Uchaguzi Mkuu wa CCM Mwaka 2007

Uchaguzi Mkuu wa CCM Mwaka 2007

KadaMpinzani,

Tuliza mzuka!!!!, ni muhimu tuwachallenge kwa nia ya kuletewa ukweli zaidi, isije likawa maabaraza ya uswahilini ambalo kila kitu ni hoja!!!
 
Naamini kuwa chama tawala wamefanya mbinu ya kupenyeza majina ya kweli na yasiyo ya kweli ili kupima joto kuona watu watayapokeaje matokeo kabla hawajatangaza rasmi. Ndiyo maana hata kwenye suala la Maregesi, mwanzoni "walikanusha-hawakukanusha" lakini baadaye kilichoandikwa na magazeti mapema kikawa ndiyo ukweli.

Pia inaweza kuwa wanafanya hivyo ili kujua nani akipewa habari fulani anaweza akaivujisha ili naye afuatiliwe. Ieleweke kuwa siku hizi habari za JK na chama hazivuji sana kama mwanzoni. Kwa hiyo, huo ni mkakati wa kuwa "more air-tight".
 
Quote From Nipashe:

"Ridhiwani, ambaye anamalizia masomo yake nchini Uingereza, aliwasili nchini jana usiku akitokea London, tofauti na jinsi baadhi ya vyombo vya habari vilivyoripoti wiki iliyopita kwamba yuko Sumbawanga ambako ilisemwa kuwa angechukua fomu za kugombea ujumbe wa Halmashuari Kuu yaani NEC."

Hiii mzee Said Yakub, ni moja ya masahihisho mengi yaliyotolewa leo kuhusiana na misleading information kuhusu kijana!
 
Hivyo ni vijimambo tu tusibiri shari kamili pale mitandao mingine itakapo anza kazi
 
Hivyo ni vijimambo tu tusibiri shari kamili pale mitandao mingine itakapo anza kazi
 
Qoute:

"Komandoo ES,

Soma post ya Said Yakub, uelimike kidogo!!!"

Mzee sina kitu chochote cha kuelimika na hii post ya Said Yakub, I do not work for this forum hapana! Kama Said Yakuba antaka kutoa elimu, basi unapaswa kusaidiana naye kuwaelimisha media yetu bongo, ambao kwenye huu mkutano mzima wamekuwa so far out of the line, kwamba ni aibu hata kuwaita jina la media, as opposed na sisi kina yahe hapa forum, na pia niseme tena kwamba hatuwakilishi in any way or form mawazo ya forum nzima, NO!

Mashambulizi yako pamoja na wengine kwamba zilizoletwa hapa sio data bali ni udaku, ni unfounded in absolutism, kwanza sisi hatulipwi hapa kuleta data, as opposed na our media ambao hulipwa na ni professional yao kutafuta habari za uhakika na kuzitangaza kwetu wananchi, kwa hiyo wao wanahitaji kuomba radhi wanunuaji wa magazeti yao, maana hiii wiki nzima wamekuwa wakiwauzia wananchi uongo tena wa hali ya juu! kwao ni lazima kuomba radhi, lakini sio sisi ambao tulikuwa 99.9% accurate na data zetu kutoka kwenye huo mkutano, ambao hata media yetu wamekubali kuwa kwa mara ya kwanza ilikuwa impossible kupata zilizokuwa huko ndani ya mkutano, kwa hiyo kwa wale wote tulioleta hizo data hapa tunahitaji pongezi kuweza ku-penetrate hadi huko ndani ya mkutano na kuleta tulizoleta, na
I am proud of it!

Binafsi sina mpango wakuomba radhi kwenye ishu za data, hata siku moja kwa sababu toka tujiunge na forum kule BCS siku zote tumekuwa tukitoa data ambazo ni 99.9% accurate, sasa hizi lawama nilizoziona leo zimenishangaza sana, kwa sababu ninajua what it takes kupata hizo data, na kuzithibitisha kama ni za kweli, sasa afer all that halafu nije tena kuomba msamaha hapa tena kwa kusakamwa as if nimetoa misleading info zote, sababu ya ishu moja tu ambayo the misleading imeanzia kwenye media yetu, I do not think so!

Mzee Said Yakub, ninaelewa unachokisema, lakini ninapingana na all your criticism kwa wale tunaohusika kwa kujitolea na data kwenye hii forum, ni kwamba ulipaswa kwanza kua-dmitt kuwa huwa tuko 99.9%, right na data zetu, isipokuwa huwa pia tunakuwa na .1% inaccuracy, ambayo kwa standard za dunia we are better off than media nyingi za dunia sio za bongo tu! I mean look at what our media sadi kuhusu the whole ishu, pure nonesense kwa watu wanaolipwa kwa ajili ya hiyo kazi, ninarudia not even close kulinganisha na sisi hapa forum ambao huwezi kutulinganisha na hiyo media hata kidogo, kwa hiyo siamini kuwa criticism yako kwetu hapa ilikuwa ni kwa nia njema, na I must say kuwa ninaheshima sana na wewe ama sivyo leo pangewaka moto hapa, you know what I am talking about bros! Ulipaswa kusahihisha palipokosewa na kukubali tulipokuwa right tena tulikuwa right big time!

