William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
"Mzee Dar na Killtime, mnasema hii habari ina ukweli zaidi ya habari zilizoko kwenye thread yetu? Kubainika ni ukweli as a fact? Halafu hayo magazeti wamechemsha kwa sababu Mbatia hakunyimwa kugombea ujumbe, ila ameondolewa kwenye bodi ya hazina(CCM), lakini bado amepewa nafasi ya kugombea nafasi hiyo ambapo atachuana na Mama Megji! Sisi na wao magazeti tuko boti moja, ni data tu, mpaka kesho CCM watakapotangaza na tutaendelea kuzichokonyoa!
Na the latest zinasema wenyeviti wengi wa CCM wa mikoa wamepigwa chini!"
Mpaka tulisema magzeti yako wrong on Mbatia je ulikuwa udaku? Tena mpaka tukasema majina yatatangazwa kesho yaani leo, si haya yametangazwa leo sasa kama sio gele ni nini? wacheni kushusha heshima ya forum na upayukaji tu bila ukweli!
Forum oyeee! JF juuu zaidi! Where we dare to talk, na data mbele wee!