Uchaguzi 2010: Masilahi Ya Taifa Kwanza!

Uchaguzi 2010: Masilahi Ya Taifa Kwanza!

Ukisubiri hilo tobo lizibwe utasubiri sana na huwaga hakuna nchi ambayo imeweza kuliziba...kabisa???
Mimi nafikiri tatizo leetu ni masoko hivi yule mkulima kule kijijini kila mwaka kwake ni taabu? mathalani
a) Wakivuna sana yaani mwaka mzuri bei inapungua mkulima anakuwa maskini "anauza mazao mengi pesa kidogo"
b) Mwaka mbaya mavuno kidogo bei kubwa lakini " mazao machache" kwa hiyo wanaishia kupata kidogo
Tatizo letu ni la kiuchumi zaidi kuliko mengine..that is why I go for economic guru..Prof. Lipumba for presidency

- Wa-Tanzania siku zote tuna tatizo moja kubwa sana, nalo ni kushindwa kutumia resources tulizonazo kwa faida yetu, hili tumeliruhusu mpaka kwenye kuchagua viongozi wetu wa taifa, tunalia wee! halafu ukija uchaguzi tunaanza maneno ya oooh experience!, oooh hana elimu! oooh kijana mdogo hajakomaa! ooh mzee,

- Ninasema Tanzania tunao watu ambao wakipewa nafasi wanaweza kuumaliza ufisadi in one month, I mean Mramba na Yona walipoenda Rumande kama Rais wetu angeshikilia pale pale na kukusanya na wengine wallahi huu mzizi wa ufsadi by now ungekua kalasi!

- Ninasema hivi regardless ya impact ya mjadala huu kwa taifa, atleast wananchi watasutwa na nafsi zao kila watakapopingana na mawazo yetu kuhusu nani anafaa na nani hafai kuhusu uongozi bora wa taifa letu, ndio maana leo ukiweza kufukua BCS na mwanzo wa JF, utagundua hakuna jipya yote tuliyasema mapema sana, sasa ni uamuzi wa wananchi kutusikiliza au kuwasikiliza mafisadi, lakini tutasema wazi viongozi wanaotufaa na wasiotufaa kwa masilahi ya taifa letu.

Respect.

FMEs!
 
Makali david,
Haya madudu gani tena ktk uwanja huu!..

FMES, Mkuu wangu nimekusoma tena leo hakika umefungua ukurasa mpya kabisa wakupima watu na sii kwa vyama, sura ama itikadi zao na hakika umelenga pale penye hili donda la utovu wa viongozi.

Kwa muda mrefu nimekuwa nikipima sana Mbowe ktk uwezo wake kuongoza kama mwenyekiti cha Chadema na kusema kweli nilikuwa na wasiwasi mkubwa kwa sababu namfahamu Mbowe personal. Tumekuwa sote, hivyo hata sii ajabu hata yeye hawezi kuamini mengi toka kwa Mkandara huyu wa JF na yule amjuaye akiwa pale Club.

Mbowe anaweza kukiongoza chama lakini ngoma kubwa Kitaifa nadhani sii swala la uwezo wa mtu kuongoza chama au itikadi fulani ila sasa hivi nachelea kusema ni wakati wa kuwaibua Viongozi ambao watakuwa na maamuzi makubwa ktk mustakabali wa Taifa letu. nashindwa kuiweka nafasi ya Mbowe kwa sasa hivi kwani Utabiri wangu unaonyesha wazi kwamba nafasi ya Mbowe ipo mwaka 2015 baada ya kuwaondoa Mafisadi. Nafasi ipo kwa Lipumba, Mbatia na wengine wote mwaka 2015 baada ya ushindi dhidi ya Mafisadi..
Nafasi pekee ya Ushindi mwaka 2010 imesimama kwa kiongozi ambaye anaweza kuwadhihirishia wananchi -JUSTICE kama yule mzee marehemu Charles Bronson na movie zake za Death Wish mahala ambapo Law imeshindikana.
Yes nasema hivi Dr. Slaa anaweza kuleta Upinzani mwaka 2010 kuliko kiongozi yeyote nje ya viongozi walioko ndani ya CCM. Lakini vile vile wapo wengi sana wanaoweza kuleta Ushindani mkubwa kwa Kikwete toka ndani ya CCM inategemea ni agenda zipi wananchi watazipa kipaumbele..
Ila dr. Slaa sii lolote sii chochote hata kama ana uwezo mkubwa wa kufuta Ufisadi pasipo support kubwa ya vyama vya Upinzania, baraka za wazee wa majimbo yote nchini, Jumuiya zote na Taasisi zinazotafuta justice kumuunga mkono na kumtangaza.

