Elections 2010 Uchaguzi 2010: Kibonde usijifanye kujua kila kitu, tafuta wataalamu wakusaidie

Pipo bwana!
Mnamuona mpumbavu,mjinga...wakati mnasikiliza anachokiongea sasa na nyie si mpo kwenye kundi hilohilo....na wengine ukute mnafanya pumba ambazo hazielezeki!
Kuna watu wana mijina ya ajabu,wengine wapo humu humu halafu mnalisema jina la kibonde....!Yani pipo bwana!
Yani mtabaki kumsema kibonde hadi mchoke lakini yeye anaingiza salary yake kama kawa!
No one is perfect...Makosa yapo kwa kila binadamu.
Clouds ni radio ya watu,we kama unajiona sio mtu usisikilize tupo tutakaoendelea kusikiliza!!!
I hate CCM,lakini sidhani kama ntaacha kusikiliza kipindi cha jahazi eti kisa anaisifia CCM....Mibango ya Kikwete imebandikwa kila mahali mbona hambadilishi njia myakwepe!!!
msumari huo......!:becky::becky::becky::becky:
The Following User Says Thank You to Wa mmoja For This Useful Post:

Teamo (Today)​
 
Hawa jamaa wa Clouds nashawishika kuamini kuwa wana agenda ya siri na CCM..Mchana huu nimesikiliza kidogo kipindi chao cha XXL anatangaza Fetty na wenzie..kuna zawadi wanatoa kwa wasikilizaji na wageni waliopo nao hapo studio, mojawapo kati ya zawadi hizo ni Tshirts zenye picha ya Rais...Kuna mtotot yupo studio wamempatia wakaanza kumhoji, kuwa amepewa nini akasema Tshirt akaulizwa yenye nini..akajibu picha ya Rais..Rais gani..kikwete...Hii ni kampein straight..
 
Huyu ndiye Kibonde mwenyewe, nilikuwa najiuliza huyu jamaa mbona anaongea utumbo sana hapa JF mwishoe nimegundua kumbe ni Kibonde ndiye anatumia hii ID ya TEAMO. Ukifutilia michango yake hapa utaona upupu mtupu...
 
Asante kwa kuliona na mimi nilikuwa nafikilia hivyo duuuuh jaman una upupu inawezekana hii thread wameanzisha wenyewe
kuangalia upepo, mana watu hawampendi huyu mtu atatia kichefuchefu

Kibonde mimi namwona anafaa sana kwa kile kipindi na vingine. Watanzania wengi ni wavivu wa kusoma na kusasambua habari. Kwa namna Kibonde anavyosasambua habari inawezekana kuwafikia watu wengi zaidi na kuzielewa vema. Na ndiyo jamaa yuko maarufu sana nchini. Tofauti na mtizamo hapa.
 
Huyu ndiye Kibonde mwenyewe, nilikuwa najiuliza huyu jamaa mbona anaongea utumbo sana hapa JF mwishoe nimegundua kumbe ni Kibonde ndiye anatumia hii ID ya TEAMO. Ukifutilia michango yake hapa utaona upupu mtupu...

Asante kwa kuliona na mimi nilikuwa nafikilia hivyo duuuuh jaman una upupu inawezekana hii thread wameanzisha wenyewe
kuangalia upepo, mana watu hawampendi huyu mtu atatia kichefuchefu

Teamo
user-offline.png
JF Premium Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Kumbe huyu ndo Kibonde!!!!!
 
