Uchaguzi mkuu kiti cha Rais 2025 (video): Unabii waweka wazi kuwa ni Samia S. Hassan (CCM) vs Bishop Josephat Gwajima (CHADEMA)...

Hiyo kesi haina uhusiano. Samweli alienda direct kwenye matokeo na na kumsema muhusika ( Mfalme ajae).
Sio kupendekeza wagombea ufalme.

Serikali zote ziko chini ya Mungu ni kweli hata kama zinaingia kwa wizi maana yeye ndiye mmiliki wa pumzi za za wezi hao. Ila kesi ya siasa hizi za vyama vingi na mashindano hiyo kesi haipo kwenue biblia.
Hapo ujumbe Si mashindano.

Ujumbe ni kuwa,

Ajaye ni Gwajima,

CCM wakimteua, anakuwa Rais.

CHADEMA wakimteua, anakuwa Rais.
 
Hata katika logic ya kawaida , Mungu hataruhusu mwanamke atawale . Mungu alitaka mwanamke awe msaidizi wa mwanaume toka mwanzo wakati dunia inaumbwa .
 
Ngoja tufanye kunukuu tu, kwa matumizi ya baadaye...

Nina swali, mbona Gwajima jimbo limemshinda? Ataweza nchi kweli!!!
Jimbo limemshindaje Josephat Gwajima ndugu Watu8?

Kama serikali haitaki au haipeleki fedha za kujenga barabara au maji au huduma yote ya kijamii jimboni kwake, hilo litakuwaje tatizo la Gwajima?

Kama huduma za jamii kwa ujumla wake i .e maji, umeme, barabara, makazi, mipango miji, usafiri na usafirishaji, kupanda kwa gharama za maisha kwa wananchi nk nk. Ni kwa vipi hii imuhusu Josephat Gwajima?

Hebu nieleze bwana labda nitakuelewa....

Nani mwenye jukumu la kukusanya kodi na kupanga matumizi yake? Gwajima au serikali?

Gwajima ni mbunge na kazi ya mbunge generally ni kusema kwa niaba ya wananchi anaowakilisha bungeni. Kusema juu ya mahitaji yao ya kimaendeleo kijamii na kiuchumi ili serikali kupitia mifumo yake ifanye. Kama serikali haijafanya nani alaumiwe?

Mimi nadhani hapa wa kulaumiwa ni Rais Hayati John P. Magufuli na sasa Samia Suluhu Hassan na chama chenye dhamana ya serikali yaani CCM kuwa wamefeli kuleta maendeleo jimboni Kawe kwa Gwajima...!;
 
Hata katika logic ya kawaida , Mungu hataruhusu mwanamke atawale . Mungu alitaka mwanamke awe msaidizi wa mwanaume toka mwanzo wakati dunia inaumbwa .
Unajua maana ya Msaidizi Wewe? Kuwa Msaidizi Haina maana kuwa mtu mdogo Hata awe mke.Roho Mtakatifu ni Msaidizi Lakini Sio mdogo kwetu ni mkubwa kwetu soma hapo

Yohana 14:26 “Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia.”
 
NB:
Naomba moderators tafadhali ruhusuni mada hii ijadiliwe. Msiogope, haina madhara yoyote kwenu na JF kwa sbb hii ni kitu halisi na mtu aliyetoa unabii huu yupo na anaweza kuulizwa na kuthibitisha haya

==============================================

Ukiitazama na kuisikiliza hii video ya unabii huu toka kwa Mwl. Steven Jacob, toka Arusha, inafikirisha na kutafakarisha kiasi chake. Tazama na sikiliza👇🏻👇🏻👇
View attachment 2969906

Kwa ufupi sana kwa wale wasio na vifurushi:

1. Mama Samia Suluhu Hassan (Rais wa sasa wa JMT) amekataliwa na Mungu - Jehovah, hatakiwi kugombea kiti cha Urais mwaka 2025. Si chaguo la Mungu - Jehova kuiongoza Tanzania mwaka 2025 - 2030..

2. Pamoja na kuwa ameshakataliwa, kitakachokuwa ni ajabu ni kuwa yeye na watu wake watalazimisha agombee. Na kwa mujibu wa unabii huu, ni kuwa atapitishwa kwa hila, atagombea lakini habari njema kwa wanamageuzi wote ni kuwa HATASHINDA UCHAGUZI HUO..!