Wakati Kikwete akitegemea zaidi Vigogo wenye mifedha kupata ushindi, pinzani ya mbinu hiyo ni vigogo, wazee wa makabila watakapo simama nyuma na mpinzania. Kwa muda mrefu sana Taifa letu limesahau asili yetu na nafasi ya wazee viongozi wetu ktk uchaguzi wa Kitaifa. Kmaa Dr. Slaa atapata support ya vyama vya Upinzania, akapata support ya wazee wa makabila, dini, Jumuiya na Taasisi tofauti za vijana, wake kwa waume nina hakika silaha hii inaweza kabisa penyeza ktk shield nzito ya Fedha...

Ni wakati wa Upinzani kujipanga, kujiandaa na kupanga mapambanoi kwani kila siku wanavyozidi kuchelewa na kuendekeza migogoro ya watu binafsi ndivyo nafasi yao inavyozidi kuwa finyu..
Hivyo kumtaka Dr. Slaa asimame au kudhania kwamba Dr. Slaaa anaweza kuwa rais tumtake ni swala moja na kujiandaa kwake ni swala jingine pekee. Nje ya hapo sioni uwezekano wa Dr. Slaa kumshnda Kikwete hata kama anaweza kukomesha Ufisadi. Kiti kikubwa ndio mwanzo wa maamuzi yote ya mbele.
 
Ukisubiri hilo tobo lizibwe utasubiri sana na huwaga hakuna nchi ambayo imeweza kuliziba...kabisa???
Mimi nafikiri tatizo leetu ni masoko hivi yule mkulima kule kijijini kila mwaka kwake ni taabu? mathalani
a) Wakivuna sana yaani mwaka mzuri bei inapungua mkulima anakuwa maskini "anauza mazao mengi pesa kidogo"
b) Mwaka mbaya mavuno kidogo bei kubwa lakini " mazao machache" kwa hiyo wanaishia kupata kidogo
Tatizo letu ni la kiuchumi zaidi kuliko mengine..that is why I go for economic guru..Prof. Lipumba for presidency
Mkuu ndivyo uchumi unavyokwenda hata Ulaya mchezo ni huo huo.. Kumwezesha Mkulima ktk nchi ambayo inajaa Ufisadi ni swala gumu zaidi ya kutazama fedha na mavuno. Usifikirie mavuno kwanza kabla hujawatazama nguchiro na minyani inayovizia kila hatua ya ukulima kuharibu mazao. Kile kinachopatikana ni sehemu ndogo sana ya mavuno..

Je, unaelewa kwamba uwezo wa Hydro ower zetu ni Mw 4,700 lakini tunakosa Umeme? wakati mahitaji yetu kitaifa matumizi sidhani kama yanafika hata Mw 3000..Why leo hii tunazalisha asilimia chini ya 20 ya uwezo wetu? Utasema hatuna soko au bei hafifu?
 
1. Dr. Slaa anafaa sana tena sana kuwa Rais wa taifa hili na anaweza kulitatua tatizo la ufisadi, kwa sababu kwanza yeye ndiye kiongozi wa kwanza Tanzania kutufumbua wananchi na kutufundisha kuacha uoga na kusema yanayotukera bila ya kuiogopa serikali tuliyoichagua wenyewe,

- Hili taifa tunahitaji kiongozi asiye muoga, anayeweza kusimama na kusema yasiyosemeka yaani maovu ya viongozi wetu wa juu, kiongozi anayeweza kuheshimika na viongozi wenziwe na hasa wananchi na hii ninaisema bila ya ku-complicate anything kuhusu skills za rais tunayemuhitaji, wakuu mkumbuke hii ni bongo sio majuu, huku tunahitaji kiongozi mwenye udikteta flani hivi kama wa Dr. Slaa, ninasema hivi huyu anafaa na achaguliwe katika nafasi yoyote ile atakayogombea tunamuhitaji sana kwa ajili ya masilahi ya taifa.