Ninarudia tena kwamba we did the best we could as we always do, kupata hizo data za mkutano huo, ambazo zilikuwa 99.9% accurate, putting in account kwamba sisi sio professional media, na kwamba hatulipwi kuifanya hiyo kazi, ila tunajitolea kuwasaidia ndugu zetu ili waweze kujua things in advance, na kuna wanaosaidiwa na hizi info, au data, Rita Mlaki, alianza kushambuliwa na magazeti ya bongo kuwa hayumo, jana mchana tulithibitishiwa kuwa yumo amepita, lakini tukasita kuziweka hapa kuogopa utata, lakini tulimfahamisha yeye in personal kuwa the latest yumo, kwa wale mnaomfahamu mnaweza kuthibitisha hilo kwake yeye mwenyewe, kuwa tulimtumia hizo nyeti, kwa wengine that is all I can say kuhusu Rita Mlaki, maana nimeona kuna mjumbe aliyemtumia kuweka malalamiko yake, good try lakini huwa siku zote tuko one step ahead!

Ndugu zangu tunaanza kugeuka kuwa crying babies, yaani kila kitu ni kulalamika tu sasa tunaanza hata kulaumiana wenyewe kwa wenyewe bila sababu, ninarudia tena kama kuna kitu huelewi tumia pm kutafuta ukweli, hata huko kwenye siasa za taifa viongozi hutumia back channels, kutafuta ukweli kabla ya kuweka maneno hadharani, ninarudia in our case kuwa we did the best we could na in the future tutafanya the same tena na tena, kwa wale msiozitaka hizi data zetu just change the channel, lakini kutuambia tuombe radhi kama media yetu uchwara ambao kwenye hii ishu wameonyesha kuwa 0% in accuraccy, wakati sisi tulikuwa 99.9% accurtate, ni tooo much to ask from us!

Na ninarudia tena, kuwa never even once kuwa tunapotoa data tunawakilisha forum, hapana huo ni uzandiki kwa anyeamini hivyo, maana wote hapa mnajua kuwa data ni zetu binafsi!

Ahsanteni! Aluta Continua na Kumkoma Nyani! Forum Oyeee na Zidumu data!
 
haya endeleeni kumwaga data.. inabidi watu waende kwenye masharti ya forum.. kama mtu anakuja hapa kupata habari sahihi asilimia 100 anapoteza muda.. motto yetu inasema "where we dare talk openly" haisema where we dare talk accurately!"
 
Komandoo ES,

Nimesoma post yako nimefurahi saana, nimecheka mwenyewe hapa utafikiri mwehu!!! Anyway umejitetea vizuri sana, Hongera... usilie basi kaka, nia ni njema tu... pole kama umeumia kaka... 🙂
 
It takes a lot mpaka niumie bros, kumbuka nilikuwa baharini for the tough five years, na hasa safari ya Europe kwenda Brazil somewhere kwenye bahari kuna kitu kinaitwa Bermuda Sea Triangle, ni lazima uipite hiyo kwanza, naomba uwaulize waliopita hapo kwanza ndio uelewe what it takes kwangu kuumia,

Na pia kwenye China Sea, ukiwa unatoka Singapore kwenda China, kuna kitu kinaitwa, China Red Sea!

Nilikuwa ninaweka tu things straight, kitu ambacho I know best toke nikiwa primary school, I was a self made lawyer hata kabla ya kuingia chekechea!

Anyway, shukrani kwa kunielewa tuendelee kukata ishu mkuu!
 
Kilitime,
Ama kweli wewe mkali maanake umeingiza hoja ambayo hata nimeshindwa kuisafisha!..

Hivi tunapozungumzia maswala yeyote yale kuna haja ya kutazama imani ya mtu kwanza wakati Kichwa cha mada hii kinahusu SIASA!..
Nashindwa kuelewa siasa hizi za hapa ni siasa za namna gani ikiwa waandishi wenyewe hamna mrengo kwanza!
Hivi tupo hapa kutafuta mapungufu tu na sio makosa yanayoweza tendeka nchini kutokana na mfumo,mrengo fulani?..
Mimi, nadhani ni bora sana kwetu sote akiingia mtu wa Chadema kwa unazi inabidi tumuulize njia bora ni ipi maanake kweli manazi wanaweza kuwepo lakini kwa sababu ya Unazi wao huwa hawana jawabu ama solution ya tatizo fulani.rahisi utamfahamu mnazi tofauti na mwanasiasa ambaye anazungumza kwa mifano.

Uanachama wa chama sii uadui wa chama kinachotawala ila ni kutokubaliana na mambo mengi yanayohusu mrengo wa chama husika. Kusema kweli kama mimi nimeingia Chadema kwa sababu ya mrengo, sera na kikubwa zaidi ni watu ambao naweza kaa nao meza moja wakanisikiliza.
CCM wao kusema kweli ndani yake kuna watu ambao ni Conservative na wengine ni Progressive..tena wanguvu kwa pande zote mbili. Hii tu pekee yake inatosha kukuambia kwamba CCM sii chama bali ni FALME fulani wasio kuwa na mrengo wala dira!.... kutojiunga kwangu na chama hicho haiwezi kuwa imetokana na uhasama ila najua nini chama cha Siasa, na CCM sii chama tena cha siasa ktk ulimwengu huu wa demokrasia!.. Hapa tulipo hatujui kabisa kwa nini tunakichagua chama hicho zaidi ya sura za wagombeaji!.. Umaarufu ndio unaowapa kura CCM - Umaarufu ambao utakwisha kwa wakati wake. kama walivyopotea Boyz to Men original ktk ulimwengu wa muziki!
 
Qoute:

"Komandoo ES,

Soma post ya Said Yakub, uelimike kidogo!!!"

