NA HOFU WATATUKUTA MBELE YA SAFARI,HATOKI MTU HAPA.
 
Uchaguzi wa chadema utafanyika pale watakapojiridhisha kuwa inafaa kufanyika uchaguzi.
 
hivi uchaguzi wa ndani chadema umeishia wapi?

chadema hamko serious kabisa.
 
Hii nayo ni thread!! maweeeeeh
Mod jukwaa la makanjanja litaanzishwa lini?

BACK TANGANYIKA
 
Unaendelea vizuri japo mwamko ni mdogo! Wanaoshiriki wanaonyesha imani ya kweli kwa chama chao.

Ushauri wangu bado nasisitiza umuhimu wa kuwa na misingi na matawi nchi nzima. Viongozi wa mikoa na kanda wahamasishe wanachama wajenge au wakodishe ofisi za matawi mahali ambapo huduma za kichama zitapatikana hasa kabla ya uchaguzi mkuu.
 
Tuko zanzibar kutoa elimu kwa wananchi...tusubiri tukimaliza kutoa elimu nchi nzima na kutetea katiba ya wananchi tutakuja kufanya uchaguzi! kwa sasa hivi kaendelee na katiba yenu ya CCM au kapande mtumbwi na katibu wenu kimaigizo kuwaadaa wananchi wasio wajua!
 
Back
Top Bottom