- Kule nyuma nimeona kuna mkulu mmoja amejaribu sana kumuuua Dr. Slaa, lakini katika maelezo yake yote sijaona mahali hata pamoja akisema Dr. Slaa ni mwizi na jambazi kama miviongozi mingi mijambazi tuliyonayo. Dr. Slaa anafaa sana kuwa Rais wa taifa hili.

Heshima mbele mkuu. Nimependa kweli ulivyo mtetea Dr. Slaa. Ni kweli kabisa kwamba yeye ndiye aliyeanza kutufumbua macho kuhusu maskendo mengiambayo tuna yasikia sasa hivi. Hapa let's give him his credits. Lakini ni kutokana na hili ndiyo maana mimi naona angefaa zaidi kama mbunge tena wa upinzani. Mtu ambae anaweza kukemea mabaya na kutufumbua macho katika maswala mengi. Akiwa raisi sidhani kama ataweza kukemea mabaya maana yeye atakua part ya serikali. Hata kama maovu yakiwa ya wengine still yeye kama raisi wa nchi ata beba lawama kubwa. Bado nadhani atafaa zaidi katika nafasi yake ya sisi which is mbunge wa upinzani anaye kemea maovu yanayo tendwa na viongozi wenye mamlaka ya serikali.

2. Waziri Magufuli, sina uhakika na uwezo wake as a president, lakini sina wasi wasi kwamba anaweza nafasi yoyote chini ya u-Rais, hasa Waziri Mkuu anaweza kukemea na anaweza ubabe pia, unajua sisi wabongo bila kaubabe kidogo kama ka-Mrema hatuendi, huyu naye anafaa kwa sababu Rais atakuwa Dr. Slaa basi Takukuru itakuwa inafanya kazi inavyotakiwa, kwa hiyo mapungufu ya hawa kina Magufuli yatathibitiwa.

Hapa I have to say I agree with you. Waziri mkuu kikatiba ndiye anaye takiwa kuwa mtendaji mkuu wa shughuli za serikali huko akijibu kwa raisi. Hata mimi nadhani nafasi kama hiyo ndiyo inamfaa Magufuli. Pia maraisi kwa sababu wao ndiyo wanaomba kura directly kwa wananchi saa nyingine wana tabia ya kufanya vitu ili kupoza au kuridhisha baadhi ya watu. Kwa maana hiyo basi waziri mkuu & in this case Magufuli anaweza akawa the "enforcer" doing all the dirty jobs.

3. Ninasema kwamba, ufike mahali tuache maneno ya nonsense ya Rais kuwa na kofia mbili, kwa sababu kwa muda mrefu sasa nimekua nikifuatilia uwezo wa uongozi wa Wenyeviti wetu wa vyama vya siasa, nimegundua kwamba kiongozi Freeman Mbowe, ndiye pekee mwenye uwezo wa kuongoza taifa kama Mwenyekiti wa chama kinachotawala kwa sababu Freeman ana all the skills zinazotakiwa hasa kutokana na all the things he has done kuiweka Chadema pamoja, I mean can you imagine Freeman angekua Mwenyekiti wa CCM ya sasa?

Hata mimi hii naona ni nonsense kubwa. Raisi kuvaa kofia mbili za kiongozi mkuu wa chama na serikali kuna create a conflict of interest. This is because what's best for the government is not necessarily what's best for the party and vice versa. Pia raisi kutokuwa mwenyekiti wa chama kuta saidia sana kumuondolea raisi lawama zisizo za lazima. Sasa hivi Kikwete is also taking heat for what is going on within his own party badala ya yeye kujali zaidi what is going on with the wananchi.