Mzee sina kitu chochote cha kuelimika na hii post ya Said Yakub, I do not work for this forum hapana! Kama Said Yakuba antaka kutoa elimu, basi unapaswa kusaidiana naye kuwaelimisha media yetu bongo, ambao kwenye huu mkutano mzima wamekuwa so far out of the line, kwamba ni aibu hata kuwaita jina la media, as opposed na sisi kina yahe hapa forum, na pia niseme tena kwamba hatuwakilishi in any way or form mawazo ya forum nzima, NO!

Mashambulizi yako pamoja na wengine kwamba zilizoletwa hapa sio data bali ni udaku, ni unfounded in absolutism, kwanza sisi hatulipwi hapa kuleta data, as opposed na our media ambao hulipwa na ni professional yao kutafuta habari za uhakika na kuzitangaza kwetu wananchi, kwa hiyo wao wanahitaji kuomba radhi wanunuaji wa magazeti yao, maana hiii wiki nzima wamekuwa wakiwauzia wananchi uongo tena wa hali ya juu! kwao ni lazima kuomba radhi, lakini sio sisi ambao tulikuwa 99.9% accurate na data zetu kutoka kwenye huo mkutano, ambao hata media yetu wamekubali kuwa kwa mara ya kwanza ilikuwa impossible kupata zilizokuwa huko ndani ya mkutano, kwa hiyo kwa wale wote tulioleta hizo data hapa tunahitaji pongezi kuweza ku-penetrate hadi huko ndani ya mkutano na kuleta tulizoleta, na
I am proud of it!

Binafsi sina mpango wakuomba radhi kwenye ishu za data, hata siku moja kwa sababu toka tujiunge na forum kule BCS siku zote tumekuwa tukitoa data ambazo ni 99.9% accurate, sasa hizi lawama nilizoziona leo zimenishangaza sana, kwa sababu ninajua what it takes kupata hizo data, na kuzithibitisha kama ni za kweli, sasa afer all that halafu nije tena kuomba msamaha hapa tena kwa kusakamwa as if nimetoa misleading info zote, sababu ya ishu moja tu ambayo the misleading imeanzia kwenye media yetu, I do not think so!

Mzee Said Yakub, ninaelewa unachokisema, lakini ninapingana na all your criticism kwa wale tunaohusika kwa kujitolea na data kwenye hii forum, ni kwamba ulipaswa kwanza kua-dmitt kuwa huwa tuko 99.9%, right na data zetu, isipokuwa huwa pia tunakuwa na .1% inaccuracy, ambayo kwa standard za dunia we are better off than media nyingi za dunia sio za bongo tu! I mean look at what our media sadi kuhusu the whole ishu, pure nonesense kwa watu wanaolipwa kwa ajili ya hiyo kazi, ninarudia not even close kulinganisha na sisi hapa forum ambao huwezi kutulinganisha na hiyo media hata kidogo, kwa hiyo siamini kuwa criticism yako kwetu hapa ilikuwa ni kwa nia njema, na I must say kuwa ninaheshima sana na wewe ama sivyo leo pangewaka moto hapa, you know what I am talking about bros! Ulipaswa kusahihisha palipokosewa na kukubali tulipokuwa right tena tulikuwa right big time!

Ninarudia tena kwamba we did the best we could as we always do, kupata hizo data za mkutano huo, ambazo zilikuwa 99.9% accurate, putting in account kwamba sisi sio professional media, na kwamba hatulipwi kuifanya hiyo kazi, ila tunajitolea kuwasaidia ndugu zetu ili waweze kujua things in advance, na kuna wanaosaidiwa na hizi info, au data, Rita Mlaki, alianza kushambuliwa na magazeti ya bongo kuwa hayumo, jana mchana tulithibitishiwa kuwa yumo amepita, lakini tukasita kuziweka hapa kuogopa utata, lakini tulimfahamisha yeye in personal kuwa the latest yumo, kwa wale mnaomfahamu mnaweza kuthibitisha hilo kwake yeye mwenyewe, kuwa tulimtumia hizo nyeti, kwa wengine that is all I can say kuhusu Rita Mlaki, maana nimeona kuna mjumbe aliyemtumia kuweka malalamiko yake, good try lakini huwa siku zote tuko one step ahead!

Ndugu zangu tunaanza kugeuka kuwa crying babies, yaani kila kitu ni kulalamika tu sasa tunaanza hata kulaumiana wenyewe kwa wenyewe bila sababu, ninarudia tena kama kuna kitu huelewi tumia pm kutafuta ukweli, hata huko kwenye siasa za taifa viongozi hutumia back channels, kutafuta ukweli kabla ya kuweka maneno hadharani, ninarudia in our case kuwa we did the best we could na in the future tutafanya the same tena na tena, kwa wale msiozitaka hizi data zetu just change the channel, lakini kutuambia tuombe radhi kama media yetu uchwara ambao kwenye hii ishu wameonyesha kuwa 0% in accuraccy, wakati sisi tulikuwa 99.9% accurtate, ni tooo much to ask from us!

Na ninarudia tena, kuwa never even once kuwa tunapotoa data tunawakilisha forum, hapana huo ni uzandiki kwa anyeamini hivyo, maana wote hapa mnajua kuwa data ni zetu binafsi!

Ahsanteni! Aluta Continua na Kumkoma Nyani! Forum Oyeee na Zidumu data!

