Uchaguzi 2010: Masilahi Ya Taifa Kwanza!

Tumia ubongo mkuu na si kamasi.
Na kwahiyo basi pointi yangu ni kwamba maisha yao relative to their religion si basis za qualification ama disqualification.
Vigezo vilivyowekwa na mtoa mada kuhusu maslahi ya Taifa taratibu unaviweka pembeni.....Unaogopa kuzungumzia uzalendo coz unajuwa ndo mojawapo ya sifa za Slaa.

- Maneno mazito sana haya mkuu, tupo pamoja sana hapo!

Respect.

FMEs!
 
FMes,

Tupo pamoja hadi mwakani. Kila mtu atapimwa kwa mazuri na mabaya yake. Mtu akija kumchafua mwingine, tutamchafua na yeye hapahapa JF. Kama Dr. Slaa kasoma sheria, ni kwamba kasoma sheria na hakuna eti sheria ya kanisa/Catholics. Mtu anayesema hivi basi unaona kabisa ana WIVU wa anaousema Mkapa.

Data zote nilisahau kuandika zilikotoka.
http://www.afdevinfo.com/htmlreports/peo/peo_2940.html

- Mkuu Sikonge, with all due respect, nia na madhumuni yangu kuanzisha hii thread ni kuweka wazi ukweli na sio udaku wala majungu, I swear to my God kwamba hakuna udaku wala nonsense itakayopita hapa, ni facts, evidence na proven dataz, kila kiongozi atapewa nafasi ya kujua uwezo wake tena bila kujuana wala kubagua,

- Ni matumaini yangu kwamba hii thread itakuwa kifungua macho kwa wananchi ili wajue wanapokosea na wanapokuwa right, na wanapokosea wajue kosa ni lao wenyewe wananchi.

- Ni ukweli facts na dataz ndio vitasimama hapa hakuna majungu wala udaku, anayefaa tutamsema na asiyefaa atasemwa na sababu! na huu ni mjadala wa mwaka mzima ujao mpaka uchaguzi uishe! Mfano ukow azi so far jinsi facts za kum-support Salim zinavyopwaya!

Respect.

FMEs!
 
Hii thread ni nzuri jamani, watu msiifanyie masihara.

Wewe kama una data weka hapa. Kama huna, kaa pembeni wenye hoja watupe vigezo na sisi tufanye analysis.

By the way, msisahau kwamba sisi ndo wapiga kura wenyewe ati...

Viongozi wetu ndo reflection yetu sisi wenyewe wapiga kura.

Bado najutia maamuzi yangu ya mwaka 2005. Nina imani ni thread kama hii ambayo inaweza PARTLY kunipa mwangaza zaidi kufanya maamuzi yenye manufaa kwa taifa langu.

Tuendelee na mjadala.

Masanja
 
- Mkulu Masanja, kama kawaida you always have my respect pia, unajua tatizo la huu mjadala ni kwamba tunasubumuliwa na mtu mmoja ambaye kuvuruga vichwa vya watu humu JF ni furaha yake sana, binafsi ninafahamu sana tabia zake, lakini tunajitahidi sana kum-contain ingawa sometimes sio rahisi maana ana ujanja mwingi sana wa humu JF,

- Lakini in the end atashindwa maana nguvu ya wananchi wengi ni ya Mungu, tunajaribu tu kulisaidia taifa na sisi wenyewe wananchi, mjadala utaendelea tu na tutafika tunakotaka kwenda!

Respect.

FMEs!
 
Kwa wasiomfahamu vizuri, huyu hapa chini Mzee aliyeko kushoto ndiye Spika wa bunge na mbunge wa Urambo, huyu naye apewe kura unapokuja wakati wa uchaguzi, maana ni mwenzetu huyu katika vita dhidi ya mafisadi na anatufaa sana katika masilahi ya taifa, mpatie kura yako!

Respect FMES,
Six ni presidential material, no doubt about that. Lakini tatizo ni kwamba siasa za fitna mkoani mkoani Tabora na CCM taifa zinaweza kuwa kikwazo kikubwa sana kwa sisi kumpata mtu akama huyo ambaye anaweza kutusaidia sana watanzania. Pamoja na kuwa na yeye ana upungufu wake kama walivyo binadamu wengine, lakini he much better than what some people say and think of him.
Sina doubt kama nikiwekewa Six na Salim ntakuwa na wakatu mgumu wa kuchagua nani awe mkuu wa kaya. Hawa jamaa wakiwa juu hawatakubali nchi iendeshwe kiushkaji, watakuwa viongozi wa kweli ambao hata watu watawaogopa.
 