The guy haogopi kusimamia interest za chama chake hata kama inabidi kuipindisha katiba, I do not like it lakini bado ninaheshimu uwezo wake wa kusimama mbele ya public na kusema wazi kwamba he has to what he has to do kwa sababu ya interest ya Chama at large na yuko radhi kuhukumiwa na Historia, maaan that is wasup! Kwenye hili ninawashauri wapinzani kama inabidi waunganishe vyama na kumsimamisha Dr. Slaaa, basi huyu Freeman Mbowe ni lazima awe Mwenyekiti wa hicho chama,

- Sina uhakika na uwezo wa Freeman as a president, lakini ninasema straight from my heart and soul kwamba the guy has what it takes kuongoza chama tawala cha siasa , na ninamu-admire sana kwa kuweza ku-acquire hizi skills in the process ya Uenyekiti wake wa chadema, anayoyafanya ndio hasa yanayotakiwa kufanywa na Mwenyekiti wa chama cha siasa, na hasa bongo.

I think Freeman Mbowe would make a descent president. But at this point I don't think he is the best man for the presidency. Mimi naona angekuwa mwenyekiti wa chama na pia arudi bungeni. That way anaweza kuwa kiongozi wa upinzani bungeni huko ana kiongoza chama chake. Under his leadership Chadema imetoka kutoka kuwa chama kisindikizaji mpaka chama tishio kiasi cha kufikia kuipiku labda hata CUF kwa umaarufu. This guy is good at what he does and I give him credit for it.

*There is one thing though I think will cause a problem for Chadema if they win the country's presidency and that is they don't have much of a base in Zanzibar. I don't know how it would work if one party lead the union government and the other one lead the isle government. But what I know is that the situation will cause some friction and there will be instances of one side trying to contradict the other for political gains.
 
FMES, Mkuu wangu nimekusoma tena leo hakika umefungua ukurasa mpya kabisa wakupima watu na sii kwa vyama, sura ama itikadi zao na hakika umelenga pale penye hili donda la utovu wa viongozi.

Kwa muda mrefu nimekuwa nikipima sana Mbowe ktk uwezo wake kuongoza kama mwenyekiti cha Chadema na kusema kweli nilikuwa na wasiwasi mkubwa kwa sababu namfahamu Mbowe personal. Tumekuwa sote, hivyo hata sii ajabu hata yeye hawezi kuamini mengi toka kwa Mkandara huyu wa JF na yule amjuaye akiwa pale Club.

Mbowe anaweza kukiongoza chama lakini ngoma kubwa Kitaifa nadhani sii swala la uwezo wa mtu kuongoza chama au itikadi fulani ila sasa hivi nachelea kusema ni wakati wa kuwaibua Viongozi ambao watakuwa na maamuzi makubwa ktk mustakabali wa Taifa letu. nashindwa kuiweka nafasi ya Mbowe kwa sasa hivi kwani Utabiri wangu unaonyesha wazi kwamba nafasi ya Mbowe ipo mwaka 2015 baada ya kuwaondoa Mafisadi. .

- Mkuu wangu Bob, kwa kweli Freeman inapokuja kwenye Uenyekiti wa chama cha siasa, kwa maoni yangu ninasema kuwa hana mfano kwa sasa Tanzania nzima kwanza anayo heshima na anaowaongoza, Zitto pamoja na ambitions zake bado anamuheshimu sana Mbowe, WHY? Ni kwa sababu the man has shown kwamba inapokuja interest ya chama hana mchezo, what ever it takes na that is what is missing kwenye vyama vingine vyote Tanzania CCM included.

- Tizama chama changu CCM, Chenge ni mjumbe wa kamati ya maadili ya uongozi are you kidding me or what? Unajua mkuu Mandela anaheshimika na Dunia sio kwa sababu ya uongozi bora maana unajua Soweto iko vile vile toka wakiwa jela na alipotoka na kua Rais, lakini ni kwa sababu ya kuwa na msimamo, US kuna kiongozi mmoja anaitwa Sharpton huyu anaheshimika kwa sababu moja tu nayo ni msimamo, Mwalimu anaheshimika kwa sababu gani msimamo, msimamo! msimamo! ndio the name of the game!