Komandoo ES

Nadhani kimsingi there has been some misunderstanding katika kile nilichokisema, nilichofanya ni kuelezea kimsingi nadharia hii ya Citizen Journalism [hizi blogs, forums, podcasts nk] na kuelezea kuwa wengi huenda huko kwa secondary data ie. analysis na sio news na hata kwa chombo kinachojiendesha katika misingi hiyo basi kinachapa kazi na ni vyema kuvumilia some lapses here and there, hayo yalikuwa ni maelezo yangu ina nutshell kama sikueleweka basi it is just a sorry state of affairs.

Yes I agree and appreciate role yako katika habari hususan ''zile za jikoni'' your place is special in this arena ingawa kama mwanahabari natambua ''za jikoni'' wakati mwingine huwa hazijaiva sawa sawa....

Ndio nikakupa Komandoo mfano wa Ridhiwani [kumbuka of all the names ni hili tu ndio lilikuwa na walakini, ie, ndio ile .1% unayozungumzia] hivyo sidhani kama it was wrong kupoint out hii lapse afterall hapa lengo mojawapo ni kuelemishana katika analysis zetu,ama sivyo? Unless nimekosea why we are here...

Wapo waliokosoa the whole system my comments were kuwa wakati mwingine kwetu sisi humu haraka yetu ni breaking news na hapa kwa citizen journalism it can be tolerated kuwa lapses.

So far I see nothing wrong in my comments [nor yours] but simply looking at the same coin on different sides. It is still a coin!
 
Nimekusikia mkuu, yaliyopita yamepita, haya twende mbele na ishus! ishus,

yaani kukata ishus, tena kiroho mbaya!
 
sasa kumekucha nnazani list inakaribia kukamilika

Posted Date::8/3/2007
Majina zaidi ya wagombea CCM yatolewa
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
source: http://www.mwananchi.co.tz/newsre.asp?id=852
BAADHI ya majina ya vigogo waliogombea nafasi katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) yamekatwa katika mchujo uliofanywa na vikao vya Halmashauri Kuu (NEC) na

Kamati Kuu (CC) wiki hii huku majina ya baadhi ya wapinzani waliorejea CCM hivi karibuni kupitishwa.

Baadhi ya wagombea ambao majina yao yamekatwa ni Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Daniel Nsanzugwanko, ambaye aligombea ujumbe wa NEC kupitia Mkoa wa Kigoma.

Mwingine ambaye jina lake halimo katika orodha iliyotolewa na CCM juzi ni Mbunge wa Afrika Mashariki, Dk Didas Masaburi, ambaye aliomba ujumbe wa NEC

kupitia Jumuiya ya Wazazi.

Wanasiasa wawili waliohamia CCM kutokea upinzani, ambao ni Thomas Ngawaiya na Richard Hiza Tambwe, majina yao yamepitishwa na CCM kugombea ujumbe wa NEC Taifa. Wote wamepitishwa kugombea kupitia Jumuiya ya Wazazi.

Waandishi wa habari tisa walioomba kugombea viti vya NEC majina yao yamechujwa. Waandishi hao ni Manyerere Jackton, Mayage Mayage na Nuru Shija wakati waandishi

sita wamepita. Waliopita ni Dareck Murusuri ambaye anagombea kupitia Mkoa wa Mara, Jane Mihanji (UWT), Jacqueline Liana (UWT), Violet Mzindakaya (Vijana), Lucy Mayenga (Vijana) Lukas Kisasa (Mkoa wa Iringa), Shy-Rose Bhanj (Viti 20), Novatus Makunga (Viti 20 Bara) na Zainabu Vulu (UWT).

Walioteuliwa kugombea nafazi za wenyekiti wa wilaya kwa Mkoa wa Arusha ni Lucas Lobulu, Gabriel Nnko na Salome Nyitti (Arumeru); Ali Jumbe, Belina Kabuje na Jubilate Shileitiwa Kileo (Arusha); Jerald Gwaha, Peter Msengi na John Tippe (Karatu); Francis Ikayo, Lemoyan Ole Mitasheye na Parteye Syokino (Longido); Reuben Ole Kuney na Joseph Ole Mollel (Monduli); Elias Lyang?ira, Metui Ole Shaudo na Francis Syapa (Ngorongoro).

Kwa upande wa Mkoa wa Dar es Salaam waliopitishwa ni Selemani Ditopile, Selemani Karanje na Mikidadi Mruma (Ilala); Kassim Mrisho Athumani, Aaron Mwaikambo na Aluna Mwambiki (Kinondoni); Shuwari Nahenge, Shaban Mchumira na Ayoub Shamshama (Temeke).

Waliopitishwa kwa Mkoa wa Dodoma ni John Lesangwa, Philemon Mdate na Dotto Mwantengule (Bahi); Amos Kusaja na Charles Ulanga (Chamwino); Danisi Bendera na William Mlagulwa (Dodoma Mjini); Richard Kevela na Mussa Matari (Kongwa); Othma Gorra, Issa Kichuri na George Msongo (Kondoa); Dotto Luseko na Honorali Pima (Mpwapwa).

Kwa Mkoa wa Iringa ni Abeid Kiponza, Aldo Lutego na Bupe Mazengo (Iringa Mjini); Magnus Kibasa, Charles Mbuta na Delfina Mtavilalo (Iringa Vijijini); Joseph Mhumba, Seth Moto na Valentino Msuva (Kilolo); Thobias Lingalangala na Leonard Mkechi (Ludewa); Abraham Kyando, Samwel Mbilingi na Jassel Mwamwala (Makete); Johanes Kaguo, Raphael Makombe na Sikauka Mwachang?a (Mufindi); Andrew Mangula, Adam Msigwa na Rodrick Nyagawa (Njombe).

