Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,169
- 10,786
- - Na ninaomba nikukumbushe wewe na wengine wote kwamba mimi ni mwanachama mkereketwa wa CCM, sijawahi kutokwua na msimamo wala kuwa neutral katika maisha yangu huku Duniani, ninaamini kwamba chama cha CCM hakina tatizo lolote, isipokuwa tuna viongozi wachache wabovu ambao demokrasia inahitaji tuwarekebishe ili waweze kurudi tena kwenye mstari.
- Nafasi ya Rais kwa sasa ninaiacha wazi mpaka nitakapojua wanaoiwania kutoka vyama vyote ndio tutasema wazi msimamo wetu, ingawa for now tunaweza ku-speculate na kushauri pia nani anayefaa, lakini tutasema msimamo wetu kwa wagombea walioko kwenye nafasi tayari na wale walioonyesha nia ya kutaka kugombea.
FMEs!
FMES umesema vyema ni kwa maslahi ya taifa, ila pia wewe ni mkereketwa wa CCM. Unataka kutaja majina ya wana CCM wanaofaa kwa urais? au ''yeyote mwingine kwa maslahi ya taifa'?
Pili ukipropose majina ya wagombea, let say ndani ya CCM kama mwanaCCM mkereketwa unafikiri JK yuko tayari kuachia hii nafasi mwakani?
Kama hayuko tayari kuachia ngazi, lengo lako ni nini hapa?
Mwisho ni lini mtaweza kuwaondoa hao wanachama wabovu(kama usemavyo hili wengine wasafi kama wewe muendelee kushika nchi)? unaweza kuweka timeline? mmeshakaa madarani kwa miaka 40 sasa! how many more years are enough for you
Mh. John Magufuli angefaa zaidi, ila mwakani nadhani Mh. Jakaya Kikwete atagombea tena ili akamilishe kipindi cha miaka 10.
FMES huwa hamtaki kabisa huyu mtu, sijui sasa msimamo wake, eto aliwauzia ndugu zake nyumba za serikali, wakati aliyeingia mikataba ya IPTL na madini ni rais!
So akiwa professor na maadili akataliwe kwa sababu ni professor?? mkuu u are not seriousHatutaki Professor awe rais!Simpla man mwenye maadili!