Uchaguzi 2010: Masilahi Ya Taifa Kwanza!

Wakuu, Rais anatakiwa kuwa mtu kama Mkapa (except for Kiwira like scam na kudanganya watu kuwa unapinga ufisadi huku ukiu-supervise). Awe inteligent, anajua anachofanya, anaweza kuprioritize na kusimamia utekelezaji wa policies anazoleta, asiwe mswahili na kuendesha nchi kiushkaji, na lazima ajue kuwa kupewa nafasi ya kuongoza nchi sio kupewa ufalme, ila ni kupewa nguvu za dola ili ufanye kazi ngumu ya kulinda uslaama wa nchi mali zake na maisha ya watu wake. Lazima ajue nchi inataka nini ili kuondokana na hali duni, lazima ajue kuwa wahalifu wanatakiwa kuadhibiwa na sio kuchekewa, lazima ajue kuwa anatakiwa kuongoza sio kuzuga tu siku ziende.

Am sure kuna watanzania wengi tu ambao wanaweza kufanya kazi hii. May be hakuna kati ya tunaowatajataja au tunaowafahamu, lakini kwenye population yetu ya karibu watu milioni 40, yupo.

Tusijudanganye na kusema kuwa wasomi wanafaa. Angalia uchwara waliotufanyia watu walikuwa madarakani hivi karibuni waliosoma huko US kwenye vyuo vikubwa tu, na tusijesema eti wasio na elimu ndio wanafaa zaidi. Tunatakiwa combination ya elimu, uadilifu, uchapakazi, honesty and alike. Tukiwa na kiongozi serious Tanzania inaweza sana kupiga hatua in a very short period.

FMES kwanini usijitupe ulingoni? at any capacity sio lazima kuwa Rais.
 
FMES,

..kuna mtu aliuliza Salim Salim atashughulikia vipi ufisadi?

..binafsi nadhani jibu lipo ktk jinsi alivyokutana na ufisadi face to face wakati wa kampeni za uchaguzi.

..yale aliyofanyiwa na wanamtandao wakati wa kampeni ilikuwa ni ufisadi wa waziwazi. pale kwa kweli mafisadi walimgongea hodi nyumbani kwake. sasa mimi nilitegemea Salim Salim a draw a line on the sand; aseme no way, na apambane na ushenzi ule aliofanyiwa.

..Salim Salim alipaswa kuwalipua wale waliomchafua. huyu tunayemwita mrithi wa Nyerere kwa kweli ali-act kinyume kabisa na Baba Taifa.
 
- Mkuu Yebo yebo heshima mbele, kwanza wape wananchi matrekta halafu ya mafundi yatajiweka saawa yenyewe kutokana na mavuno ya kazi ya hayo hayo matrekta, sometimes tuwe positive jamani!

Respect.

FMEs!

Haya mambo ndiyo yamepelekea JKNIA iwe kama ilivyo.

Tangu Wafaransa wajenge na wakaondoka na dada yetu (Bint Kawawa) na kutuachia Mzinga wa Airport, hatuwezi hata kutengeneza vyoo. Ngazi za umeme ndiyo kabisaaa. AC za ndani zimekaa hadi zinafurahisha.

Mie nilifikiri wataambiwa walau watoe kitu kidogo na hizo pesa zitumie kwenye matengenezo. Haya mambo ya kupewa 100% bure yanamatatizo yake. Sawa na mie leo unipe ndege ya bure, tena mpya na nzuri tu, hata ikiharibika kitu cha dola laki moja itakuwa kasheshe. Labda niiuze tu na ninunue Kibajaji kwa huku Sikonge maana hata Airport ni kwa ajili ya kanisa la Moravian Church Sikonge.
 