LONG LIVE KIBONDE!....
mimi ndo naondoka sasa naingia kwa mu-foleni nimeshapandisha sauti ya redio tayari kumsikiliza kibonde!....

kibonde ni staa manaake anajadiliwa na ''wasomi'' wa jf

HAKUNA MTU WA KUKUJADILI WEWE WATU WANATIWA KICHEFUCHEFU NA UJINGA WAKO
NIMEANGALIA RECORD YAKO HAPA JF WEW NI MTU WA TOTOZI MANA HOJA ZAKO NI KULE JUKWAA LA MAPENZI

USHAURI WABURE: KAMA HUNA MCHANGO KAA KIMYA MR SUGU kakuretea ujumbe SOMA NYAKATI
 
Huyo jamaa mie simsikilizagi kabisa. Ni bumbumbu asiyejijua kuwa ni mbumbumbu. Anaongea sana pumba. Anakera kwa kweli. Halafu Clouds ni miongoni mwa radio zilizonunuliwa na mafisadi kuupotosha umma.

Cloud wamepatiwa vijisenti kuipromoti CCM kuanzia August hadi mwishoni mwa uchaguzi. Watu kama akina Kibonde ni wale reporters uchwara. Unahitaji ujifunze investigative journalism na critical thinking kwanza, then research anything before you run your big mouth, mkuu Kibonde:A S 8:
Usiongee madudu tu ili kufurahisha mafisadi wa CCM. Acha kuwa mpiga debe wa CCM:A S 100:
 
Hao akina Kibonde lazima wajikombe kwani ile tenda ya kupeleka wasanii kwenye kampeni za JK wamepewa wao na mradi wa Malaria. Jamaa wanajikomba sana kwa viongozi wa CCM.
 
"Rais anayo mamlaka ya kuagiza matumizi ya fedha za Serikali atakavyo"[/COLOR][/FONT][/I]
Kwa maoni yangu Kibonde ana ufahamu mdogo sana wa kitu kinachoitwa Separation of Powers between the State (Serikali), Legislature (Bunge) and Judiciary (Mahakama).

Kuteuliwa kwa Dr Slaa kuwa mgombea Urais wa CHADEMA kulikuja kama mshituko kwa CCM JK na watanzania walio wengi. Na hoja yake ya kwanza wakati anafanya mikutano ya kutafuta wadhamini katika mikoa mbali mbali ilikuwa kutamka wazi wazi kuwa anazihitaji kura za wafanyakazi zilizokataliwa na mgombea wa CCM Jakaya Kikwete katika mkutano wake na wazee wa Dar es Salam Mei 2010, na akachapisha fulana zenye ujumbe huo.

Ni kutokana na pressure hizi za kuanza kwa Kampeni za uchaguzi Mkuu wa 2010 CCM, Kikwete na Serikali yake wakasalimu amri na kutoa nyongeza ya mishahara kutoka Shs 135,000/= kufika Shs 235,000/= kimya kimya. TUCTA, CHADEMA na wadau wengine wakataka kufahamishwa ni nini kinaendelea ndipo Rais akajitokeza katika mikutano ya Kampeni za CCM mkoani Mwanza kudai kuwa Serikali yake inawajali sana wafanyakazi na tayari imewaongezea mishahara.

Hoja kubwa ya Dr Slaa na CHADEMA sio wafanyakazi kuongezewa mishahara, bali wafanyakzi kutumika kama busati la kusafisha miguu na kukumbukwa baada ua upepo wa kisiasa kuwa mbaya kwa CCM na mgombea wake Jakaya Kikwete. Tujiulize kwa mtirirko uliotajwa hapo juu, iwapo vyama vya siasa vingesimamisha watu wasio makini kama Dr Slaa katika nafasi ya Urais, nyongeza ya mishahara iliyokuwa ikipigwa danadana kwa miaka minne kutoka 2006 na iliyotolewa wakati wa kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu ingepatikana?