Kagera ni Anatory Choya, Gordian Kaijage na Josephat Kamugunya (Biharamulo),; Robert Temarirwa Bahati (Bukoba Mjini); Emmanuel Mwenyemzi Baruti, Sadru Nyangasha na Venance Rwelengera (Bukoba Vijijini); Ibrahim Bagura, Suleiman Buhili na Paul Jacobo (Chato); Ruth Chamani, Salvatory Kalabamu na Justinian Kazunguru (Karagwe); Kokulamuka Daniel, Paulina Kajura na Dinnah Rwehumbiza (Misenyi); Katarama Babia na Peter Shubi (Muleba); Methusela Ghachocha, Hellen

Ghozi na George Minani (Ngara).

Kigoma ni Kinyota Kateko, Clement Ndayeza na Juma Ulimwengu (Kasulu); Edwin Kapori, Abadan Ntawe na Majaliwa Rusizi (Kibondo); Nakhon Bidyanguze, Kassim

Kasambwe na Ally Kitemo (Kigoma Mjini); Sezari Makandi, Alh Kassim Nyamkunga na Issa Nyamtema (Kigoma Vijijini).

Kilimanjaro ni Shadrack Meena, Obadiah Manase Ndosi na Amino Uronu (Hai); Califa Kiwango, Godfrey Mwangamilo na Willy Munisi (Moshi Mjini); (Wilaya ya Moshi Vijijini nafasi itatangazwa upya); Rebecca Magwisha, Mathewa Msofe na Faraji Msuya (Mwanga); Justine Masika (Rombo); August Kessy, Nisagurwe Mngujini na Jackson Mshana (Same); Erestine Kombe, William Mollel na Oscar Temi (Siha).

Lindi ni Mikidadi Kinogeandanga, Abdallah Mahiki na Nailoni Funduguru Ng?oge (Kilwa); Ismail Jihatu, Amina Mtunduni na Manyanya Nassibu (Lindi Mjini); Ali Gwaja

(Lindi Vijijini); Ngomambo Chande na Mohamed Kitura (Liwale); Jerome Chihowachi, Mohamed Kamlo na Fadhil Mkuti (Nachingwea); Ali Lyuba, Kaspar Mmuya na Issa

Njinjo (Ruangwa).

Manyara ni Mchungaji Wilson Ihucha, Moses Mbesere na Charles Mwanga (Babati Mjini); Joseph Diyami na Andrew Mayi (Babati Vijijini); Musa Awtu, Goma Gwaltu na Mark Maffa (Hanan?g); Abubakari Said na Shabani Sapar (Kiteto); Ladislaus Baha, Noah Genda na Zakaria Issaay (Mbulu); Lamayani Ranga, Lenganasa Soipey na Brown Suya (Simanjiro).

Mara ni Chacha Gimanwa, Erasto Majura na Alfred Malagila (Bunda); Mwajuma Kiboya, Mukono Mukono na Joseph Obeto (Musota Mjini); Nyaruba Maguge, Magesa

Masine na Nyabukika Nyabukika (Musoma Vijijini); Donald Kisaka, Jumanne Kitena na Chandi Mwita (Serengeti); Naftari Nyambaya, Simon Wangwe na Thobias Rayah (Tarime).

Mbeya ni Kapala Makelele, Sailon Mpashila na Hezron Mwashibanda (Ileje); Glaswell Mwakalukwa, Japhet Mwakasumi na Wilfred Mwalyambile (Kyela); Abdulrahman

Ashraf, Atilio Lowokelo na Ignas Mgao (Mbarali); Dor Mohamed Issa, Edson Mwaikambo na Francis Shonyela (Mbeya Mjini); Alois Ngdalavuna, Michael Mwazembe na William Nzowa (Mbozi); (Wilaya ya Rungwe itatangazwa

upya).

Morogoro ni Abdallah Salum Kambangwa, Benedict Ngakuka na Kassim Njohole ((Kilombero); Raphael Chayeka, Abdallah Huwel na Chapa Selemani (Kilosa); Fikiri Juma, Leonard Mbena na Doroth Mwamsiku (Morogoro Mjini); Tobias Chakupewa, Hamza Mfaume na Suleiman Pinde (Morogoro Vijijini); Pololeti Mgema, Rachels Kingu na Hamoud Ruwehy (Mvomero); Seleman Magotto, Khalid Nalyoto na Solly William Solly (Ulanga).

Mtwara ni Ranadhan Chilumba, Kazumari Malilo na George Mpupua (Masasi); Mohamed Abdallah, Jamaldini Kijasho na Yusuf Mineng?ene (Mtwara Mjini), Ahmadi Likomba, Mohamed Makoko na Mussa Mwamba (Mtwara Vijijini); Mhala Masusu, Chibwana Mtimbe na Zuberi Mwahiyu (Nanyumbu); Issa Ajabu, Akili Chilandi na Nambole Makonde (Newala); Sofia Makonyola, Hassan Namangaya na Mikidadi Ulaya (Tandahimba).

Mwanza ni Shija Kisennanghwi, John Luhemeja na Jackson Shiganga (Geita); Seif Kambimbaya, Selemani Khamese na Simon Mashilanga (Ilemela); Arbogast Dogodogo, Charles Kadikilo na Nghingi Mnyanga (Kwimba); Erasto Kache, Alfred Kuyi na Luteja Mabelele (Magu); Emmanuel Masunga, Kahema Mawe na Gambadu Samwel (Misungwi); Zebedayo Athuman, Thomas Chacha na Mabula Mageta (Nyamagana); Mary Pastory, Theophil Siyantemi na Jaji Tasinga (Sengerema); Jayantilal Karia, Lawrence Lumbungu na Renatus Nzazi (Ukerewe).

