Elections 2010 Uchaguzi 2010: Kibonde usijifanye kujua kila kitu, tafuta wataalamu wakusaidie

Name calling aside.

TEAMO=KIBONDE=TEAMO.

AKIBISHA NA OPEN ZE FILE YAKE HAPA.

Namjua sana huyu XXXXX.

Jamaa nasikia ana ngoma long time

sasa huu ndio udhaifu mkubwa kwa jf member kama wewe!
kuwa na ''ngoma'' kunahusiana vipi na hoja tajwa hapo juu?
yaani mfukunyuzi unadhihirisha wazi PERSONAL JEALOUS NA PERSONAL HATE KWA HUYO KIBONDE!ngoma?what is ngoma so far?ukiwa na ngoma then what?halafu vere siriaz unasema NASIKIA ANA NGOMA....

too low my broda/sista

Wewe nawe memba wake nini kuwa na ngoma sio tatizo ila tatizo ni kusambaza ngoma kwa makusudi, rejea wimbo wa Sugu Antivirus

Mmmmmh:fencing::fencing:

kazi kweli kweli
 
"Enezeni ujumbe, tuko kwa ajili ya kushinda siyo kusindikiza. Wahamasishe wengine, kama unatuunga mkono eneza ujumbe kuwa rangi yetu ya kuhamasisha wapiga kura ni nyeupe, alama ya amani, uadilifu, usafi na utayari wa kuwatumikia Watanzania! Vaa shati jeupe, pepea bendera nyeupe! Na rangi nyingine za kawaida za Chadema zinatumika" - Dr. Wilbroad Slaa
47895_151481978204935_148053981881068_370486_182598_s.jpg
 
Mama Mdogo kwani ulikuwa hujui kama Kibonde ni mgonjwa, of course ana ugonjwa wa kuambukiza (HIV +) na kama alivyosema msemaji hapo juu kuna watu wanasubiri sheria za kuambukiza HIV kwa makusudi, wadada watampeleka mahakamani kwa kuwaambukiza.

Namshauri asipigie chama chochote debe akae kimyaaaaa tuuu!!!! anaweza kuongea mambo ya vyama anapotoka redioni, yaani asipokuwa hewani.
Jana pia nilimsikia anaongea ujinga ujinga fulani hivi. Atakuwa ameishapewa pesa na vigogo mafisadi wa CCM. Ndiyo maana anawafagilia sana.
 
Halafu anakuwa mbishi na hapendi kuachia wengine waongee. Really hiyo redio ina shida. Siku hizi nimeacha kusikiliza hicho kipindi cha JAHAZI.
 
Jamaa nasikia ana ngoma long time
:confused2::confused2::confused2:

Wewe nawe memba wake nini kuwa na ngoma sio tatizo ila tatizo ni kusambaza ngoma kwa makusudi, rejea wimbo wa Sugu Antivirus
:confused2::confused2::confused2:

Haki ya Mungu JF sasa imefikia mahali pake. Sikujua siku hizi SUGU akisema basi ndio limekuwa NENO LA MUNGU!!:confused2::confused2::confused2:

Kwamba tuamini Kibonde ana ngoma na anaisambaza makusudi kwa kuwa SUGU amesema??:confused2::confused2::confused2:
 
...huu si wakati wa kwenda Cuba tena kubembea kwenye bembea a au wa kuwadis watanzania waishio uningereza na Kwenda kuangalia mechi ya mpira wa miguu...ni wakati wa Kujadili mustakabali wa taifa letu na vizazi vijavyo ...TUFUNGUKE MACHO YETU
 
Wewe umepima?

Hahahaha hommie bana wewe je vp afya inaruhusu?
Kibonde mm nampenda sana anavyo ongea jioni lazima niwe na headphone nasikiliza Jahazi nakula huku nachanja mbuga na tuktuk huwa anafrahisha sana kwa kweli any way watu tuna mitazamo tofauti mm huwa anaiweka siku yangu iishe vizuri.
 
..huu si wakati wa kwenda Cuba tena kubembea kwenye bembea au wa kuwadis watanzania waishio Nchini Uingerezac waliotaka kuongea na kiongozi wao na Kwenda kuangalia mechi ya mpira wa miguu...ni wakati wa Kujadili mustakabali wa taifa letu na vizazi vijavyo ...TUFUNGUKE MACHO YETU
 
Hahahaha hommie bana wewe je vp afya inaruhusu?
Kibonde mm nampenda sana anavyo ongea jioni lazima niwe na headphone nasikiliza Jahazi nakula huku nachanja mbuga na tuktuk huwa anafrahisha sana kwa kweli any way watu tuna mitazamo tofauti mm huwa anaiweka siku yangu iishe vizuri.

Hebu soma hapa chini mpwa:

The Following User Says Thank You to Fidel80 For This Useful Post:

Asprin (Today)
 
Mama Mdogo kwani ulikuwa hujui kama Kibonde ni mgonjwa, of course ana ugonjwa wa kuambukiza (HIV +) na kama alivyosema msemaji hapo juu kuna watu wanasubiri sheria za kuambukiza HIV kwa makusudi, wadada watampeleka mahakamani kwa kuwaambukiza.

Namshauri asipigie chama chochote debe akae kimyaaaaa tuuu!!!! anaweza kuongea mambo ya vyama anapotoka redioni, yaani asipokuwa hewani.
Jana pia nilimsikia anaongea ujinga ujinga fulani hivi. Atakuwa ameishapewa pesa na vigogo mafisadi wa CCM. Ndiyo maana anawafagilia sana.

Hii ndio Tanzania tuishio na hawa ndio watanzania wenzangu!!:confused2::confused2::confused2:

Hebu temeni mate chini ili hii laana inayoliandama taifa letu kwa sababu ya makufuru yenu kama haya, Mwenyezi Mungu apate kuyapunguza na kuyasamehe kabisa.:welcome::welcome:
 
Hebu soma hapa chini mpwa:

The Following User Says Thank You to Fidel80 For This Useful Post:

Asprin (Today)

Unajua hako kabatani siku hizi kanapotea potea kama sinavyo adimika valuu.
Kibonde kwakweli yupo juu kwa kuongea na mvulia kofia najua upo hapa kweli upo juu.
 
Unajua hako kabatani siku hizi kanapotea potea kama sinavyo adimika valuu.
Kibonde kwakweli yupo juu kwa kuongea na mvulia kofia najua upo hapa kweli upo juu.

Hapo mpwa naona umeteleza na wala haina uhusiano wowote na matumizi ya mbege.:welcome::welcome:
 
Back
Top Bottom