Uchaguzi 2010: Masilahi Ya Taifa Kwanza!

Uchaguzi 2010: Masilahi Ya Taifa Kwanza!

Dr Slaa is a good presidential material.

Huyu atatufaa. Ataleta nidhamu katika utendaji. Sio ubabaishaji wa mabosi wetu wa sasa chini ya Kikwete.

I am with you Sikonge on this: Dr Slaa for Presidency
I beg to differ, Slaa anafaa zaidi hapo alipo..akazidisha tu hatua moja anaanguka kwa pua...points mentioned above.
 
Umekosa hoja ni kawaida yenu, mkikosa hoja unakuja na mambo ya kijinga haya mpeleke kwako mimi sina haja naye..slaa wako akagombee ubunge akishindwa atafute kazi kanisani..finito...hakuna analoweza kulifnya vizuri kama hilo..labda itamsaidie kwakuwa aliasi.

Mbona unabadili picha na kuweka picha za ajabu?

Sasa hapa kuniwekea maelezo ambayo mimi sijasema na unaweka na picha kama vile mwandishi ni mimi, unaona huo ndiyo werevu au UJINGA?

Mkuu, hebu kua na UFUTE huo ujumbe wako wa juu. Nilifikiri tunaongea mambo ya maana kumbe mwenzetu unatembeza editing kwa Slaa na sasa wanigeukia hadi mimi, Mwee!!!!
 
Mbona unabadili picha na kuweka picha za ajabu?

Sasa hapa kuniwekea maelezo ambayo mimi sijasema na unaweka na picha kama vile mwandishi ni mimi, unaona huo ndiyo werevu au UJINGA?

Mkuu, hebu kua na UFUTE huo ujumbe wako wa juu. Nilifikiri tunaongea mambo ya maana kumbe mwenzetu unatembeza editing kwa Slaa na sasa wanigeukia hadi mimi, Mwee!!!!
Unaona aibu kwa ujinga ulioufanya ..mpuuzi endelea na ujinga wako..wala hunitishi mimi nilishazoe watu wajinga kama wewe
 
Si uliandika PM kuniomba eti nikusaidie kuwapigia debe viongozi wako unaowataka.
Viongozi wenyewe ndiyo hawa???

04_09_4heph61.jpg
Lipumba is my choice, wala sina haja ya kuku-PM, wewe ni nani by the way...unapenda kujisifia bure..jenga hoja...ofcourse muondoe seif hapo muweke duni.
 
- Wakuu uchaguzi mkuu wa taifa uko kwenye kona, Mzee Mandela aliwahi kusema kwamba kwenye ishu muhimu za taifa kama hizi kuwa kimyaa au kuwa neutral ni dalili za kuwa coward.

- Kwa wale tulio na influence ya namna moja au nyingine kwa taifa, ni vyema tukaweka wazi msimamo wetu kwa public kuhusu wagombea ambao tunaamini kwamba wanafaa katika kutusaidia taifa, nimekuwepo JF kwa muda mrefu sana sasa nikiwa na lengo moja tu, nalo ni siku moja kuliona taifa langu likiongozwa kwa kuheshimu sheria.

- Kwa hiyo leo nitaanza rasmi kuwataja wagombea ninaona wanafa kwa masilahi ya taifa letu, na sababu.

Respect.


FMEs!

Wakuu tumaini, sikonge na wengine, hebu sasa turudi kwenye mada maana urais pekee haujengi nchi,,,, we need wabunge watakaotetea haki ya raia na maendeleo ya nchi na pia kulinda tanzania kwa moyo wote sio kuuza nchi utafikiri wanauza vishamba vyao vya urithi!!!
 
Huo ugonjwa wako wewe, mimi sipo huko usifikiri kwakuwa wewe ni mgonjwa wa udini na mimi ni hivyo? naomba na wewe utumie akili?

Unawezaje kumpa nchi mtu ambaye hana backround zaidi ya kufanya kazi kanisani? kwenye nchi yenye multi-faith?

Ally Hhasan Mwinyi hakuwa sheikh alikuwa mwanasiasa (waziri wa mambo ya ndani na raisi wa zenj get your record right usilete upofu wako hapa ala) kumlinganisha na Slaa ndio udini huo kuwa na akili?

Slaa ni sawa na Mussa Kundecha katibu wangu wa jumuiya ya waislamu Tanzania je utafurahi akigombea urais? je una akili kweli wewe? je unafikiri ataleta umoja wa kitaifa NO the same applies to this folk slaa!

Zaidi ya hayo angeweza kuonyesha kuwa yuko kitaifa zaidi kama Chadema under his leadership ingekuwa na hata mwenyekiti wa kijiji zenj lakini all those years hakuna kitu amefanya ..yuko so selfish na below standard kuwakilisha nchi yenye hadhi kama nchi yangu Tanzania..

Slaa usihangaike utaaibika vibaya ndugu..lol baki na ndugu zako huko karatu kitaifa wewe ni sawa na sisimizi lol.