Sambamba na hilo Dr Slaa na CHADEMA wanahaji kitendo cha Rais na Serikali yake kukikuka Kanuni na Taratibu za Fedha za Serikali. Ni Naomba wana JF wanaofahamu mipaka ya Rais kuagiza matumizi ya fedha za umma wakati usiokuwa wa dharura (emergency) bila ya kupata idhini ya bunge watusaidie kumhabarisha Kibonde kupitia hapa

Sijui kwa undani lakini asichojua Kibonde ni mgawanyo wa madaraka kama ilivyoelezwa hapo juu. Kwa uchache sana, matumizi ya serikali yanaidhinishwa na bunge, ndio maana bungeni waliidhinisha matumizi ya ikulu na hata vyombo vya usalama. Kama rais angekuwa na uwezo wa kutumia pesa atakavyo, ni kwanini serikali iliomba pesa za ukarabati wa ikulu na matumizi mengine?
Hata hivyo Rais ana nguvu za kisheria kuidhinisha matumizi ya pesa katika dharura kwa kitu kinaitwa [Executive power]. Dharura [emergency] inaelezwa kuwa ni pamoja na mambo ya usalama wa taifa na majanga yasiyotarajiwa ambayo udharura wake huotoi nafasi kwa taratibu za kawaida kufuatwa, kwa uchache tu. Kuongeza mishahara halikuwa jambo la dhahrura,lakini pia linaweza kuhojiwa, ni kutoka fungu gani lililoidhinishwa na bunge nyongeza hiyo imepatikana!!!!
Wanacholalamika Chadema si ongezeko la mishahara kama inavyobadilishwa. Wana hoja ya kuwa taratibu za kuidhinisha nyongeza hazikufuata taratibu na kibaya zaidi suala hili limefanywa katika mikutano ya kisiasa hasa baada ya chadema kuichukua kama hoja. Hapa kuna ukiukwaji wa kanuni za uchaguzi ambao CCM wenyewe wameridhia. Ukiukwaji huu ndio umesababisha kukiukwa kwa taratibu kwa sababu Wafanyakazi walionekana kuwaelewa chadema zaidi, na hakukuwa na njia ya kujibu mapigo[counter attack] isipokuwa kuongeza mishahara bila utaratibu na ukiukwaji wa sheria za uchaguzi.
Tatizo la vyombo vyetu vya habari ni kukosa wataalam katika fani ya uandishi wa habari. Hata kama kibonde angekuwa na utaalam bado aliwajibika kuwasiliana au kuwakaribisha wataalam wa mambo ya sheria ili kufafanua na sio kuwafanya wasikilizaji waamini maoni yake. Pamoja na hayo Kibonde hakutumia kanuni za asili '' natural justice'' kwa kuwasikiliza Chadema nao. Kwa wale wanaoangalia TV au kusikiliza radio zilizokwenda school, pande husika hupewa nafasi ya kusikilizwa.
Na mwisho kama CCM walifuata taratibu, basi watueleze kwa kutumia kumbukumbu gani za bunge ''Hansard'' wapi jambo hili lilikubaliwa na bunge.
Endapo 'rais anaweza tumia pesa atakavyo, kama kibonde anavyoamini, ni kwanini tuwalipe watu 320 kwa siku 60 pale Dodoma kupitia makadirio ya fedha '' Budget'' ? Kibonde jiulize na utafakari kama una uwezo huo.
 
Huyu ndiye Kibonde mwenyewe, nilikuwa najiuliza huyu jamaa mbona anaongea utumbo sana hapa JF mwishoe nimegundua kumbe ni Kibonde ndiye anatumia hii ID ya TEAMO. Ukifutilia michango yake hapa utaona upupu mtupu...

Asante kwa kuliona na mimi nilikuwa nafikilia hivyo duuuuh jaman una upupu inawezekana hii thread wameanzisha wenyewe
kuangalia upepo, mana watu hawampendi huyu mtu atatia kichefuchefu

Teamo
user-offline.png
JF Premium Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Kumbe huyu ndo Kibonde!!!!!