NI lazima tutambue kuwa kiongozi wetu anatakiwa awe mzalendo kwa taifa lake kwanza. Awe na uchungu na nchi yake na wananchi wake, na sio tukugeresha au kupiga domo tu lakini kazi sifuri. Wether Christian, moslem, aethiest or whatever, cha muhimu awe na uchungu na Tanznaia na uzalendo halisi na Tanzania, hata akiwa mhindi mwarabu au koko, it does not matter. Maana kuna wengine ni weusi tii na wanajiita wazalendo lakini ni wezi na hasara kwa taifa kuliko hata hao wanaoitwa koko

Lazima ajue kuwa ni kazi yake kufanya Tanzania iwe better na watanzania wawe na better life, Tanzania iwe safer na sio kufanya uzugaji na kufanya bora siku ziende. Politics of blackmail (mtandao like) haziwezi kuifikisha Tanzania popote, sana sana tutakuwa tunarudi nyuma kama sasa, na kuwa na udhaifu kwenye uongozi.

JK anashindwa kuperfom kutokana na kuwa aliingia ulingoni huku akiwa amefungwa mikono, kuna kivuli kikubwa cha Lowassa na Rostam, bado ni tatizo kubwa na inaonekana hilo tatizo linaendelea kuwa tatizo na kikwazo.

Tunahitaji mkuu wa kaya atakayetuondoa kwenye tatizo hilo.
 
Respect FMES,
Six ni presidential material, no doubt about that. Lakini tatizo ni kwamba siasa za fitna mkoani mkoani Tabora na CCM taifa zinaweza kuwa kikwazo kikubwa sana kwa sisi kumpata mtu akama huyo ambaye anaweza kutusaidia sana watanzania. Pamoja na kuwa na yeye ana upungufu wake kama walivyo binadamu wengine, lakini he much better than what some people say and think of him.
Sina doubt kama nikiwekewa Six na Salim ntakuwa na wakatu mgumu wa kuchagua nani awe mkuu wa kaya. Hawa jamaa wakiwa juu hawatakubali nchi iendeshwe kiushkaji, watakuwa viongozi wa kweli ambao hata watu watawaogopa.
====

Agreed but, kama akishindwa kuprevail, nashauri abaki ni spika kwa kipindi kingine. Mafisadi wamemjeruhi sana na hana ngozi ngumu kama Dr. Slaa.
Ana tatizo la kuchukua baadhi ya vitu at personal level na hii inamgharimu mara nyingi. Akiwa mkuu wa kaya, mashambulizi haya yataongezeka. Kwangu bado Slaa anaonekana kuwa kichwa juu zaidi.
 
Baija,
Mwambie huyu mtu. Ati anataka kutafutiwa mwanamke wa Kirangi maana kasikia sasa nahamia Kondoa kwa Warangi. Kashakubali kuwa anao wawili.

Huyu eti ndiye anafaa kupendekeza Rais gani anafaa Tanzania? Wanasema "niambie rafiki zako, nitaelewa wewe ni mtu wa aina gani...." Sasa huyu mkuu, hao watu anaopendekeza ni kwamba wamefulia kama kafulila. Lipumba atakuja kugombea na Ridhiwan mwaka 2025. Amini maneno yangu na wakati huo atakuwa sijui na miaka mingapi na Sijida atakuwa bado hana.
Endeleeni kujipa moyo huyu slaa aje kwenye majukuwaa ataanguka kwa pua...kama ndugu yake..sumaye lol.

oh mara mwanamke, mara sajida ni dalili za kuonyesha upuuzi wako..sasa facts ndiyo hizo..kasome sheria (PhD) lakini ya mambo ya kanisa..it does not work for our large community..inafaa huko huko kwao karatu..na kanisani kwake..mwambie aje..lakini ataanguka kwa pua...
 
Respect FMES,
Six ni presidential material, no doubt about that. Lakini tatizo ni kwamba siasa za fitna mkoani mkoani Tabora na CCM taifa zinaweza kuwa kikwazo kikubwa sana kwa sisi kumpata mtu akama huyo ambaye anaweza kutusaidia sana watanzania. Pamoja na kuwa na yeye ana upungufu wake kama walivyo binadamu wengine, lakini he much better than what some people say and think of him.
Sina doubt kama nikiwekewa Six na Salim ntakuwa na wakatu mgumu wa kuchagua nani awe mkuu wa kaya. Hawa jamaa wakiwa juu hawatakubali nchi iendeshwe kiushkaji, watakuwa viongozi wa kweli ambao hata watu watawaogopa.
Mkuu mimi naona six na salim ni already aged kuwa wakuu wa kaya...lol, how about young energitic candidates..
 