Nilijuwa utakurupuka,ndio maana nimention juzuu 30,je sifa za kuwa sheick ni zipi?Sifa ya kwanza ya usheick si kusoma juzuu 30?
Pointi yangu hapa ni kuwa haina maana kubagua kwasababu huyu anasifa hizi ama zile zinazoendena na dini yake.Kwa mfano watu wakisoma seminari haina maana wanasoma biblia peke yake,naona ulishapitwa na mjadala kipindi kile Slaa anajiunga hapa JF,umepitwa mkuu na unaturudisha nyuma,however tuendelee kuelemishana.
 
Nilijuwa utakurupuka,ndio maana nimention juzuu 30,je sifa za kuwa sheick ni zipi?Sifa ya kwanza ya usheick si kusoma juzuu 30?
Pointi yangu hapa ni kuwa haina maana kubagua kwasababu huyu anasifa hizi ama zile zinazoendena na dini yake.Kwa mfano watu wakisoma seminari haina maana wanasoma biblia peke yake,naona ulishapitwa na mjadala kipindi kile Slaa anajiunga hapa JF,umepitwa mkuu na unaturudisha nyuma,however tuendelee kuelemishana.
Vizuri ukaelimisha kwa busara..lakini usilete hoja zako ki-waraka waraka..hakuna mtu atakuacha bila kukuchambua lol.
 
Vizuri ukaelimisha kwa busara..lakini usilete hoja zako ki-waraka waraka..hakuna mtu atakuacha bila kukuchambua lol.

Tumaini
Jamani JF si mahali pa kutafutia mke/mme wa pili na wa tatu. Tupe nafasi tuendelee na mjadala kwa umakini uliokuwapo tangu jana.
 
Vizuri ukaelimisha kwa busara..lakini usilete hoja zako ki-waraka waraka..hakuna mtu atakuacha bila kukuchambua lol.
Tumain,bado hujanijibu kama sifa a kwanza ya kuwa sheick ni kusoma juzuu 30,kwa maana kwamba Alhaji siyo sheick lakini anaqualify kuwa sheick,Slaa anaqualifications za kuwa padri lakini si padri,nina swali jingine lakini naona nikuache ujibu hili kwanza.
 
Tumain,bado hujanijibu kama sifa a kwanza ya kuwa sheick ni kusoma juzuu 30,kwa maana kwamba Alhaji siyo sheick lakini anaqualify kuwa sheick,Slaa anaqualifications za kuwa padri lakini si padri,nina swali jingine lakini naona nikuache ujibu hili kwanza.
Slaa ni padre aliye asi..weka rekodi vizuri, hiyo sifa ya kuwa sheikh nani aliyekwambia ni juzuu 30? which source?
 
Boramaisha,

..thanks a lot kwa majibu yako.

..nadhani umetoa maelezo marefu yenye maneno matamu-tamu lakini hakuna facts za kuyetetea.

..ukiniletea maelezo ya kina kuhusu rekodi ya utumishi wa Salim Salim akiwa waziri mkuu na waziri wa ulinzi naweza kukuunga mkono.


..suala la kumsifia kwa kuwapatia mitumba wananchi wa kusini sidhani kama ni kigezo kizuri cha kumpatia nafasi ya juu zaidi. labda nikuulize: Salim Salim alikuwa wapi mpaka wananchi wakaishia kuvaa mifuko ya mbolea?

..hii habari ya Salim Salim kupeleka mitumba mikoa ya Kusini has been recycled over and over. naomba mtuletee habari mpya kuhusu rekodi ya Salim Salim.

- Mkuu joka hapo tupo ukurasa mmoja, tatizo la watetezi wa Salim huwa hawana facts za kumuweka kwenye u-Rais, inabidi watusaidie na facts ili tulinganishe na wengine, tatizo wakiulizwa wanakuwa wakali sana, WHY? wekeni facts jamani!

NB:

..unamkandia Pombe Magufuli lakini huyo ndiyo amesimamia ile barabara ya kwenda kusini mpaka ikakamilika. sasa unataka kuniambia mitumba ya Salim Salim ni bora kuliko barabara iliyosimamiwa na Pombe Magufuli?

..pia Pombe Magufuli ana rekodi ya kuwa Mwalimu wa Sekondari, Naibu Waziri na Waziri wa Ujenzi, pia amekuwa wizara ya ardhi, na sasa yuko wizara ya maendeleo ya mifugo na uvuvi. sasa hivi Pombe Magufuli anamalizia PhD ya Chemistry UDSM.

..kwa maoni yangu Pombe Magufuli ana CV nzuri inayoendana-endana na challenges za uongozi wa ndani wa Tanzania kuliko ile ya Salim Salim.

- Sasa tena kweli unaweza linganisha Salim na Magufuli, mimi naona Salim ni Balozi wetu UN au Geneva na Magufuli ni Waziri Mkuu, au mnasemaje wakuu?

es
 
Shule ya Dr. Slaa.

EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level

1. International Eye H. Centre Certificate in Eye Health 1993 1993 CERTIFICATE

2. TransWorld Tutorial College, London Certificate in Management 1985 1985 CERTIFICATE

3. St. Thomas Aquinas University Advanced Diploma in Rural Development 1980 1981 ADV DIPLOMA

4. St. Urban University, Rome PhD (JCD) Law 1977 1981 PHD


5. Kipalapala Seminary Certificate in Theology 1974 1977 CERTIFICATE



.