- I mean Freeman recently amekua akifanya everything rightly kama Mwenyekiti wa chama cha siasa, na hasa katika kulinda masilahi ya chama kiongozi kama Mwenyekiti sio lazima akubaliane kila ishu na wanachama wake, hapana kiongozi anaweza kufanya maamuzi on his own bila ya kutaka ushauri wala majadiliano na yeyote yule as long as anaamini kwamba uamuzi wake ni for the best interest ya chama na wanachama wote at large, ndio maana akachaguliwa kuwa kiongozi, kama kuna mwanachama au kiongozi wa chini yake anaharibu na yeye Mwenyekiti anazo all intelligence ripoti kuhusu mwenendo mbovu wa kiongozi huyu wake wa chini, hana sababu ya kumwaga mchelle kwenye kuku wengi, yeye ni kutumia kila mbinu kukiepusha chama na balaa na yeye kusimamia msimamo wake mapaka mwisho kwamba he was only protecting his party interest na hawezi kujadili with the public how and why! na this is what Feeman has been doing recently, ndio maana ninasema hivi fikiria Mbowe angekwua Mwenyekiti wa CCM ya leo?

Respect.

Field Marshall Es!
 
Mie nasema Rais awe Sallim A.S. kwa kupitia CHADEMA na Dr. Slaa aje awe PM. Hapo unamfanya Magufuli Waziri wa Maji, umeme na ......... Mwakalinga Waziri wa Mawasiliano. Wakorofi wawili wasio na adabu kwa majina makubwa ya Tanzania wanapewa kazi ya Masha na Simba. Unakuwa umemaliza kazi.

Ila kama Dr. Slaa atabadili mawazo na agombee ......SAHIHI YANGU BADO IPO ONLINE.
 
Mkandala,
Nakubaliana na wewe asilimia 100%, Dr. Slaa akisimama na muungwana, 2010 kweli patachimbika. Watafutwe wazee wa busara wa upinzani na hata wa CCM waliochoshwa na mambo yalivyo, wakamshauri Dr Slaa agombea kama mgombea pekee wa upinzani atakayemkabili JK.

Wakati huo jimbo lake la Karatu tunaliwekea caveat ya kijana loyal wa Chadema ambaye atakuwa dispensable incase bid inagoma, Chadema wanamdispanse na Dr. anarudi Karatu kwenye by election na kurejea mjengoni ambapo 2015 itakuwa sasa ni for sure.

Pasco
Nakubaliana na wewe pamoja na Mkandara kwamba Dk Slaa agombee Urais nex year Ila sijakuelewa hapo nilipoweka red,by election itatokeaje?do you want somebody afe kwasababu ya hii Move?Naomba nifafanulie
 
Mimi nafikiri kwa 2010, tukazanie kuongeza na kuwajaza bungeni wabunge ambao wanapinga ufisadi au atleast si zao la mafisadi. Kila mmoja wetu hapa JF atumie nafasi yake popote alipo kuhakikisha mbunge wa jimbo analotoka hatokua ni zao la ufisadi, then tukiwa na bunge imara 2010, 2015 itakua ni kumalizia kazi kwenye urais.

Mimi chaguo langu kwa 2015 linabaki kuwa ANNA KILANGO MALECELA a.k.a. THE IRON LADY.

Mama Kilango ameonesha sifa nne muhimu kwangu kwenye nafasi ya urais.
1. Uwezo mkubwa wa kujisomea maripoti na makabrasha mbalimbali, hili nalijua for a fact. Huyu mama huwa hatishiki na ukubwa wa ripoti, na anajituma kujua kilichomo kwenye ripoti anazopewa. Hii itasaidia kuwa na kiongozi asiyedanganywa kirahisi kutokana na uvivu wa kujisomea(Majority wanatishwa na thickness ya ripoti).

2. Uthubutu wa kusimamia hoja ambazo zinaweza kuwakera viongozi wenzake na chama chake ila zikawa na manufaa makubwa kitaifa. Na hili ndilo hasa tunalolihitaji kwa taifa kusonga mbele.

3. Ufuatiliaji wa mambo. Huyu mama ni mfuatiliaji wa issues na unaweza kuona kuwa hatoi ahadi huku akijua hawezi kuifatilia kwa ukaribu kama sio kuitimiza kabisa.