Wakuu, Rais anatakiwa kuwa mtu kama Mkapa (except for Kiwira like scam na kudanganya watu kuwa unapinga ufisadi huku ukiu-supervise). Awe inteligent, anajua anachofanya, anaweza kuprioritize na kusimamia utekelezaji wa policies anazoleta, asiwe mswahili na kuendesha nchi kiushkaji, na lazima ajue kuwa kupewa nafasi ya kuongoza nchi sio kupewa ufalme, ila ni kupewa nguvu za dola ili ufanye kazi ngumu ya kulinda uslaama wa nchi mali zake na maisha ya watu wake. Lazima ajue nchi inataka nini ili kuondokana na hali duni, lazima ajue kuwa wahalifu wanatakiwa kuadhibiwa na sio kuchekewa, lazima ajue kuwa anatakiwa kuongoza sio kuzuga tu siku ziende.

Am sure kuna watanzania wengi tu ambao wanaweza kufanya kazi hii. May be hakuna kati ya tunaowatajataja au tunaowafahamu, lakini kwenye population yetu ya karibu watu milioni 40, yupo.

Tusijudanganye na kusema kuwa wasomi wanafaa. Angalia uchwara waliotufanyia watu walikuwa madarakani hivi karibuni waliosoma huko US kwenye vyuo vikubwa tu, na tusijesema eti wasio na elimu ndio wanafaa zaidi. Tunatakiwa combination ya elimu, uadilifu, uchapakazi, honesty and alike. Tukiwa na kiongozi serious Tanzania inaweza sana kupiga hatua in a very short period.

FMES kwanini usijitupe ulingoni? at any capacity sio lazima kuwa Rais.

- Mkuu wangu sio vyema kumwaga mtama kwenye kuku wengi, lakini heshima mbele kwa ushauri tupo pamoja sana!

Salute. Mkuu kuna watu wengi sana wanatakiwa kuanza kupanda ngazi taratibu. Nadhani tunahitaji new school kwenye uongozi wa taifa.

Inawezekana wazee wetu wengi wamechoka, na wanaendelea kuendesha nchi kwa style ya huyu ni mwenzetu, huyu ni rafiki yetu. Akiiba huku anahamishiwa kule, bado watu wana ile mentality ya kupigania uhuru wa bendera na kupata utukufu wa kutembelea mabenzi na kuitwa viongozi, lakini hawawezi kuperform.

Tunahitaji 2010 itakayokuwa mwanzo wa kuleta viongozi wenye kuweza kuperfom, sio wezi ma mafisadi, au suppoerts wa mafisadi.
 
Haya mambo ndiyo yamepelekea JKNIA iwe kama ilivyo.

Tangu Wafaransa wajenge na wakaondoka na dada yetu (Bint Kawawa) na kutuachia Mzinga wa Airport, hatuwezi hata kutengeneza vyoo. Ngazi za umeme ndiyo kabisaaa. AC za ndani zimekaa hadi zinafurahisha.

Mie nilifikiri wataambiwa walau watoe kitu kidogo na hizo pesa zitumie kwenye matengenezo. Haya mambo ya kupewa 100% bure yanamatatizo yake. Sawa na mie leo unipe ndege ya bure, tena mpya na nzuri tu, hata ikiharibika kitu cha dola laki moja itakuwa kasheshe. Labda niiuze tu na ninunue Kibajaji kwa huku Sikonge maana hata Airport ni kwa ajili ya kanisa la Moravian Church Sikonge.

- Lakini hili mkuu haliwezi kuwa kosa la kiongozi aliyeshughulikia mpaka uwanja au matrekta yakapatikana, hili ni tatizo la uongozi kutokuwa na vision ndio maana hapa tunajaribu kuwafahamisha wananchi nani ni viongozi wenye vision katika taifa hili maana wapo, nimeshawataja Dr. Slaa, Magufuli na Sitta, na bado tutaendelea kuwataja, wananchi wataamua wenyewe kati ya kusuka na kunyoa na tutawataja wote bila kukwepa.

Respect.

FMEs!
 
FMES,

..kuna mtu aliuliza Salim Salim atashughulikia vipi ufisadi?

..binafsi nadhani jibu lipo ktk jinsi alivyokutana na ufisadi face to face wakati wa kampeni za uchaguzi.

