Baba mkwe wa Mbowe akisema ufanyike leo hii utafanyika na akisema usifanyike haufanyiki.
Baba mkwe wa Mbowe akisema ufanyike leo hii utafanyika na akisema usifanyike haufanyiki.
Vp umeshachomoa kimeo chako dogo.....ulipotea kidogo nilikuona somewhere dodoma wiki kadhaa, vp usharejea mbeya?Wadau katika hali isiyo ya kawaida leo nikiwa naenda Ibadani nimeonana na Mzee Ndesambulo.
Alikuwa akiongea na mzee Mmoja ambaye simjui. Alipo ulizwa na yule bwana amepokeaje kauli ya Slaa juu ya uchaguzi kutofanyika, amesema tunafkiri uchaguzi ufanyike 2015 kwa kuwa viongozi hawa bado wanamoyo wa kufanya kazi. Tukifanya uchaguzi tutavurugana.
Na bado!mtaangaika sana!
Tena wanaozivunja ni hao hao walalamikajikwani katiba inasemaje kwa nini tuhangaikie katiba ya nchi wakati hizi za vyama tu hazifuatwi?
Ndio mchango wako huu??kwani ungekaa kimya ingekugharimu nini??
uchaguzi wa viongozi wa chadema hufanyika kila baada miaka mitano, na uchaguzi wa mwisho ulifanyika mwaka 2009.tumaini makene ebu tufafanulie,,maana kama hii habari ni kweli bas kuna tatizo kubwa sana uko zaidi ya ccm...hivi uchaguzi wa mwisho chadema ulifanyika lini??
Bila shaka Uliye muona si Ndesamburo ila ni Kinana.Wadau katika hali isiyo ya kawaida leo nikiwa naenda Ibadani nimeonana na Mzee Ndesambulo.
Alikuwa akiongea na mzee Mmoja ambaye simjui . Alipo ulizwa na yule bwana amepokeaje kauli ya Slaa juu ya uchaguzi kutofanyika, amesema tunafkiri uchaguzi ufanyike 2015 kwa kuwa viongozi hawa bado wanamoyo wa kufanya kazi. Tukifanya uchaguzi tutavurugana.
Wadau katika hali isiyo ya kawaida leo nikiwa naenda Ibadani nimeonana na Mzee Ndesambulo.
Alikuwa akiongea na mzee Mmoja ambaye simjui. Alipo ulizwa na yule bwana amepokeaje kauli ya Slaa juu ya uchaguzi kutofanyika, amesema tunafkiri uchaguzi ufanyike 2015 kwa kuwa viongozi hawa bado wanamoyo wa kufanya kazi. Tukifanya uchaguzi tutavurugana.
watu wa chadema mnapenda mpaka mnakuwa vipofu,,,,yani mimi kuuliza maswala ya msingi nimeshakuwa gamba???
aya nyie endeleeni kuwapigia makofi kwa kila kitu.
Bahati mbaya sana wanaotaka uchaguzi wa chadema ufanyike siyo wanachadema, bali CCM ndiyo wanalazimisha CHADEMA wafanye uchaguzi.
CHADEMA wapo makini kuliko hao wanaolazimisha uchaguzi ufanyike.
Hiki chama hakiendeshwi kwa hisia za washenzi na wapumbavu, bali kwa maslahi ya umma wa nchi hii.
uchaguzi wa viongozi wa chadema hufanyika kila baada miaka mitano, na uchaguzi wa mwisho ulifanyika mwaka 2009.
Ndiyo! acha tuwapigie makofi. Kinacho kuuma nini ikiwa haki kuhusu? Mbona kwenu baba, mama, mtoto na mdogo wake Mwanaasha, shemeji yenu kwa yule wa kwa Madiba na mama mkwe wenu kwa M/kiti wote ni viongozi ndani ya MAGAMBA na hampigi kelele!?
Kuna kila dalili kuwa Mwenyekiti wa cdm mheshimiwa Freeman Mbowe ana mpango wa kuhakikisha anabaki kuwa mwenyekiti wa cdm hadi atakapolazimishwa kuondolewa kwa nguvu kama ilivyo kwa mgombea wa kudumu wa uraisi Professor Lipumba wa chama cha wnanchi cuf.