Mkoa wa Pwani ni Omari Kabanga, Muhsin Mningo na Mohamed Mzimba (Bagamoyo); Bundala Bundala, Sadakati Kimati na Enock Semwanza (Kibaha Mjini); Ahmed Gezaulole, Paul Ghemela na Hamis Kanesa (Kibaha Vijijini); Chanzi Chanzi na Mwinyimangara Goma (Kisarawe); Mohamed Abdallah Bhai, Mohamed Kilungi na Faki Muyeka (Mafia); Mhunzi Kisazi, Mohamed Msikano na Juma Mwinyikondo (Mkuranga); Seif Lipalanandu, Mrisho Matimbwa na Bakari Msati (Rufiji).

Rukwa ni Sebastian Kapufi, Juma Lumbwe na Method Mtepa (Mpanda); Vickson Konga, Desderius Mipata na Didas Sindani (Nkansi); Charles Kabanga, Timoth Makaza na Godfrey Mwimanzi (Sumbawanga Mjini); Issack David, Godfrey Simuyemba na Zenobi Wasulwa (Sumbawanga Vijijini).

Mkoa wa Ruvuma ni Daniel Chindengwike na Osmund Komba (Mbinga); Ngonyani Beatus, MmauriceNchimbi na Gabriel Nigara (Namtumbo); Hemed Dizumba, Haji said Msham na William Papalika (Songea Mjini); Boniface Bunungu, Ally Selemani Madamba na Kadunda Mayemb (Songea Vijijini); Mustafa Mohamed Bora, Said Ali Kabora na Ndawambwe Mungwa ((Tunduru).

Shinyanga ni Suleimani Gwalugwa, Juliana Mahongo na Sita Masuke Tunge (Bariadi); Robert Mshala, Thadeo Ndazi na Charles Nzella (Bukombe); Mabubu Mussa Mabubu, Andrew John Masanje na Edward Maige Musoma (Kahama), Malisha Shija Ntelezu na Daniel Nyanginja (Kishapu); Pita Edward Munyongolo, Masumbuko Dotto na Fatuma Maselle (Maswa); Angelina Joseph na Yakobo Enock (Meatu), Bikhu Lukindagila, Tajiri Maulidi na Salum Omary (Shinyanga Mjini); Kiloba Dotto, Japheth Masele na Mgeja Msabaha (Shinyanga Vijijini).

Singida ni Anna Gunda, Mtali Jumanne Hamisi na Msengi Wilson (Iramba); Juma Ikimba, Hussein Massawo na Zinduna Salud (Manyoni); Rashid Dia Kiyya, Ibrahim

Muro na Hamis Nguli (Singida Mjini); Naftali Gwae, Barnabas Hanje na Hamis Mwiru (Singida Vijijini).

Tabora ni Felix Mkude, Eva Martin Mushi na Charles Nzela (Igunga); Mary Igogo, Stephen Kahumbi na Francis Shija (Nzega); Bangili Madama, Abedi Malifedha na Abisail Mbogo (Sikonge); Juma Hassan Abdallah, Moshi Omari Abdulahaman na Moses Sandu (Tabora); William Chambala na Twaha Ngosso (Urambo); Abdaalah Kazikwa, Salum Mgeleka na Maulid Mtalima (Uyui).

Tanga ni Athuman Chamuya, Hassan Malunda na George Mwabelo (Handeni); Clement Chamoto, Athumani Mganga na Abdi Mhando (Kilindi); Jaffa Abad�Jaffa, Athumani Magogo na Joseph Simba (Korogwe Mjini); Mhidin Mkande, Nassoro Hemed Nassoro na James Semkondo (Korogwe Vijijini); Richard Mbughuni, Hashim Shekilindi na Iddi Salim Shelukamba (Lushoto); Valentine Guga, Peter Jambele na Sigisbert Ndomba (Muheza); Hamis Mnegero, Rajab Omari na Waziri Omari Semfuko (Pangani); Mohamed Dhikri, Mwavesso Mbega na Seleman Mwinduchi (Tanga), Jonathan Hebert Hiza, Neema Mapewa na Shehe Mudhihiri

(Mkinga).

Kaskazini Pemba ni Shaame Khatib Hamad, Hamad Khalfan Hamad na Simba Juma samba (Micheweni); Ali Bakari Ali, Mussa said Mussa na Kombo Hamad Yussuf (Wete).

Kaskazini Unguja ni Ali Makame Ali, Haji Haji wa Haji na Ali Makame Khamis (Kaskazini ?A?); Mohamed Khamis Juma na Omar Bakari Yussuf (Kaskazini ?B?).

Mkoa wa Kusini Pemba ni Kombo Ali Kombo na Omar Juma Khamis (Kusini Pemba); Zuhura S hamis Abdallah, Omar Makame Haji na Hamad Ramadhan Soud (Mkoani.

Mkoa wa Kusini Unguja ni Hassan Shaaban Hassan na Mohamed Haji Zinawatu (Kati); Hasan abdallah Mzee (Kusini).

Mkoa wa Mjini Magharibi ni Mjumbe Msuri Mjumbe (Magharibi); Borafia Silima Juma, Said abdalah Kinyaga na Manafi said Mwinyi (Mjini).