..yale aliyofanyiwa na wanamtandao wakati wa kampeni ilikuwa ni ufisadi wa waziwazi. pale kwa kweli mafisadi walimgongea hodi nyumbani kwake. sasa mimi nilitegemea Salim Salim a draw a line on the sand; aseme no way, na apambane na ushenzi ule aliofanyiwa.

..Salim Salim alipaswa kuwalipua wale waliomchafua. huyu tunayemwita mrithi wa Nyerere kwa kweli ali-act kinyume kabisa na Baba Taifa.

- Mkuu hapa tupo wote, ninaamini kama Salim ange-draw the line basi huenda angebadili matokeo na kuwa 55%, badala ya 80%. Unajua mimi nina tatizo sana na viongozi wetu wa taifa ambao hawajitokezi hata siku moja kwenye ishu muhimu za taifa tukajua msimamo wao!

Respect.

FMEs!
 
Kwa wasiomfahamu vizuri huyu ndiye Dr. Slaa, tunawakumbusha wananchi kumpigia kura wakati utakapofika, kusiwe na kufikiria mara mbili huyu tunamuhitaji sana kwa ajili ya masilahi ya taifa letu!

460%3E_718618.jpg
 
Kwa wasiomfahamu vizuri, huyu hapa chini Mzee aliyeko kushoto ndiye Spika wa bunge na mbunge wa Urambo, huyu naye apewe kura unapokuja wakati wa uchaguzi, maana ni mwenzetu huyu katika vita dhidi ya mafisadi na anatufaa sana katika masilahi ya taifa, mpatie kura yako!

Kwa wasiomfahamu vizuri huyu ndiye Dr. Slaa, tunawakumbusha wananchi kumpigia kura wakati utakapofika, kusiwe na kufikiria mara mbili huyu tunamuhitaji sana kwa ajili ya masilahi ya taifa letu!

460%3E_718618.jpg
Utamchagua wewe na wajinga wengine lol..Lipumba is the best.
 
Sahihi yangu ina miezi sasa.

ISOMENI NA IKUMBUKENI.
 
Utamchagua wewe na wajinga wengine lol..Lipumba is the best.

Unaweza ukachagua topic yoyote na nitakuonyesha wewe ndiyo hamnazo. Utanishinda kwenye dini tu.

Sasa hapo tutaona kama kweli wanaomchagua Slaa, ni WAJINGA na waliomchagua Homeboy wa Lolangulu aliyesomea Sikonge Mbirani ni WEREVU.
 
Utamchagua wewe na wajinga wengine lol..Lipumba is the best.

- Mkuu vipi tena si tunashindana kwa hoja mbona sasa viroja? Dr. Slaa ni mbunge tayari wa kuchaguliwa na wananchi, lakini Lipumba sio mbunge hata nafasi yake amechaguliwa na wanachama wa CUF tu sio wananchi kama Dr. Slaa,

- Sasa labda elaborate hii hoja yako kwamba wanaomchagua Dr. slaa ni wajinga, kuliko wanachama wachache wa CUF wanaomchagua Lipumba ambao kwa mawazo yako ni wajanja, tufafanulie hapo mkuu!

es!
 
Mkuu Fmes
Kwanza, nakupongeza kwa kuanzisha thread nzuri na kuisimamia vema bila kubabaishwa na wavurugaji. Natamani ungeendesha town hall meeting kwenye televisheni ili kujenga utamaduni wa kusimamia hoja bila kutukana.

Pili, yaelekea ni vigumu kupata serikali nzuri yaani Rais, WM na mawaziri wa wizara nyeti kutoka chama kimoja tu. Wazuri wametawanyika katika vyama mbalimbali na wengine hawana hata vyama, kama wewe mwenyewe, maana umependekezwa.

Tatu, nashawishika kukubaliana na pendekezo la Dr. Slaa kuwa Rais, na Magufuli kuwa Waziri Mkuu, Lipumba Waziri wa Fedha na Uchumi.