- Mhhhh! mkuu Sikonge ubarikiwe unajua hata mimi sikujua kama mkuu ana CV nzito namna hii, saafi tukiwa tunaongea na facts.

Respect.


FMEs!
 


POLITICAL EXPERIENCE. ya Dr. Slaa.


Ministry/Political Party/Location Position From To

1. CHADEMA Principal Secretary 2002

2. CHADEMA Vice Chairman 1998 2002

3. CHADEMA Member of Parliament (Karatu Constituency) 1995 Todate

4. CHADEMA Member of National Executive Committee 1995 -

5. Chama Cha Mapinduzi - CCM Secretary Foreign Branch(Rome) 1980 1982
Youth Union -TANU Secretary 1974 1977

6. TANU Chairman (Kipalapala Branch) 1974 1977



.

- Sawa sawa mkuu naona hizi ni more facts, za Dr. Slaa.

Respect.


FMEs!
 
Tumaini
Jamani JF si mahali pa kutafutia mke/mme wa pili na wa tatu. Tupe nafasi tuendelee na mjadala kwa umakini uliokuwapo tangu jana.

wewe vipi unaumwa? uliombwa na nani uwe mke wa mtu?

Baija,
Mwambie huyu mtu. Ati anataka kutafutiwa mwanamke wa Kirangi maana kasikia sasa nahamia Kondoa kwa Warangi. Kashakubali kuwa anao wawili.

Huyu eti ndiye anafaa kupendekeza Rais gani anafaa Tanzania? Wanasema "niambie rafiki zako, nitaelewa wewe ni mtu wa aina gani...." Sasa huyu mkuu, hao watu anaopendekeza ni kwamba wamefulia kama kafulila. Lipumba atakuja kugombea na Ridhiwan mwaka 2025. Amini maneno yangu na wakati huo atakuwa sijui na miaka mingapi na Sijida atakuwa bado hana.
 
- Wakuu Lipumba si alikuwa mshauri wa uchumi wa Mwinyi, hebu tuwekeeni alifanya nini kuhusu uchumi wetu maana mnyonge mnyongeni, sasa tupeni facts za ushauri wa uchumi wa Lipumba ulisaidia vipi taifa?

- Halafu si Lipumba alisema Mkapa aachwe maana itavuruga amani ya taifa kumfikisha kwenye sheria, sasa huyu kweli atatufaa vipi kwenye vita vya mafisadi? Wakuu tufike mahali tukubali kutokubaliana ili tuendelee na viongozi wengine pia, lakini ikiwezekana tukubaliane nani anafaa kuwa Rais, so far mimi ninamkubali DR. Slaaa kwamba anaweza vita vya mafisadi ambavyo kwa maoni yangu ndio hasa chanzo cha kulikomboa hili taifa na kusonga mbele!

Respect.


FMEs!
 
- Mhhhh! mkuu Sikonge ubarikiwe unajua hata mimi sikujua kama mkuu ana CV nzito namna hii, saafi tukiwa tunaongea na facts.

Respect.

FMEs!

FMes,

Tupo pamoja hadi mwakani. Kila mtu atapimwa kwa mazuri na mabaya yake. Mtu akija kumchafua mwingine, tutamchafua na yeye hapahapa JF. Kama Dr. Slaa kasoma sheria, ni kwamba kasoma sheria na hakuna eti sheria ya kanisa/Catholics. Mtu anayesema hivi basi unaona kabisa ana WIVU wa anaousema Mkapa.

Data zote nilisahau kuandika zilikotoka.
http://www.afdevinfo.com/htmlreports/peo/peo_2940.html
 
Slaa ni padre aliye asi..weka rekodi vizuri, hiyo sifa ya kuwa sheikh nani aliyekwambia ni juzuu 30? which source?

Nadhani unashindwa kuelewa nini haswa msingi wa hoja yangu,halafu unaignore maswali ya msingi,Slaa ana qualifications zote za kuwa padri,lakini aliachana maswala ya upadri...Unaongopa unaposema kuwa kusoma juzuu 30 hakumqualify mtu kuwa sheick,be honest kwenye hoja utaeleweka coz unajadiliana na watu wenye uelewa wa kutosha,nilisha clarify hapo nyuma kuwa hakuna basis za kumdisqualify kwa kujifanya wewe ni "Mkristo" ambaye yuko dissapointed kwasababu Slaa aliachana na upadri na huku ukisema wakristo hao hao wanafurahishwa na yeye kuwa Rais,how come wakristo wenyewe wasimchukie kwasababu aliasi bali wewe muislam ndo uchukie?Tumia ubongo mkuu na si kamasi.
Na kwahiyo basi pointi yangu ni kwamba maisha yao relative to their religion si basis za qualification ama disqualification.
Vigezo vilivyowekwa na mtoa mada kuhusu maslahi ya Taifa taratibu unaviweka pembeni.....Unaogopa kuzungumzia uzalendo coz unajuwa ndo mojawapo ya sifa za Slaa.
 
Back
Top Bottom