Waliopitishwa kugombea uenyekiti wa nafasi ya mwenyekiti wa mkoa kwa mikoa ya Zanzibar ni Tahir Omar Rehani na Mberwa Hamad Mberwa (Kaskazini Pemba); Foum Mati Foum, Haji Juma Haji na Haji Anass wadi (Kaskazini Unguja); Fadhil Abbas ameir na Abdalah Mohamed Mshindo (Kusini Pemba); Haji Ussi Haji na Khatib Ramadhan Iddi (Kusini Unguja); Yussuf Mohamed Yussuf (Mjini Magharibi).

Waliopitishwa kugombea Halmashauri ya Taifa (NEC) kupitia Wazazi ni Ali Suleiman Othman, Awesu Adam Khamis, Mtumwa Yussuf Peya, Hasnuu Mohamed Haji, Zainab Omar Mohamed, Haidar Haji Abdalah, Ali Mwinyi Msuko, Hassan Rajab Khatib, Tunu Juma Kondo, Dogo Iddi Mabrouk, Mjumbe Msuri Mjumbe na Fatma Abeid Haji.

Waliopitishwa kugombea NEC Taifa kupitia UWT kutoka Zanzibar ni Raya Suleiman Hamad, Bihindi Hamad Khamis, Asha Mabari Makame, Fatma Bakari Juma, Khadija Salehe Ngozi, Mariam Muharam Shomari, Mwanajuma Majid Abdalah, Zuhura Khamis Abdalah, Mwanahamis Kassim Said, Nashi Hija Andalah, Mwatumu Dau Haji, Katherine Peter Nao, Fatma Said Ali, Subira Mohamed Ali na Yasmin Y. Alloo. Wengine ni Zulekha Yunus Haji, Asha Abdallah Juma, Afsa Said Khamis, Mvita Mussa

Kibendera, Amina Idi Mabrouk na Mwanaidi Khasim Mussa.

Waliopitishwa kugombea NEC kupitia UV-CCM kutoka Zanzibar ni Rose Joel Mihambo, Asia Shariff Omar, Khamis Juma Omar, Abrahim Hassan Juma, Fadhil Mshamba Junma, Juma Nyasa Juma, Ashura Addallah Ismail, Ali Suleiman Juma, Mahamoud Kombo Juma, Suleiman Muhsin Haji na Abdallah Mwinyi Hassan. Wengine Twaha Ali Muhajir, Yussuf Ramadhan Abdallah, Maiko Charles Bundala, Hadila Hilal Haji, Salama Othman Mohamoud (Mawio), Hawa Sukwa Said na Hamad Masaun Yussuf.

Waliopitishwa kugombea viti 20 vya NEC Taifa kutoka Zanzibar ni Saada Than Fakih, Sheha Hamad Mattar, Shukuru Adam Ali, Ame Pandu Ame, Balozi Seif Ali Iddi, Ishau Abdalah Khamis, Ali Machano Mussa, Kidwa Hamid Salehe, Haji Khatib Shaaban, Mussa Ame Silima, Makame Ali Ussi, A bdalah Khamis Feruzi, Mattar Hamad Mattar, Profesa Makame Mnyaa Mbarouk, Ali Omar Mrisho, Khamis Amour Mzee, Sheha Mahmoud Sheha, Salum Juma Othman, Bakari Khamis Bakari, Bakar Mwinyimsa Bakari, Samia Suluhu Hassan, Mustafa Mahmoud Ibrahim, Abbas Haji Khatib na Mohamed Seif Khatib.

Wengine ni Mzee Ali Pira, Abdallah Rashid Abdallah, Khadija Hassan Abood, Abdallah Sharia Ameir, Khatib Suleiman Bakari, Dk Mohamed Gharib Bilali, Moudline Silas Castico, Salehe Ramadhan Ferouz, Mwanamvua Mfaume Hassan, Mansour Yussuf Himid, Mohamed Hashim Ismail, Borafia Silima Juma, Thuwaiba Edington Kissassi, Khamis jabir Makame, Dk Mnyinyihaji Makame Mwadini, Zuberi Ali Maulid, Salum Msabaha Mbarouk, Mohamed Hassan na Nassoro Moyo.

Wengine ni Mbaraka Soud Msabah, Nasoro Juma Mugheir, Omar Sheha Mussa, Brigedia Adam Mwakanjuki, Dk Hussein Ali Mwinyi, Omar Yusuf Mzee, Shamsa Vuai Nahodha, Zaharani Mohamed Omar, Simai Mohamed Said, Dk Ali Mohamed Shein, Fatma Juma Shomari, Issa Mohamed Suleimani, Suleiman Haji Suleiman, Tarib Ali Tarib, Vuai Ali Vuai, Yakout Rajabu Yakout na Abadallah Mohamed Ahmed.
 
NEC ni nini ? Na jee mtanzania wa kawaida atabenefit nini kutokana na huu uchaguzi ? Nadhani tunapoteza muda tuu kuuchambua huu uchaguzi .
 
Mzee sina kitu chochote cha kuelimika na hii post ya Said Yakub, I do not work for this forum hapana! Kama Said Yakuba antaka kutoa elimu, basi unapaswa kusaidiana naye kuwaelimisha media yetu bongo, ambao kwenye huu mkutano mzima wamekuwa so far out of the line, kwamba ni aibu hata kuwaita jina la media, as opposed na sisi kina yahe hapa forum, na pia niseme tena kwamba hatuwakilishi in any way or form mawazo ya forum nzima, NO!