- Ni ukweli facts na dataz ndio vitasimama hapa hakuna majungu wala udaku, anayefaa tutamsema na asiyefaa atasemwa na sababu! na huu ni mjadala wa mwaka mzima ujao mpaka uchaguzi uishe! Mfano ukow azi so far jinsi facts za kum-support Salim zinavyopwaya!

Respect.

FMEs!

Mkuu FMES,
Facts zipi za SAS zinazopwaya??

Kwa hili nakubaliana na Mwanakijiji aliyoandika;
hawataki Salim atake Urais wa Bara kwani atashinda hands down... kwa sababu kina JK na watu wao hawawezi kucheza tena karata yao waliyoicheza 2005.
Tujadili sifa za SAS bila kumsingizia maana ukweli ni kuwa, ana sifa za hali ya juu za kuiongoza nchi yetu katika wakati huu mgumu kuliko kuliko wanasiasa wengi kama sio wote tulio nao hivi sasa.

Tatizo kubwa la Tanzania hivi sasa ni la maadili ya uongozi yanayohitaji ukarabati mkubwa, na sioni wa kumzidi SAS kwenye hilo.

Zaidi ya yote hapa natoa 7 zinazomuweka mbele ya JK na wengineo,
  1. Salim ni msafi, asiye na chembe-chembe za ufisadi, ulike Sitta na Magufuli.
  2. Salim ni msomi na mzoefu wa uongozi wa ngazi za juu, kitaifa na kimataifa, pengine kuliko mgombea yeyote anayeweza kujitokeza hivi sasa.
  3. Salim ni mchapa kazi wa hali ya juu. Mwalim Nyerere alikuwa na wachapa kazi wake wakuu watatu, Sokoine, Salim na Msuya.
  4. Sio mropokwaji kama walivyo wengi, ambao hivi sasa wana nafasi zinazowawezesha kuchukua hatua dhidi ya ufisadi lakini tunasikia kelele zaidi ya ufumbuzi.
  5. SAS analielewa tatizo la Zanzibar labda kuliko mwanasiasa mwingine yeyote aliye hai, licha ya kusingiziwa mengi. Hivyo anaweza akasaidia sana katika kuimarisha muungano na kuondoa vurugu za kisiasa zilizopo hivi sasa.
  6. Salim ameishi nchi nyingi zilizoendelea, zinazoendelea na zile duni. Kwa hali hiyo anao upeo mkubwa wa kutengeneza sera zitakazoiendeleza nchi tofauti na zile za Omba-Omba na uswahili mwingi za JK.
  7. Salim hahitaji kuzunguka-zunguka duniani kubembea wakati nchi ikiwa shidani, (ameshazunguka vya kutosha), kama afanyavyo JK na kumaliza pesa yetu chache tuliyo nayo. Tayari anaelewa jinsi diplomasia inavyotakiwa kufanyika bila kuifilisi nchi.
Sifa zake ni nyingi sana na ni bora kuliko wanasiasa wapiga kelele wengi tulio nao lakini ambao hawana ufumbuzi wa wanayoyapigia kelele.

Kazi ni kwetu kama tunahitaji kiongozi wa kweli na tusikubali wanamtandao wakatuzidi tena akili. Kama tunaona Salim atatufaa basi tuanze kumpigia debe, kumuunga mkono na yeye ajitokeze kutuonyesha kuwa yuko tayari kuipigania nchi kwa mara nyingine, hata kama ni katika umri uliosonga mbele.

Salim is "the president that we had never had"!
 
Tunawajadili 'FRONT RUNNERS' kisha siku zinavyokaribia utasikia wanazushiwa SKANDALI kuwamaliza.

Wataalamu wa Propaganda wanasema uongo ukirudiwa sana wananchi huamini ndio ukweli wenyewe, kumbukeni vyombo vingi vya habari vinamilikiwa na MAFISADI
 
Mkuu FMES,
Facts zipi za SAS zinazopwaya??

Kwa hili nakubaliana na Mwanakijiji aliyoandika;

Tujadili sifa za SAS bila kumsingizia maana ukweli ni kuwa, ana sifa za hali ya juu za kuiongoza nchi yetu katika wakati huu mgumu kuliko kuliko wanasiasa wengi kama sio wote tulio nao hivi sasa.

Tatizo kubwa la Tanzania hivi sasa ni la maadili ya uongozi yanayohitaji ukarabati mkubwa, na sioni wa kumzidi SAS kwenye hilo.