4. Hekima ya kujua wapi au nani amjibu na nani asimjibu. Hana Udini, na ni mtu mvumilivu. Anajiamini usafi wake kiasi cha kumdare waziri ambaye anamamlaka zote kubwa za kiuchunguzi, kumshitaki kwa kosa lolote la kifisadi(Sijui wangapi wanaweza kumwambia hivyo waziri wa TISS na TAKUKURU, ambaye ameshaonesha chuki ya dhahiri juu yao)

Nini kifanyike.
1. Aendelee na mikutano yake ya mikoani, kama alioanza nao wa Moshi, ili wananchi wengi zaidi hasa wa mikoani wapate kumfahamu zaidi.

2. Ajitambulishe na ajiweke karibu kwa kinamama wanachama wa kawaida wa UWT, ikiwa ni kujiandaa kumng'oa guberi Sofia Simba kwenye uwenyekiti wa UWT Taifa 2013.

3. Aendelee kujiimarisha kwenye misimamo yake kwenye siasa za kitaifa, na kutetea maslahi ya mtanzania wa kawaida kabisa ndiyo iwe dira yake kila siku. Hasa awabebe kinamama na watanzania wakawaida.

4. Aandae campaign team amabayo itatafuta fedha zake za campaign kupitia michango midogomidogo ya wananchi wa kawaida tunaomuunga mkono(Tshs 500-100,000 max). Hata ikiwezekana kitu kama sms fund ambayo mtu ukituma sms kwenye a certain number, account yake ya campaign inaingiziwa kiasi fulani. Kwa kifupi atumie technology na networking zaidi, na AACHANE KABISA na wachangiaji wakubwa wachache.

Mengine tutaongeza baadae.

MUNGU AMBARIKI MAMA ANNA KILANGO MALECELA, THE FIRST LADY PRESIDENT OF THE U.R.T....

Ni mtizamo tu wakuu wangu...
 
Tuwaache watu wajitokeze wenyewe kuwania nafasi muhimu na nyeti kwa Taifa letu. Vinginevyo tunafanya kazi kama ambayo ilifanywa na Mwalimu kwa Mkapa, matokeo yake tumeyaona; kazi kama hiyo pia ilifanywa na akina EL na RA kwa JK, hali tunaiona.
Ni mtu ajitokeze mwenyewe kisha tumjadili. Naamini wapo VIONGOZI wazuri tu NCHI hii. Mfumo wetu wa kuchaguana ndio tatizo.
 
- Wa-Tanzania siku zote tuna tatizo moja kubwa sana, nalo ni kushindwa kutumia resources tulizonazo kwa faida yetu, hili tumeliruhusu mpaka kwenye kuchagua viongozi wetu wa taifa, tunalia wee! halafu ukija uchaguzi tunaanza maneno ya oooh experience!, oooh hana elimu! oooh kijana mdogo hajakomaa! ooh mzee,

Umeweka vizuri sana tatizo letu nambari wani!!! ni wazito sana kufikiri na kusoma alama za nyakati!!

Tome to change... Now!!!
 
- Wa-Tanzania siku zote tuna tatizo moja kubwa sana, nalo ni kushindwa kutumia resources tulizonazo kwa faida yetu, hili tumeliruhusu mpaka kwenye kuchagua viongozi wetu wa taifa, tunalia wee! halafu ukija uchaguzi tunaanza maneno ya oooh experience!, oooh hana elimu! oooh kijana mdogo hajakomaa! ooh mzee,

- Ninasema Tanzania tunao watu ambao wakipewa nafasi wanaweza kuumaliza ufisadi in one month, I mean Mramba na Yona walipoenda Rumande kama Rais wetu angeshikilia pale pale na kukusanya na wengine wallahi huu mzizi wa ufsadi by now ungekua kalasi!

- Ninasema hivi regardless ya impact ya mjadala huu kwa taifa, atleast wananchi watasutwa na nafsi zao kila watakapopingana na mawazo yetu kuhusu nani anafaa na nani hafai kuhusu uongozi bora wa taifa letu, ndio maana leo ukiweza kufukua BCS na mwanzo wa JF, utagundua hakuna jipya yote tuliyasema mapema sana, sasa ni uamuzi wa wananchi kutusikiliza au kuwasikiliza mafisadi, lakini tutasema wazi viongozi wanaotufaa na wasiotufaa kwa masilahi ya taifa letu.