3. Wakati huohuo ndani ya CCM yupo mtu ambaye Mungu keshamweka kuwa ndiye agombee na awe Rais ajaye wa Tanzania na jina lake katajwa kwa uwazi kabisa kuwa ni Bishop Josephat Gwajima. Ila wenzake ndani ya CCM watamkataa na hawatampa nafasi hiyo..

4. Kwa mujibu wa unabii huu, CHADEMA hawana mtu ambaye ana kibali cha Mungu - Yehova kugombea kiti cha u - Rais mwaka 2025 aliye ndani ya chama chao..

5. Na kwa kuwa Mungu tayari ameshampaka mafuta ya u - Rais wa nchi hii ndugu Josephat Gwajima, na kwa CCM watakuwa wamemkataa, basi Mungu atatengeneza mazingira ya kumtoa CCM na mara moja Freeman Mbowe au CHADEMA watampa nafasi ya ugombea u - Rais na CHADEMA kupitia kwa Ndugu Josephat Gwajima, watashinda na kuitawala nchi kwa mara ya kwanza..

6. Kwa Mama Samia Suluhu Hassan na CCM , unabii unasema, systematically Mungu ataachilia aibu iliyo kuu kwake na CCM itachinjwa kidogo kidogo mpaka ife kabisa..

============================================

MAONI YANGU

1. Pamoja na kuwa sisi wakristo Biblia - Neno la Mungu linatuonya kuwa;

‭1 Wathesalonike 5:20-22 SUV‬​

".....msitweze unabii; jaribuni mambo yote; lishikeni lililo jema; jitengeni na ubaya wa kila namna.."

Lakini wakati huohuo Biblia hiyo hiyo inatuhadharisha kuwa ni lazima kila unabii (kila roho isemayo yatoka kwa Mungu) ipimwe katika vigezo vya Neno la Mungu (Biblia) kama ilivyoandikwa;

‭1 Yohana 4:1-2 SUV‬

"...Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani. Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu.."

Ukipimwa na ukaenda sambamba na Neno la Mungu, huo unabii au hiyo roho iliyoleta neno hilo itakuwa inatoka kwa Mungu na kwa hiyo hapaswi mtu kuubeza (kuutweza au kuudharau)..

2. Unabii wa huyu ndugu ni mzito sana. Unahusu hatima ya nchi na taifa letu na watu wa nchi hii kwa ujumla. Natoa wito kwa wajuzi wa maandiko (Neno la Mungu) waje hapa na kutoa uchambuzi usio - base katika hisia na maarifa ya kibinadamu bali ule unaozingatia Neno la Mungu (Biblia...)

3. Je, wewe unasemaje? Toa maoni yako...
Binadamu angekuwa hana tumbo angekuwa mtu mzuri sana lakini tumbo linafanya watu wathmie kila mbinu.
 
Gwajima huyu huyu😂😂😂😂😂😂.

Basi kweli Mungu katuchoka watanzania.

View attachment 2969990
Wewe nawe acha ujinga kuleta vitu vya kutengenezwa (photoshoping) kwa nia ya kudhalilisha na kutweza utu wa wengine..

Hii haikuwa halisi. Ni vitu vya kutengeneza na kubumba tu na ilifanywa na huyuhuyu ndugu yenu Paul Makonda..

Lilishafafanuliwa hili na Paul Makonda kutubu na kuomba radhi kwa ujinga wake huu..
 
Halafu kijana huyo asiye na maadili ndiye anajaribu kujilinganisha na Mzalendo Magu!!
 
Unajua maana ya Msaidizi Wewe? Kuwa Msaidizi Haina maana kuwa mtu mdogo Hata awe mke.Roho Mtakatifu ni Msaidizi Lakini Sio mdogo kwetu ni mkubwa kwetu soma hapo

Yohana 14:26 “Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia.”
Lakini maana ya msaidizi kibinadamu ni mtu anayefanya kazi ya mwingine . Nilikuwa naongelea mwanamke kama binadamu siyo Roho mtakatifu.
 