HAKUNA MTU WA KUKUJADILI WEWE WATU WANATIWA KICHEFUCHEFU NA UJINGA WAKO
NIMEANGALIA RECORD YAKO HAPA JF WEW NI MTU WA TOTOZI MANA HOJA ZAKO NI KULE JUKWAA LA MAPENZI

USHAURI WABURE: KAMA HUNA MCHANGO KAA KIMYA MR SUGU kakuretea ujumbe SOMA NYAKATI
:confused2::confused2::confused2::fencing::fencing::fencing:
 
Huyu ndiye Kibonde mwenyewe, nilikuwa najiuliza huyu jamaa mbona anaongea utumbo sana hapa JF mwishoe nimegundua kumbe ni Kibonde ndiye anatumia hii ID ya TEAMO. Ukifutilia michango yake hapa utaona upupu mtupu...
duh, teamo kawa kibonde?
 
LONG LIVE KIBONDE!....
mimi ndo naondoka sasa naingia kwa mu-foleni nimeshapandisha sauti ya redio tayari kumsikiliza kibonde!....

kibonde ni staa manaake anajadiliwa na ''wasomi'' wa jf

HAKUNA MTU WA KUKUJADILI WEWE WATU WANATIWA KICHEFUCHEFU NA UJINGA WAKO
NIMEANGALIA RECORD YAKO HAPA JF WEW NI MTU WA TOTOZI MANA HOJA ZAKO NI KULE JUKWAA LA MAPENZI

USHAURI WABURE: KAMA HUNA MCHANGO KAA KIMYA MR SUGU kakuretea ujumbe SOMA NYAKATI
Kachanchabuseta
user-offline.png
Senior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
Join Date Thu Mar 2010
Posts 61
Thanks : 32
Thanked 15 Times in 12 Posts
Rep Power21

:confused2::confused2::confused2::confused2:
 
duh, teamo kawa kibonde?
Siyo kibonde tu..... bali pia......soma hiyo red hapo:

HAKUNA MTU WA KUKUJADILI WEWE WATU WANATIWA KICHEFUCHEFU NA UJINGA WAKO
NIMEANGALIA RECORD YAKO HAPA JF WEW NI MTU WA TOTOZI MANA HOJA ZAKO NI KULE JUKWAA LA MAPENZI

USHAURI WABURE: KAMA HUNA MCHANGO KAA KIMYA MR SUGU kakuretea ujumbe SOMA NYAKATI

Magriit thinkaz bana samtaimz wananifanya niwe :confused2::confused2::confused2::confused2: sana!!!
 
Huyu ndiye Kibonde mwenyewe, nilikuwa najiuliza huyu jamaa mbona anaongea utumbo sana hapa JF mwishoe nimegundua kumbe ni Kibonde ndiye anatumia hii ID ya TEAMO. Ukifutilia michango yake hapa utaona upupu mtupu...

Nadhani turejee kanuni za JF kwenye name calling....

just thinking aloud
 
Huu ndio wakati wa watu kujipendekeza hasa kwa chama fulani ili mradi mkono uingie kinywani bila kujali nini au kipi mtu unafanya au kusema,hivyo Kibonde si wa kwanza kufanya hivyo.
 
Alafu huyu dogo anataka kufuata nyayo za akina salva rweyemamu za kuonewa huruma..........ytaani anaongeaga pumba sana na bila kutafakali...alafu ni mbishi wa kuzaliwa kitu ambacho ni ujinga mkubwa kwake.........jitahidi kaka km jk alivyosema vyeo vya mbumbumbu km yeye vipo tu kwa hiyo nawewe unatafuta nafasi ulizotegeshea kwa makusudi makubwa.................
Alafu anakebehi mbaya sana..........unajua mwisho wa siku tutaanza kutafutana ubaya hapa tz km wajinga kama kibonde wataendelea kuwahadaa watz eti kwa kuwa tu ananafasi ya kutumia redio ya clouds................watch out....najua uko tayari ufe ili mradi tu utetee mafisadi na clouds inaendelea kujipambanua kuwa taasisi ya ccm taratibu kutokana na upuuzi wa kibonde......acha sheria zifuate mkondo wake badala ya blabla zako...................
 
Back
Top Bottom