Respect.

FMEs!
Mkuu naona mjadala huu una umuhimu sana kutujulisha sote hawa watu ambao wanapigana vikumbo kuwa viongozi ni kina nani ili kama tutaamua kudharau ukweli uliopo basi tuendelee kujililia wenyewe.
Ni naona ni vema tukayaona majina unayofikiria na kwanini unafikiria hivyo hili mijadala iwe katika kuona uwezo halisi wa kila mtu kama kiongozi. Lakini kwa bahati mbaya huko nyuma hiyo ilikuwa kazi ya state na baada ya compromise ya value za uongozi ndio hivyo tena kila mtu amekuwa kiongozi.
 
Hivi ina maana humu ndani wote mnakubaliana na mtizamo kuwa TANZANIA NI UFISADI na UFISADI NI TANZANIA?

Naamini ili kuepeka kupata bora mbadala na kuwa na mbadala makini ni muhimu kuwachambua hao MASIHA tunaowatafuta kwa vipimo makini zaidi kuliko "ujemedari wao" katika "masuala" tunayopambana nayo sasa, kuwachanganua kwa undani zaidi katika vigezo kama vifuatavyo:

Misingi ya utaifa na uongozi? (PRINCIPLES)

Nidhamu binafsi na nidhamu za kiuongozi (ETHICS)

Misingi na misimamo ya kiitikadi (Ideology)

VISION kwa taifa letu na bara letu la Afrika

Upeo wake katika masuala ya kitaifa na kimataifa?(EXPOSURE)

Busara za kiuongozi na mapenzi kwa anaowaongoza?

Mtizamo wake na heshima yake kwa misingi ya KIDEMOKRASIA

Usafi wake katika masuala tunayopambana nayo sasa kama vile UFISADI

Na mengineyo...

omarilyas
 
Omary mtu wako bora kabisa toka tukiwa udsm tukisoma alikuwa ni Salim Ahmed Salim...............na wale watakaokuwa wakifanana nae na si vinginevyo.salam.
 
[/COLOR]

Pasco
Nakubaliana na wewe pamoja na Mkandara kwamba Dk Slaa agombee Urais nex year Ila sijakuelewa hapo nilipoweka red,by election itatokeaje?do you want somebody afe kwasababu ya hii Move?Naomba nifafanulie
GS, sio lazima mtu afe, unamtafuta mgombea loyal anacoverup ili jimbo lisiende CCM, Slaa akikosa, jamaa anaresign, by election inamrudisha Dr. Bungeni.
 
Ndugu yangu Pasco! Nini kimekufurahisha hapa? napenda kujua msimamo wako
.

Shalom, kwa vile nilimfagilia sana Dr, na jamaa akaibuka na kupiga nyundo kali, nikamshukuru kwa uhuruwake wa kutoa maoni yake. Option ya kushukuru is only for useful posts, kungekuwa na option ya kuonyesha na pumba, JF ingejaza bure bandwidth.
 
Hivi ina maana humu ndani wote mnakubaliana na mtizamo kuwa TANZANIA NI UFISADI na UFISADI NI TANZANIA?

Naamini ili kuepeka kupata bora mbadala na kuwa na mbadala makini ni muhimu kuwachambua hao MASIHA tunaowatafuta kwa vipimo makini zaidi kuliko "ujemedari wao" katika "masuala" tunayopambana nayo sasa, kuwachanganua kwa undani zaidi katika vigezo kama vifuatavyo:

Misingi ya utaifa na uongozi? (PRINCIPLES)

Nidhamu binafsi na nidhamu za kiuongozi (ETHICS)

Misingi na misimamo ya kiitikadi (Ideology)

VISION kwa taifa letu na bara letu la Afrika

Upeo wake katika masuala ya kitaifa na kimataifa?(EXPOSURE)

Busara za kiuongozi na mapenzi kwa anaowaongoza?