NB:
Naomba moderators tafadhali ruhusuni mada hii ijadiliwe. Msiogope, haina madhara yoyote kwenu na JF kwa sbb hii ni kitu halisi na mtu aliyetoa unabii huu yupo na anaweza kuulizwa na kuthibitisha haya

==============================================

Ukiitazama na kuisikiliza hii video ya unabii huu toka kwa Mwl. Steven Jacob, toka Arusha, inafikirisha na kutafakarisha kiasi chake. Tazama na sikiliza👇🏻👇🏻👇
View attachment 2969906

Kwa ufupi sana kwa wale wasio na vifurushi:

1. Mama Samia Suluhu Hassan (Rais wa sasa wa JMT) amekataliwa na Mungu - Jehovah, hatakiwi kugombea kiti cha Urais mwaka 2025. Si chaguo la Mungu - Jehova kuiongoza Tanzania mwaka 2025 - 2030..

2. Pamoja na kuwa ameshakataliwa, kitakachokuwa ni ajabu ni kuwa yeye na watu wake watalazimisha agombee. Na kwa mujibu wa unabii huu, ni kuwa atapitishwa kwa hila, atagombea lakini habari njema kwa wanamageuzi wote ni kuwa HATASHINDA UCHAGUZI HUO..!

3. Wakati huohuo ndani ya CCM yupo mtu ambaye Mungu keshamweka kuwa ndiye agombee na awe Rais ajaye wa Tanzania na jina lake katajwa kwa uwazi kabisa kuwa ni Bishop Josephat Gwajima. Ila wenzake ndani ya CCM watamkataa na hawatampa nafasi hiyo..

4. Kwa mujibu wa unabii huu, CHADEMA hawana mtu ambaye ana kibali cha Mungu - Yehova kugombea kiti cha u - Rais mwaka 2025 aliye ndani ya chama chao..

5. Na kwa kuwa Mungu tayari ameshampaka mafuta ya u - Rais wa nchi hii ndugu Josephat Gwajima, na kwa CCM watakuwa wamemkataa, basi Mungu atatengeneza mazingira ya kumtoa CCM na mara moja Freeman Mbowe au CHADEMA watampa nafasi ya ugombea u - Rais na CHADEMA kupitia kwa Ndugu Josephat Gwajima, watashinda na kuitawala nchi kwa mara ya kwanza..

6. Kwa Mama Samia Suluhu Hassan na CCM , unabii unasema, systematically Mungu ataachilia aibu iliyo kuu kwake na CCM itachinjwa kidogo kidogo mpaka ife kabisa..

============================================

MAONI YANGU

1. Pamoja na kuwa sisi wakristo Biblia - Neno la Mungu linatuonya kuwa;

‭1 Wathesalonike 5:20-22 SUV‬​

".....msitweze unabii; jaribuni mambo yote; lishikeni lililo jema; jitengeni na ubaya wa kila namna.."

Lakini wakati huohuo Biblia hiyo hiyo inatuhadharisha kuwa ni lazima kila unabii (kila roho isemayo yatoka kwa Mungu) ipimwe katika vigezo vya Neno la Mungu (Biblia) kama ilivyoandikwa;

‭1 Yohana 4:1-2 SUV‬

"...Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani. Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu.."

Ukipimwa na ukaenda sambamba na Neno la Mungu, huo unabii au hiyo roho iliyoleta neno hilo itakuwa inatoka kwa Mungu na kwa hiyo hapaswi mtu kuubeza (kuutweza au kuudharau)..

2. Unabii wa huyu ndugu ni mzito sana. Unahusu hatima ya nchi na taifa letu na watu wa nchi hii kwa ujumla. Natoa wito kwa wajuzi wa maandiko (Neno la Mungu) waje hapa na kutoa uchambuzi usio - base katika hisia na maarifa ya kibinadamu bali ule unaozingatia Neno la Mungu (Biblia...)

3. Je, wewe unasemaje? Toa maoni yako...
Labda ndoto hizo, ccm kuchomoka madarakani Kwa njia ya makaratasi sio rahis kivile
 
Gwajima ni msanii sanii kupita kiasi. Tuwatu twa kupepesa pepesa macho na ujanja ujanja na utapeli na kuongea harakaharaka kitapeli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom