Uchaguzi 2010: Masilahi Ya Taifa Kwanza!

..uzoefu wa Salim Salim ni ktk masuala ya diplomasia tu. katika nafasi zake zote za uongozi alizopata kushika hakuna hata moja inayohusiana/inayogusa moja kwa moja maisha ya mwananchi wa kawaida.

..uzoefu wake kama waziri mkuu na baadaye waziri wa ulinzi ni wa muda mfupi sana, na alitumikia hapo muda mrefu uliopita, kuweza kunishawishi kwamba anayafahamu na anaweza kuyakabili matatizo yanayoisibu nchi yetu leo hii.

..tunahitaji Raisi atakayesimamia mapinduzi ya KILIMO, VIWANDA,MIUNDO MBINU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA. tunahitaji Raisi ambaye yuko capable and comfortable dealing with the details and nuances za masuala niliyoyataja hapo juu.

..pia tunahitaji Raisi Mzalendo mwenye imani ktk uwezo na vipaji vya Watanzania. Raisi ambaye atahamasisha na kuimarisha wawekezaji wazalendo wa ndani.

JokaKuu,

Salim anaijua nchi hii vizuri kuweza kuitawala/kuiongoza kwa mafanikio. Shida za wananchi Salim anazijua na amewahi kuzishughulikia akiwa Waziri Mkuu. Kwa mfano aliwahi kwenda mikoa ya kusini akakuta wananchi wanavaa nguo za vi-sulphate ile mifuko ya mbolea ya chumvi-chumvi. Salim akaagiza nguo zinazotengenezwa viwandani Urafiki n.k. - kaniki, kanga, vitenge etc zipelekwe mikoa hiyo. Salim ni chimbuko la ruksa ya kuingizwa mitumba kutoka nje inayosaidia walalahoi hadi leo.

Kama uliweza kufuatilia harakati za mchakato wa kumpata mgombea urais kwa tiketi ya CCM mwaka 2005 Salim alikuwa wa pili. Kwa nini aliweza kupata nafasi hiyo kama maisha yake hayakuhusiana moja kwa moja na wananchi? Aliwezaje kukubalika mikoani na akapata watu wengi waliomuunga mkono kwenye mikoa ya mbali kama Songea? Jeshini pia anakubalika vyema kwa sababu kwa kipindi kifupi unachozungumzia aliweza kuleta mabadiliko na kushughulikia maslahi ya wanajeshi. Wale waliokuwepo wakati huo wanamkumbuka mpaka leo.

Matatizo ya leo ambayo yamechanganyika na effects za Utandawazi mtu kama Salim ndiye haswa mahali pake kwa sababu kutokana na kufanya kazi ya ubalozi nje hususan Marekani hadi jina lake kupendekezwa kwa nafasi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, anaijua dunia anajua intrigues za nchi tajiri na anaweza kujua namna ya kushughulika nao kuliko akina Dr. Slaa ama Magufuli.

Salim ni mzalendo, anayo imani kwa Watanzania wenziwe wenye vipaji. Wakati akiwa Waziri Mkuu hakuwahi kulete 'mitumba' ya wataalamu kutoka nje kuchukua nafasi za Watanzania! Salim anajua fika Tanzania inahitaji nini ili iweze kujikwamua kutoka hapa tulipo. Kutokana na uelewa wake na usomi wake Salim anaweza sana kusimamia mapinduzi hayo uliyoyataja ya KILIMO, VIWANDA, MIUNDOMBINU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA. Kama alipokuwa nje aliwanyima Watanzania nafasi kwenye sehemu alizokuwa akiziongoza k.m. OAU ni kwa sababu hana hulka ya upendeleo na ubinafsi.

Ninavyoelewa mimi mtu anapoomba kazi CV yake ndiyo kigezo cha kwanza kinachoangaliwa ili kuweza kupata mtu anayefaa kwa kazi hiyo. CV ya Salim imesheheni vigezo vya kumfanya afae kuwa rais wa Tanzania.

FMEs anatuambia Dr. Slaa anafaa kwa sababu anaweka 'Maslahi ya Taifa Kwanza'. Je tuna sababu gani za msingi za kudhani kwamba Salim ambaye amewahi kushika nyadhifa za juu - ubalozi, uwaziri na kuwa Waziri Mkuu wa nchi yetu na hana dhambi yoyote ya ufisadi hawezi kuwa Rais anayetufaa? Katika kinyang'anyiro cha kutafuta mgombea wa CCM jina la Salim lilipitishwa na Kamati Kuu, Halmashauri Kuu na Mkutano Mkuu na aliweza kushika nafasi ya pili, tunasema hafai? Kwa maana nyingine waliompa kura zao hawana akili timamu?!

Mtu kudhihirisha kwamba anaweka maslahi ya taifa kwanza si lazima awe dramatic asimame Mwembe Yanga kutangaza majina ya mafisadi ama kuongea Bungeni kwa sauti ya juu kuhusu ufisadi na kuwa na mbinu za kuiba nyaraka nyeti etc! Kwa kuwa Salim hana wadhifa wowote wa ngazi ya juu kichama ama serkalini amekuwa mara kwa mara akitoa mawazo yake na msimamo wake kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu mustakabali wa nchi yetu kupitia vyombo vya habari. Kosa lake kubwa ni kwamba hataji, hatukani na hadhalilishi watu hadharani na kwa sababu hiyo anaonekana si mzalendo, hafai!
 
J
FMEs anatuambia Dr. Slaa anafaa kwa sababu anaweka 'Maslahi ya Taifa Kwanza'.Je tuna sababu gani za msingi za kudhani kwamba Salim ambaye amewahi kushika nyadhifa za juu - ubalozi, uwaziri na kuwa Waziri Mkuu wa nchi yetu na hana dhambi yoyote ya ufisadi hawezi kuwa Rais anayetufaa? Katika kinyang'anyiro cha kutafuta mgombea wa CCM jina la Salim lilipitishwa na Kamati Kuu, Halmashauri Kuu na Mkutano Mkuu na aliweza kushika nafasi ya pili, tunasema hafai? Kwa maana nyingine waliompa kura zao hawana akili timamu?!

- Mkuu kweli unaamini kwamba kupitishwa na kamati kuu ya CCM ndio sababu ya kufaa u-rais? Then kwa nini tupo hapa tulipo na hawa Mtandao kwani wao hawakupitishwa na hizo kamati zako za CCM?

- Eti ni lini na wapi? Salim aliwahi kugombea nafasi inayowagusa wananchi wa kawaida moja kwa moja kama Dr. Slaa?

Mtu kudhihirisha kwamba anaweka maslahi ya taifa kwanza si lazima awe dramatic asimame Mwembe Yanga kutangaza majina ya mafisadi ama kuongea Bungeni kwa sauti ya juu kuhusu ufisadi na kuwa na mbinu za kuiba nyaraka nyeti etc! Kwa kuwa Salim hana wadhifa wowote wa ngazi ya juu kichama ama serkalini amekuwa mara kwa mara akitoa mawazo yake na msimamo wake kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu mustakabali wa nchi yetu kupitia vyombo vya habari. Kosa lake kubwa ni kwamba hataji, hatukani na hadhalilishi watu hadharani na kwa sababu hiyo anaonekana si mzalendo, hafai!

- Mkuu saafi sana maana umenisaidia majibu kwamba kwa nini tunasema Salim hawezi vita vya mafisadi, lini umewahi kusikia mafisadi wakiweka vinasa sauti katika chumba cha Salim? Unafikiri kwa nini waliweka kwenye chumba cha Dr. Slaa?

- Sasa eti unasema hizo ulizoweka hapo juu ndio uwezo wa Salim kuwa Rais, au kuna ulizoziacha? Eti with your right mind unaweza kumlinganisha Salim na DR. Slaa?

es!
 
JokaKuu,

Salim anaijua nchi hii vizuri kuweza kuitawala/kuiongoza kwa mafanikio. Shida za wananchi Salim anazijua na amewahi kuzishughulikia akiwa Waziri Mkuu. Kwa mfano aliwahi kwenda mikoa ya kusini akakuta wananchi wanavaa nguo za vi-sulphate ile mifuko ya mbolea ya chumvi-chumvi. Salim akaagiza nguo zinazotengenezwa viwandani Urafiki n.k. - kaniki, kanga, vitenge etc zipelekwe mikoa hiyo. Salim ni chimbuko la ruksa ya kuingizwa mitumba kutoka nje inayosaidia walalahoi hadi leo.

Kama uliweza kufuatilia harakati za mchakato wa kumpata mgombea urais kwa tiketi ya CCM mwaka 2005 Salim alikuwa wa pili. Kwa nini aliweza kupata nafasi hiyo kama maisha yake hayakuhusiana moja kwa moja na wananchi? Aliwezaje kukubalika mikoani na akapata watu wengi waliomuunga mkono kwenye mikoa ya mbali kama Songea? Jeshini pia anakubalika vyema kwa sababu kwa kipindi kifupi unachozungumzia aliweza kuleta mabadiliko na kushughulikia maslahi ya wanajeshi. Wale waliokuwepo wakati huo wanamkumbuka mpaka leo.

Matatizo ya leo ambayo yamechanganyika na effects za Utandawazi mtu kama Salim ndiye haswa mahali pake kwa sababu kutokana na kufanya kazi ya ubalozi nje hususan Marekani hadi jina lake kupendekezwa kwa nafasi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, anaijua dunia anajua intrigues za nchi tajiri na anaweza kujua namna ya kushughulika nao kuliko akina Dr. Slaa ama Magufuli.

Salim ni mzalendo, anayo imani kwa Watanzania wenziwe wenye vipaji. Wakati akiwa Waziri Mkuu hakuwahi kulete 'mitumba' ya wataalamu kutoka nje kuchukua nafasi za Watanzania! Salim anajua fika Tanzania inahitaji nini ili iweze kujikwamua kutoka hapa tulipo. Kutokana na uelewa wake na usomi wake Salim anaweza sana kusimamia mapinduzi hayo uliyoyataja ya KILIMO, VIWANDA, MIUNDOMBINU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA. Kama alipokuwa nje aliwanyima Watanzania nafasi kwenye sehemu alizokuwa akiziongoza k.m. OAU ni kwa sababu hana hulka ya upendeleo na ubinafsi.

Ninavyoelewa mimi mtu anapoomba kazi CV yake ndiyo kigezo cha kwanza kinachoangaliwa ili kuweza kupata mtu anayefaa kwa kazi hiyo. CV ya Salim imesheheni vigezo vya kumfanya afae kuwa rais wa Tanzania.

FMEs anatuambia Dr. Slaa anafaa kwa sababu anaweka 'Maslahi ya Taifa Kwanza'. Je tuna sababu gani za msingi za kudhani kwamba Salim ambaye amewahi kushika nyadhifa za juu - ubalozi, uwaziri na kuwa Waziri Mkuu wa nchi yetu na hana dhambi yoyote ya ufisadi hawezi kuwa Rais anayetufaa? Katika kinyang'anyiro cha kutafuta mgombea wa CCM jina la Salim lilipitishwa na Kamati Kuu, Halmashauri Kuu na Mkutano Mkuu na aliweza kushika nafasi ya pili, tunasema hafai? Kwa maana nyingine waliompa kura zao hawana akili timamu?!

Mtu kudhihirisha kwamba anaweka maslahi ya taifa kwanza si lazima awe dramatic asimame Mwembe Yanga kutangaza majina ya mafisadi ama kuongea Bungeni kwa sauti ya juu kuhusu ufisadi na kuwa na mbinu za kuiba nyaraka nyeti etc! Kwa kuwa Salim hana wadhifa wowote wa ngazi ya juu kichama ama serkalini amekuwa mara kwa mara akitoa mawazo yake na msimamo wake kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu mustakabali wa nchi yetu kupitia vyombo vya habari. Kosa lake kubwa ni kwamba hataji, hatukani na hadhalilishi watu hadharani na kwa sababu hiyo anaonekana si mzalendo, hafai!
Boramaisha,
That's a pretty good sales pitch. Salim would be proud.
 
Boramaisha,

..thanks a lot kwa majibu yako.

..nadhani umetoa maelezo marefu yenye maneno matamu-tamu lakini hakuna facts za kuyetetea.

..ukiniletea maelezo ya kina kuhusu rekodi ya utumishi wa Salim Salim akiwa waziri mkuu na waziri wa ulinzi naweza kukuunga mkono.

..suala la kumsifia kwa kuwapatia mitumba wananchi wa kusini sidhani kama ni kigezo kizuri cha kumpatia nafasi ya juu zaidi. labda nikuulize: Salim Salim alikuwa wapi mpaka wananchi wakaishia kuvaa mifuko ya mbolea?

..hii habari ya Salim Salim kupeleka mitumba mikoa ya Kusini has been recycled over and over. naomba mtuletee habari mpya kuhusu rekodi ya Salim Salim.

NB:

..unamkandia Pombe Magufuli lakini huyo ndiyo amesimamia ile barabara ya kwenda kusini mpaka ikakamilika. sasa unataka kuniambia mitumba ya Salim Salim ni bora kuliko barabara iliyosimamiwa na Pombe Magufuli?

..pia Pombe Magufuli ana rekodi ya kuwa Mwalimu wa Sekondari, Naibu Waziri na Waziri wa Ujenzi, pia amekuwa wizara ya ardhi, na sasa yuko wizara ya maendeleo ya mifugo na uvuvi. sasa hivi Pombe Magufuli anamalizia PhD ya Chemistry UDSM.

..kwa maoni yangu Pombe Magufuli ana CV nzuri inayoendana-endana na challenges za uongozi wa ndani wa Tanzania kuliko ile ya Salim Salim.
 
- Mkuu vipi tena si tunashindana kwa hoja mbona sasa viroja? Dr. Slaa ni mbunge tayari wa kuchaguliwa na wananchi, lakini Lipumba sio mbunge hata nafasi yake amechaguliwa na wanachama wa CUF tu sio wananchi kama Dr. Slaa,

- Sasa labda elaborate hii hoja yako kwamba wanaomchagua Dr. slaa ni wajinga, kuliko wanachama wachache wa CUF wanaomchagua Lipumba ambao kwa mawazo yako ni wajanja, tufafanulie hapo mkuu!

es!
1. Anafaa aishiye huko huko kwenye ubunge wa karatu (wapiga kura wasiozidi 200,000) akimaliza arudi kwenye kazi yake ya zamani (kanisani akastaafie huko finito!) lakini U-rais wa JMT mhhh! kiwango chake cha kufahamu jamii pana ya Tanzania ni ndogo sana!
2. Aandalee kupiga kelele (upinzani) hata akitaka daima dumu...maana zaidi ya kuropoka na kupayuka hana ujuzi zaidi ya huo..jumlisha na ubabe oo gosh! aendelee kujifunza kwamba kuna jamii pana zaidi siyo karatu..afike mpaka zenj..
3. Hebu niambieni ana degree ya nini vile? is it ya kuandaa sala jumapili or what is it?...tunataka mchumi kuendesha nchi siyo ...mtaalamu wa kwaya na mjuzi wa kuaandaa hotuba kwenye altare..lol
 
Tumain,
Mchumi tayari mnaye lakini nchi inaendelea kuborongika.
 
Alhaji Ali Hassan Mwinyi hajasoma juzuu 30?Na pia alipewa nchi kwasababu tu alikwenda hija huko mecca?
Shirikisha ubongo mkuu,udini hauna dili,ukianza kuangalia nani msilam sana ama nani mkristo sana utapotea,wengine wakipendelea mkristo na wengine musilam na kuwa hicho ndo kigezo cha ufanisi hatwendi mahali.Lipumba ana sigda?and if so asipewe nchi?
 
Shule ya Dr. Slaa.

EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
International Eye H. Centre Certificate in Eye Health 1993 1993 CERTIFICATE
TransWorld Tutorial College, London Certificate in Management 1985 1985 CERTIFICATE
St. Thomas Aquinas University Advanced Diploma in Rural Development 1980 1981 ADV DIPLOMA
St. Urban University, Rome PhD (JCD) Law 1977 1981 PHD
Kipalapala Seminary Certificate in Theology 1974 1977 CERTIFICATE

Kama una WIVU mwenzio kuwa na PhD ya sheria, nenda kajinyonge. Ila Uvae kabisa NEPI ili ukifa usiachie usituchafulie hali ya hewa na mazingira.

Hivi wewe una elimu gani vile? Upo hapa siku nzima ukitumia mashine na elimu za Wazungu/Wakristo/mashoga. Si ajabu hata una ka NGO kanakopewa vipesa na akina ELton John/George Michael. Leo unajifanya kutukana watu hapa.

Ningelibahatika kuwa RAIS, ningelifanya Tanzania kama China ili wadini wote waende kufanya kazi. Ukishika ki-biblia au shangazi zake, JELA na kupewa shule ya kukubadili akili na ukitoka huko, unakuwa kama wa-Czeck.
 
Huo ugonjwa wako wewe, mimi sipo huko usifikiri kwakuwa wewe ni mgonjwa wa udini na mimi ni hivyo? naomba na wewe utumie akili?

Unawezaje kumpa nchi mtu ambaye hana backround zaidi ya kufanya kazi kanisani? kwenye nchi yenye multi-faith?

Ally Hhasan Mwinyi hakuwa sheikh alikuwa mwanasiasa (waziri wa mambo ya ndani na raisi wa zenj get your record right usilete upofu wako hapa ala) kumlinganisha na Slaa ndio udini huo kuwa na akili?

Slaa ni sawa na Mussa Kundecha katibu wangu wa jumuiya ya waislamu Tanzania je utafurahi akigombea urais? je una akili kweli wewe? je unafikiri ataleta umoja wa kitaifa NO the same applies to this folk slaa!

Zaidi ya hayo angeweza kuonyesha kuwa yuko kitaifa zaidi kama Chadema under his leadership ingekuwa na hata mwenyekiti wa kijiji zenj lakini all those years hakuna kitu amefanya ..yuko so selfish na below standard kuwakilisha nchi yenye hadhi kama nchi yangu Tanzania..

Slaa usihangaike utaaibika vibaya ndugu..lol baki na ndugu zako huko karatu kitaifa wewe ni sawa na sisimizi lol.
 
POLITICAL EXPERIENCE.
Ministry/Political Party/Location Position From To
CHADEMA Principal Secretary 2002
CHADEMA Vice Chairman 1998 2002
CHADEMA Member of Parliament (Karatu Constituency) 1995 Todate
CHADEMA Member of National Executive Committee 1995 -
Chama Cha Mapinduzi - CCM Secretary Foreign Branch(Rome) 1980 1982
Youth Union -TANU Secretary 1974 1977
TANU Chairman (Kipalapala Branch) 1974 1977

Leo ni sisi na wewe. Sasa weka hapa record ya huyo MADEVU wako. Eti CCM iliuwa watu wa CUF na leo Madevu anakuja kusimama meza moja na CCM. Kama ni mimi basi ninakuwa kama MUSA yaani nitaishia milimani na kugoma kuingia nchi ya ahadi. Kama mwafaka ni bora basi angelisema CUF tafuteni mtu mpya na mie najiuzulu. Kukaa analilia cheo na huku anakula MATAPISHI YAKE, ni mzinga wa soo. Kwako wewe huyu ndiyo bora saana kisa ........
 
Jibu hoja acha kulalamika ala?
 
Shule ya Dr. Slaa.

EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
International Eye H. Centre Certificate in Eye Health 1993 1993 CERTIFICATE
TransWorld Tutorial College, London Certificate in Management 1985 1985 CERTIFICATE
St. Thomas Aquinas University Advanced Diploma in Rural Development 1980 1981 ADV DIPLOMA
St. Urban University, Rome PhD (JCD) Law 1977 1981 PHD
Kipalapala Seminary Certificate in Theology 1974 1977 CERTIFICATE

Kama una WIVU mwenzio kuwa na PhD ya sheria, nenda kajinyonge. Ila Uvae kabisa NEPI ili ukifa usiachie usituchafulie hali ya hewa na mazingira.

Hivi wewe una elimu gani vile? Upo hapa siku nzima ukitumia mashine na elimu za Wazungu/Wakristo/mashoga. Si ajabu hata una ka NGO kanakopewa vipesa na akina ELton John/George Michael. Leo unajifanya kutukana watu hapa.

Ningelibahatika kuwa RAIS, ningelifanya Tanzania kama China ili wadini wote waende kufanya kazi. Ukishika ki-biblia au shangazi zake, JELA na kupewa shule ya kukubadili akili na ukitoka huko, unakuwa kama wa-Czeck.
Kukaa siku nzima haikuhusu wewe? nimekuomba chochote udini unakusumbua wewe mimi simo huko..lol
 
1. Anafaa aishiye huko huko kwenye ubunge wa karatu (wapiga kura wasiozidi 200,000) akimaliza arudi kwenye kazi yake ya zamani (kanisani akastaafie huko finito!) lakini U-rais wa JMT mhhh! kiwango chake cha kufahamu jamii pana ya Tanzania ni ndogo sana!
2. Aandalee kupiga kelele (upinzani) hata akitaka daima dumu...maana zaidi ya kuropoka na kupayuka hana ujuzi zaidi ya huo..jumlisha na ubabe oo gosh! aendelee kujifunza kwamba kuna jamii pana zaidi siyo karatu..afike mpaka zenj..
3. Hebu niambieni ana degree ya nini vile? is it ya kuandaa sala jumapili or what is it?...tunataka mchumi kuendesha nchi siyo ...mtaalamu wa kwaya na mjuzi wa kuaandaa hotuba kwenye altare..lol

Raisi Jakaya Mrisho Kikwete ana degree ya nini vile.....?
 
PhD za Sheria za kanisa? zitamuongoza nani?ndugu
Mimi sina haja ya kujinyonga...ila Slaa ni failure from very begginning...aendelee kuropoka huko bungeni na karatu siyo Urais
Naona unataka kuhamisha topic kwenda CUF unapotea njia..tuendelea na wasifu wa paroko mtarajiwa..lol
 
Kukaa siku nzima haikuhusu wewe? nimekuomba chochote udini unakusumbua wewe mimi simo huko..lol

Si uliandika PM kuniomba eti nikusaidie kuwapigia debe viongozi wako unaowataka.
Viongozi wenyewe ndiyo hawa???

04_09_4heph61.jpg
 
SI uliandika PM kuniomba eti nikutafutie mke?

Huyu hapa je?

fat-lady-flatten.gif
Umekosa hoja ni kawaida yenu, mkikosa hoja unakuja na mambo ya kijinga haya mpeleke kwako mimi sina haja naye..slaa wako akagombee ubunge akishindwa atafute kazi kanisani..finito...hakuna analoweza kulifnya vizuri kama hilo..labda itamsaidie kwakuwa aliasi.
 
Dr Slaa is a good presidential material.

Huyu atatufaa. Ataleta nidhamu katika utendaji. Sio ubabaishaji wa mabosi wetu wa sasa chini ya Kikwete.

I am with you Sikonge on this: Dr Slaa for Presidency
 
Back
Top Bottom