Mtizamo wake na heshima yake kwa misingi ya KIDEMOKRASIA

Usafi wake katika masuala tunayopambana nayo sasa kama vile UFISADI

Na mengineyo...

omarilyas

Nakuunga mkono Omar, uongozi bora ni zaidi ya vita vya ufisadi, lakini kwa sasa watu wana hasira za ufisadi ndio maana Dr. Slaa anajitokeza zaidi kuwa na mashiko kwa sababu ameonyesha.
 
Mkuu naona mjadala huu una umuhimu sana kutujulisha sote hawa watu ambao wanapigana vikumbo kuwa viongozi ni kina nani ili kama tutaamua kudharau ukweli uliopo basi tuendelee kujililia wenyewe.
Ni naona ni vema tukayaona majina unayofikiria na kwanini unafikiria hivyo hili mijadala iwe katika kuona uwezo halisi wa kila mtu kama kiongozi. Lakini kwa bahati mbaya huko nyuma hiyo ilikuwa kazi ya state na baada ya compromise ya value za uongozi ndio hivyo tena kila mtu amekuwa kiongozi.

- Mkuu heshima mbele sana na tupo pamoja sana hapo!

es!
 
2. Jimbo La Urambo:

- Huko tunasema kwamba Mheshimiwa Sitta anastahili kurudi tena bungeni, sio siri kwamba kama sio yeye hivi vita dhidi ya mafisadi ingekuwa ndoto ya usiku, tunajua kwamba historia haiko upande wake, lakini hata Paulo wa kwenye Biblia aliwahi kuwa upande wa pili wa gilasi wakirudi upande mwingine tunawakubali kwa kuwadai matendo ambayo tayari Sitta ameyaonyesha na tunayakubali.

- However, kwa maoni yangu ningependa kuona Mheshimiwa Sitta akikosa u-Spika na kuwa mbunge wa kawaida, vita imeshasimama tayari hata Spika wa mafisadi hawezi zima huu moto, cha muhimu ni kuona Mh. Sitta akiwa nyuma kwenye bench atawaka huu moto alionao sasa?

- Otherwise, Mheshimiwa Sitta ame-earn our respect kwa kuweza ku-transform katika kipindi kifupi sana na kuweza kuonyesha matunda ya transformation yake, maana 2/3 ya NEC inapolipwa pesa na mafisadi ili kukusulubu then ina maana moja tu kwamba you did something good for us, yaani the people!

Respect.

FMEs!
 
Omary mtu wako bora kabisa toka tukiwa udsm tukisoma alikuwa ni Salim Ahmed Salim...............na wale watakaokuwa wakifanana nae na si vinginevyo.salam.

- Wakuu hebu tuwekeeni record ya Dr. Salim na hasa kuhusu vita vya ufisadi, je anayo record?

Respect.

FMEs!
 
- Wakuu hebu tuwekeeni record ya Dr. Salim na hasa kuhusu vita vya ufisadi, je anayo record?

Respect.

FMEs!
Salim amekuwa PM baada ya kifo cha Moringe Sokoine, hivyo alikuta hali ya ufisadi ni tambarare kabisa baada ya ile safisha ya wahujumu wa uchumi, Salim had nothing to show.

Merit pekee ya Salim, ni muadilifu wa Nyerere type, he is a man of impecable integrity.

Mimi binafsi namuona kama too soft, ila akipata madaraka atapitia tanuru la aradite na kugeuka mgumu kama chuma cha pua.

Sifa nyingine ya huyu jamaa ana humulity ya ajabu, anauvumilivu wa hali ya juu na endurance isiyo mfano ya kuvumilia yote aliyozushiwa lakini amejinyamazia baada ya kujua who was behind, walichomfanyia kina Salva pale mtanzania, was beyond defamation, it was personal criminal trespass ambayo nchio nyingine ikempeleka Salva behind bars, jamaa alikubali yote na nadhani amesamehe na kusahau ili isije tumikakama fimbo dhidi yake kuwa akiingia huyu, atalipiza visasi.

Japo Salim is more of a diplomat than a statesman, ni afadhali kuliko uchafu uliopo.
 
Back
Top Bottom