Mashambulizi yako pamoja na wengine kwamba zilizoletwa hapa sio data bali ni udaku, ni unfounded in absolutism, kwanza sisi hatulipwi hapa kuleta data, as opposed na our media ambao hulipwa na ni professional yao kutafuta habari za uhakika na kuzitangaza kwetu wananchi, kwa hiyo wao wanahitaji kuomba radhi wanunuaji wa magazeti yao, maana hiii wiki nzima wamekuwa wakiwauzia wananchi uongo tena wa hali ya juu! kwao ni lazima kuomba radhi, lakini sio sisi ambao tulikuwa 99.9% accurate na data zetu kutoka kwenye huo mkutano, ambao hata media yetu wamekubali kuwa kwa mara ya kwanza ilikuwa impossible kupata zilizokuwa huko ndani ya mkutano, kwa hiyo kwa wale wote tulioleta hizo data hapa tunahitaji pongezi kuweza ku-penetrate hadi huko ndani ya mkutano na kuleta tulizoleta, na
I am proud of it!

Binafsi sina mpango wakuomba radhi kwenye ishu za data, hata siku moja kwa sababu toka tujiunge na forum kule BCS siku zote tumekuwa tukitoa data ambazo ni 99.9% accurate, sasa hizi lawama nilizoziona leo zimenishangaza sana, kwa sababu ninajua what it takes kupata hizo data, na kuzithibitisha kama ni za kweli, sasa afer all that halafu nije tena kuomba msamaha hapa tena kwa kusakamwa as if nimetoa misleading info zote, sababu ya ishu moja tu ambayo the misleading imeanzia kwenye media yetu, I do not think so!

Mzee Said Yakub, ninaelewa unachokisema, lakini ninapingana na all your criticism kwa wale tunaohusika kwa kujitolea na data kwenye hii forum, ni kwamba ulipaswa kwanza kua-dmitt kuwa huwa tuko 99.9%, right na data zetu, isipokuwa huwa pia tunakuwa na .1% inaccuracy, ambayo kwa standard za dunia we are better off than media nyingi za dunia sio za bongo tu! I mean look at what our media sadi kuhusu the whole ishu, pure nonesense kwa watu wanaolipwa kwa ajili ya hiyo kazi, ninarudia not even close kulinganisha na sisi hapa forum ambao huwezi kutulinganisha na hiyo media hata kidogo, kwa hiyo siamini kuwa criticism yako kwetu hapa ilikuwa ni kwa nia njema, na I must say kuwa ninaheshima sana na wewe ama sivyo leo pangewaka moto hapa, you know what I am talking about bros! Ulipaswa kusahihisha palipokosewa na kukubali tulipokuwa right tena tulikuwa right big time!

Ninarudia tena kwamba we did the best we could as we always do, kupata hizo data za mkutano huo, ambazo zilikuwa 99.9% accurate, putting in account kwamba sisi sio professional media, na kwamba hatulipwi kuifanya hiyo kazi, ila tunajitolea kuwasaidia ndugu zetu ili waweze kujua things in advance, na kuna wanaosaidiwa na hizi info, au data, Rita Mlaki, alianza kushambuliwa na magazeti ya bongo kuwa hayumo, jana mchana tulithibitishiwa kuwa yumo amepita, lakini tukasita kuziweka hapa kuogopa utata, lakini tulimfahamisha yeye in personal kuwa the latest yumo, kwa wale mnaomfahamu mnaweza kuthibitisha hilo kwake yeye mwenyewe, kuwa tulimtumia hizo nyeti, kwa wengine that is all I can say kuhusu Rita Mlaki, maana nimeona kuna mjumbe aliyemtumia kuweka malalamiko yake, good try lakini huwa siku zote tuko one step ahead!

Ndugu zangu tunaanza kugeuka kuwa crying babies, yaani kila kitu ni kulalamika tu sasa tunaanza hata kulaumiana wenyewe kwa wenyewe bila sababu, ninarudia tena kama kuna kitu huelewi tumia pm kutafuta ukweli, hata huko kwenye siasa za taifa viongozi hutumia back channels, kutafuta ukweli kabla ya kuweka maneno hadharani, ninarudia in our case kuwa we did the best we could na in the future tutafanya the same tena na tena, kwa wale msiozitaka hizi data zetu just change the channel, lakini kutuambia tuombe radhi kama media yetu uchwara ambao kwenye hii ishu wameonyesha kuwa 0% in accuraccy, wakati sisi tulikuwa 99.9% accurtate, ni tooo much to ask from us!

Na ninarudia tena, kuwa never even once kuwa tunapotoa data tunawakilisha forum, hapana huo ni uzandiki kwa anyeamini hivyo, maana wote hapa mnajua kuwa data ni zetu binafsi!

Ahsanteni! Aluta Continua na Kumkoma Nyani! Forum Oyeee na Zidumu data!

KUKUBALI MAKOSA NI USHUPAVU NA SIO UDHAIFU/UNYONGE

IDUMU HESHIMA YA FORUM..

Tanzanianjema
 
Hapana, kukubali makosa bila ya kufanya makosa ni dalili za unyonge na udhaifu, kama sio u-chiken! Na pia ni kujaribu ku-fit in the crowd kwa nguvu!

na the worst of all, ni u-coward, sasa get this straight I will never do that, may be over my dead body!

I have said before na ninarudia toka BCS, sikuzaliwa kuwa a sorry state!

Ahsante Mkuu!
 
sasa jamani tuchambueni mchele na pumba,

majina ndio haya nani tutegemee atanyanyuka kidedea?
 
Back
Top Bottom