Zaidi ya yote hapa natoa 7 zinazomuweka mbele ya JK na wengineo,
  1. Salim ni msafi, asiye na chembe-chembe za ufisadi, ulike Sitta na Magufuli.
  2. Salim ni msomi na mzoefu wa uongozi wa ngazi za juu, kitaifa na kimataifa, pengine kuliko mgombea yeyote anayeweza kujitokeza hivi sasa.
  3. Salim ni mchapa kazi wa hali ya juu. Mwalim Nyerere alikuwa na wachapa kazi wake wakuu watatu, Sokoine, Salim na Msuya.
  4. Sio mropokwaji kama walivyo wengi, ambao hivi sasa wana nafasi zinazowawezesha kuchukua hatua dhidi ya ufisadi lakini tunasikia kelele zaidi ya ufumbuzi.
  5. SAS analielewa tatizo la Zanzibar labda kuliko mwanasiasa mwingine yeyote aliye hai, licha ya kusingiziwa mengi. Hivyo anaweza akasaidia sana katika kuimarisha muungano na kuondoa vurugu za kisiasa zilizopo hivi sasa.
  6. Salim ameishi nchi nyingi zilizoendelea, zinazoendelea na zile duni. Kwa hali hiyo anao upeo mkubwa wa kutengeneza sera zitakazoiendeleza nchi tofauti na zile za Omba-Omba na uswahili mwingi za JK.
  7. Salim hahitaji kuzunguka-zunguka duniani kubembea wakati nchi ikiwa shidani, (ameshazunguka vya kutosha), kama afanyavyo JK na kumaliza pesa yetu chache tuliyo nayo. Tayari anaelewa jinsi diplomasia inavyotakiwa kufanyika bila kuifilisi nchi.
Sifa zake ni nyingi sana na ni bora kuliko wanasiasa wapiga kelele wengi tulio nao lakini ambao hawana ufumbuzi wa wanayoyapigia kelele.

Kazi ni kwetu kama tunahitaji kiongozi wa kweli na tusikubali wanamtandao wakatuzidi tena akili. Kama tunaona Salim atatufaa basi tuanze kumpigia debe, kumuunga mkono na yeye ajitokeze kutuonyesha kuwa yuko tayari kuipigania nchi kwa mara nyingine, hata kama ni katika umri uliosonga mbele.

Salim is "the president that we had never had"!

Asante Sana KJ, umenena yote kuhusu Salim, wapanguaji pangueni!.
 
====

Agreed but, kama akishindwa kuprevail, nashauri abaki ni spika kwa kipindi kingine. Mafisadi wamemjeruhi sana na hana ngozi ngumu kama Dr. Slaa.
Ana tatizo la kuchukua baadhi ya vitu at personal level na hii inamgharimu mara nyingi. Akiwa mkuu wa kaya, mashambulizi haya yataongezeka. Kwangu bado Slaa anaonekana kuwa kichwa juu zaidi.
.
Aliyemsaidia JK kuukwaa urais ndiye aliyemsaidia Six kuukwaa uspika, Six katukana wakunga kupitia kamati ya Mwakiembe, King Maker kamtosa, hata huo uspika anao?.
 
Mkuu FMES,
Facts zipi za SAS zinazopwaya??

Kwa hili nakubaliana na Mwanakijiji aliyoandika;

Tujadili sifa za SAS bila kumsingizia maana ukweli ni kuwa, ana sifa za hali ya juu za kuiongoza nchi yetu katika wakati huu mgumu kuliko kuliko wanasiasa wengi kama sio wote tulio nao hivi sasa.

Tatizo kubwa la Tanzania hivi sasa ni la maadili ya uongozi yanayohitaji ukarabati mkubwa, na sioni wa kumzidi SAS kwenye hilo.