Nne, Elimu ya juu sana, au kutokuwa na elimu lakini ukawa na kipaji cha kuongoza, vi vigezo vya hatari katika kuamua nani awe Rais. Kinachotakiwa ni uwezo wa maono, uadilifu, uzalendo usiotiliwa shaka, na msimamo unaovuka itikadi katika kuongoza taifa. Ndani ya Dr. Slaa nayaona haya.

Heshima mbele
 
FMES,

..Raisi hashughulikii ufisadi kwa namna ulivyoelekeza kwasababu amekosa pressure ya kutosha toka kwetu WANANCHI, na WABUNGE.

[/COLOR][/U]

Ni Rais mjinga tu ndiye anayewashughulikia mafisadi na maharamia baada ya PRESSURE toka kwa wananchi. Rais mzalendo, hasubiri hayo.
 
Ni mawazo mazuri nayenye busara kuwaza na kuplan kuhusu masilahi ya taifa letu. Tunapaswa kuchangua mtu aliye capable kuongoza taifa. jamani hacheni ku ponda vyama vingine kwani tuna yataka mabadiliko ya kweli na huru wa kweli Tanzania.
 
FMES,

..kuna mtu aliuliza Salim Salim atashughulikia vipi ufisadi?

..binafsi nadhani jibu lipo ktk jinsi alivyokutana na ufisadi face to face wakati wa kampeni za uchaguzi.

..yale aliyofanyiwa na wanamtandao wakati wa kampeni ilikuwa ni ufisadi wa waziwazi. pale kwa kweli mafisadi walimgongea hodi nyumbani kwake. sasa mimi nilitegemea Salim Salim a draw a line on the sand; aseme no way, na apambane na ushenzi ule aliofanyiwa.

..Salim Salim alipaswa kuwalipua wale waliomchafua. huyu tunayemwita mrithi wa Nyerere kwa kweli ali-act kinyume kabisa na Baba Taifa.

JokaKuu, heshima zote nakupa.

Waliofanya vitendo vya kumdhalilisha Salim walikuwa wajinga na wapumbavu. Salim ni mwanadiplomasia, bila shaka kama ulikuwa ukifuatilia sakata lile utakumbuka kwamba Salim ali-act alijibu kwa kutoa statement kali kuhusu yaliyosemwa juu yake. Nadhani watu wakati huo walikuwa wanashabikia 'ari na kasi mpya hewa' hawakutilia maanani kilichokuwa kiendelea nje ya slogan hiyo.

Hata kama viatu vya Mwalimu havimtoshi sawia kabisa lakini he is the best among them all.
 
Mkuu Fmes
Kwanza, nakupongeza kwa kuanzisha thread nzuri na kuisimamia vema bila kubabaishwa na wavurugaji. Natamani ungeendesha town hall meeting kwenye televisheni ili kujenga utamaduni wa kusimamia hoja bila kutukana.

Pili, yaelekea ni vigumu kupata serikali nzuri yaani Rais, WM na mawaziri wa wizara nyeti kutoka chama kimoja tu. Wazuri wametawanyika katika vyama mbalimbali na wengine hawana hata vyama, kama wewe mwenyewe, maana umependekezwa.

Tatu, nashawishika kukubaliana na pendekezo la Dr. Slaa kuwa Rais, na Magufuli kuwa Waziri Mkuu, Lipumba Waziri wa Fedha na Uchumi.

Nne, Elimu ya juu sana, au kutokuwa na elimu lakini ukawa na kipaji cha kuongoza, vi vigezo vya hatari katika kuamua nani awe Rais. Kinachotakiwa ni uwezo wa maono, uadilifu, uzalendo usiotiliwa shaka, na msimamo unaovuka itikadi katika kuongoza taifa. Ndani ya Dr. Slaa nayaona haya.

Heshima mbele

- Sawa sawa, tupo pamoja sana hapa!

es!
 
Back
Top Bottom