Elections 2010 Uchaguzi 2010: Kibonde usijifanye kujua kila kitu, tafuta wataalamu wakusaidie

Huyu ndiye Kibonde mwenyewe, nilikuwa najiuliza huyu jamaa mbona anaongea utumbo sana hapa JF mwishoe nimegundua kumbe ni Kibonde ndiye anatumia hii ID ya TEAMO. Ukifutilia michango yake hapa utaona upupu mtupu...
hii inaitwa ni NAME CALLING!Mode upo wapi???? watu wanavunja sheria huku.
 
niliwahi kuambiwa na mwanaharakati mmoja kuwa kuna baadhi ya wanachama wa jf akili zao hazina akili!.....nilitumia muda mrefu kubishia hilo lakini nimeamini kwamba I WAS WRONG!....

poleni sana great SINKERS!......
poleni kwa kutumia muda wenu kumjadili kibonde(hiyo inadhihirisha wazi kwamba AMEWABAMBA)....
poleni kwa guess works zenu za kunidhania mimi ni kibonde!....poleni sana.nasikitika kwamba taifa linawasomesha ulaya na marekani bila kujua kuwa linapoteza pesa bure!..
 
Afadhali umeamka bwana Kibonde.... Gardner G Habash hapa nakusalimia......... Habar ako bana! Ayayayayayayayayaya!!:welcome::welcome:
 
Afadhali umeamka bwana Kibonde.... Gardner G Habash hapa nakusalimia......... Habar ako bana! Ayayayayayayayayaya!!:welcome::welcome:
hahahahahaha!
nasema ASALAAAAMAAALEEEKU GADNA JII HABASH POPOTE ULIPO
 
wakuu,

naomba nianze na "request" kwa yeyote atakayeweza kupata cv ya e. Kibonde na wenzake woooote hasa gadner. Tuzipata tujue kama kweli kuna tija kuendelea kujadili hawa watu au la!! Kutokana na maneno yao tu, nilikwisha acha kusiliza vipindi vyao, maana ni mbumbumbu wa wazi wzi tu! Katika watu wanakera zaidi ni gadner, anapenda kueleza vitu wakati hajui kitu.

Hawa nawalinganisha na mapaka yanayoranda randa chini ya meza ya mlaji kutafuta makombo!! Hawa watangazaji wetu wanachekesha sana, badala ya kujitahidi kusoma sana ili kuwa na uelewa wao wanakalia kudakia dakia vitu wasivjo jua.

Kwa kuwa wanapenda makombo, laziwa wawe cheap, and so wamenunuliwa tu na mafisadi tunaopambana nao, wafikishe upupu wao kwa wapiga kura. Ni watu wasiojua walikotoka na wanakokwenda.

Mwenye cv ya kibonde please!!!

sasa kipofu unamwonyesha karatasi asome ataweza kweli ni kuachana nae tu jamani wala msipoteze muda na huyu ***** wa ccm
 
niliwahi kuambiwa na mwanaharakati mmoja kuwa kuna baadhi ya wanachama wa jf akili zao hazina akili!.....nilitumia muda mrefu kubishia hilo lakini nimeamini kwamba i was wrong!....

Poleni sana great sinkers!......
Poleni kwa kutumia muda wenu kumjadili kibonde(hiyo inadhihirisha wazi kwamba amewabamba)....
Poleni kwa guess works zenu za kunidhania mimi ni kibonde!....poleni sana.nasikitika kwamba taifa linawasomesha ulaya na marekani bila kujua kuwa linapoteza pesa bure!..

na ufahamu wako wote umeona wa kusoma ulaya na marekani ndio magreatthinkers??eeh aisee na we ni walewale kumbe
 
aaaaaahhhhh teamo

thanks for that umeoa nikupatie mzigo...jumla??
 
.....kama kawaida naona watu wamehama topic iliyoletwa hapa na kuanza kumjadili mtu......! Miafrika ndivyo tulivyo....(NN respect sana)!
 
.....kama kawaida naona watu wamehama topic iliyoletwa hapa na kuanza kumjadili mtu......! Miafrika ndivyo tulivyo....(NN respect sana)!

Ahsante homuboi wa bwanaharusi mstaafu kwa kuturudisha kwenye mada!!
 
Mtoa hoja alitaka ujumbe huu umfikie KIBONDE na hili limeshafanyika - nina imani amepitia maoni ya wachangiaji wengi tu, kazi kwake, either kujirekebisha au kuyadharau, lakini kama yana ukweli ndani yake nina imani yatamuiningia rohoni na atayafanyia kazi. hili la (Teamo = Kibonde) mimi naona si la msingi sana.
 
Back
Top Bottom