Zaidi ya yote hapa natoa 7 zinazomuweka mbele ya JK na wengineo,
  1. Salim ni msafi, asiye na chembe-chembe za ufisadi, ulike Sitta na Magufuli.
  2. Salim ni msomi na mzoefu wa uongozi wa ngazi za juu, kitaifa na kimataifa, pengine kuliko mgombea yeyote anayeweza kujitokeza hivi sasa.
  3. Salim ni mchapa kazi wa hali ya juu. Mwalim Nyerere alikuwa na wachapa kazi wake wakuu watatu, Sokoine, Salim na Msuya.
  4. Sio mropokwaji kama walivyo wengi, ambao hivi sasa wana nafasi zinazowawezesha kuchukua hatua dhidi ya ufisadi lakini tunasikia kelele zaidi ya ufumbuzi.
  5. SAS analielewa tatizo la Zanzibar labda kuliko mwanasiasa mwingine yeyote aliye hai, licha ya kusingiziwa mengi. Hivyo anaweza akasaidia sana katika kuimarisha muungano na kuondoa vurugu za kisiasa zilizopo hivi sasa.
  6. Salim ameishi nchi nyingi zilizoendelea, zinazoendelea na zile duni. Kwa hali hiyo anao upeo mkubwa wa kutengeneza sera zitakazoiendeleza nchi tofauti na zile za Omba-Omba na uswahili mwingi za JK.
  7. Salim hahitaji kuzunguka-zunguka duniani kubembea wakati nchi ikiwa shidani, (ameshazunguka vya kutosha), kama afanyavyo JK na kumaliza pesa yetu chache tuliyo nayo. Tayari anaelewa jinsi diplomasia inavyotakiwa kufanyika bila kuifilisi nchi.
Sifa zake ni nyingi sana na ni bora kuliko wanasiasa wapiga kelele wengi tulio nao lakini ambao hawana ufumbuzi wa wanayoyapigia kelele.

Kazi ni kwetu kama tunahitaji kiongozi wa kweli na tusikubali wanamtandao wakatuzidi tena akili. Kama tunaona Salim atatufaa basi tuanze kumpigia debe, kumuunga mkono na yeye ajitokeze kutuonyesha kuwa yuko tayari kuipigania nchi kwa mara nyingine, hata kama ni katika umri uliosonga mbele.

Salim is "the president that we had never had"!

- Mkuu heshima mbele, kwanza ungeweza kuweka hoja zako bila ya kunitafuta na wala hukuhitaji kutumia maneno ya Mkulu MMJ, mimi sihitaji malumbano na wewe kama unavyoyatafuta hapa, mimi nilisha-conclude siku nyingi sana kwamba Salim hana uwezo wa kuwa Rais wa Tanzania kwa sababu moja muhimu alizoea kubebwa na Mwalimu, hana ubavu wa kusimama mwenyewe, vita vya mafisadi vinahitaji kiongozi kama Magufuli au Dr. Slaa wanaoweza kusimama wenyewe,

- Mambo ya kubebwa sasa hayana nafasi tena katika uongozi tunaoutafuta kuliokoa taifa letu, majuzi Warioba na Butiku wamejaribu sana kumbeba wakidhani ile nguvu ya Mwalimu bado ipo, lakini tizama yaliyomkuta ni aibu sana. Kiongozi wa kweli na unayemsema angesimama kidete na kupambana na mtandao mpaka kieleweke, lakini akaishia kujifungia ndani na kulia, majuzi Mama Kahama naye walimpomtwanga UWT naye alijifungia ndani na kulia, unaona sasa mkuu unasema huyu ndiye atapigana na mafisadi? Maneno kidogo tu anajifungia ndani na kulia?

- Salim amekuwa Waziri Mkuu na Waziri wa Ulinzi, pamoja na nje, lakini sikumbuki anything serious alichokifanya kwa taifa zaidi ya kuwapa wananchi kusini mitumba, sitaki kusema sana kwa sababu bado ninamheshimu sana Salim as a person, lakini kuwa Rais wa vita ya mafisadi hapana!

es!
 
Magufuli 2010 au 2015? maana hawezi kutia timu 2010 hiyo itakuwa political suicide labda kama anahama chama

tuseme hivi, tutafuteni nani atagombea na JK..kutokana upinzani? m-delete huyo Slaa kwa maslahi ya Taifa e.g. umoja wa kitaifa na historia yake nimesema huyo ni sawa na sheikh kundecha agombee urais

wenye kutaka kumuuza slaa wanataka kumdanganya kama alivyodanganywa sumaye..itakula kwake..the slaa ameshafikia highest achievement akiongezewa tu -ana-burst...hawezi kabisaa huo ndio nionavyo
 
- On Magufuli, tunachojaribu kusema ni kwamba kwanza ni lazima achaguliwe na wananchi katika nafasi yoyote atakayoigombea 2010, lakini tunataka wanachi wajue kwamba hata asipopata Urais, waelewe kwamba wapo wanaouweza kama wakipewa nafasi na Magufuli ni one of them!

- Chini ni mawazo yako na yamesikika tena loud and clear!

Respect.

FMEs!
 
Mtu kama Magufuli inawezekana anaweza maana hataki mchezo. What chances does he stand? Ana nguvu kiasi gani za kujitumbukiza na yet akabaki salama?Ni kama ametupwa pembeni wabaya wake wakisubiri siku ya kuadhirika.Lakini naona nyota yake imesimama imara inang'aa mpaka leo
 
Back
Top Bottom