Elections 2010 Uchaguzi 2010: Kibonde usijifanye kujua kila kitu, tafuta wataalamu wakusaidie

Ninadani wa kunyoshea kidole ni pamoja na mgt ya clouds fm ambao wanashindwa kuweka utaratibu wa nini kizungumzwe ktk jahazi na mipaka ya watangazaji wao kwa maana ya kutolisha umma wa wasikilizaji maoni yao binafsi bali wa "facilitate" mijadala. Huyu kibonde nilianza kumtilia shaka alipoponda umuhimu wa kujifunza na kujua lugha zaidi ya kiswahili na jana ndo kabisa.
 
Acheni chuzi zenu binafsi Kibonde wa watu mnamchukia tuu bure! mi nadhani wengine hapa mnamchukia kwa sababu labda aliwahukulia marlfriend wenu au mlimtaka akawatolea nje n.k ...hizo ni chuki binafsi....kibonde kaajiriwa na katika hicho kipindi anatakiwa aweke na ukomedian ndani yake sasa kila mtu ala kazini kwake jamani!! hebu mwacheni Kibonde endeleza libeneke usiogope umeandikwa kwenye jamiii we endelea baba tuko pamoja....folen ya bongo lo tunaweza kusinzia huko manjian tukagonga magari yetu...well done Kibonde....big up bro tena jioni tukutane samaki samaki tupate moja mbili bariidiiii waache waendelee kubwabwaja tuu hapa jamiiii....

Utawajua tu wanaojikomba komba!
 
great sinker in action... sinking
 
Hapa ma griit thinkaz wanamjadili Kibonde...............!!!:confused2::confused2::confused2:

Long Live JF!!
 
akili ya mbayuwayu changanya na ya kibonde!kazi kweli kweli
 
........niliacha kusikiliza kipindi cha jahazi kwa sababu ya Kibonde. I may resume tuning it on when he leaves broadcasting it. Kama kuna jambo analoshabikia huwa anachonga sana...mbaya zaidi huwa anatawaliwa na majungu zaidi,hapati muda wa kufanyia utafiti jambo. Kuna namna nyingi za bootlicking ila ya huyu Kibonde imezidi.
.....hey...hold on a second.....his name is Kibonde.....in swahili it sounds something numb,something brainless,....isn't it?

Yaani kweli ndio maana vidole havilingani.....!

Mimi nilianza kusikiliza na wala sitaacha kusikiliza Jahazi kwa sababu ya Kibonde!!:welcome::welcome::welcome:
 
"....Mungu ameumba wapumbavu na wenye akili, sasa mimi ni nani hata nimpinge?..."

JKN (1986 - responding to allegations in the Kenyan Media that he was planning to overthrow Mwinyi & Moi's regimes).

Let's live with the Kibondes of this world but we should never forget that we have a duty to our country and the future generations.

Kusema kila anacho kijadili Kibonde ni pumba ni kama kumsifia. Yeye kama yeye ndio pumba zenyewe.
 
aisee imebidi adi nitafute huyu jamaa ni nani?mbona anasemwa sana?
anyway nimeelewa
na sishangai kwa vyombo vya habari kutumika kivyovyote na yoyote kipindi ichi cha uchaguzi,kama tu wanavaa jezi za vyama mnategemea nini?
suala ni kupigiga kura yako kwa umtakaye
 
Nilifikiri nimekeleeka mimi tu, mpaka nililazimika kubadilisha radio station, kama anataka kujinga na siasa na kujibu mapigo ya CHADEMA aende jukwaani sio redioni tena clauds, au na hii imekuwa redio uhuru,?

Sisi huwa tunasikiliza redio clauds ili tupate masuala mengine tofauti na siasa, sasa inakuwaje ?
 
Joseph Kusaga i hope hii forum itakufikia....

Unapoteza wasikilizaji kwa sababu ya upuuzi wa watangazaji wako. Kama Clouds ni kwa ajili ya wapenzi wa CCM weka wazi mapema au mjiunge na RADIO UHURU tujue moja!!
 
Kwani yeye Kibonde nani mpaka asijadiliwe.Na kama anatafuta umaarufu kwa lazima ndio ameupata sasa.

Hivi kumbe anaweza kumaliza muda mwingi namna hii wa magriit thinkaz kumjadili?:confused2::confused2::confused2:

Kweli nchi itajengwa na wenye moyo..... Mkimmaliza Kibonde tafadhalini anzeni na mjadala wa kumjadili Asprin:welcome::welcome::welcome:
 
Mpka ajirekebishe na tabia zake......na wenye moyo ni pamoja na wale wanaoelewa athari za maneno katika jamii.......
Sasa wewe tukujadili kwani umeongea nini? ongea kitu afu tuanze kukujadili...
 
Nafikiri anakuwa anahisi labda yuko kwenye shughuli za harusi anaongea anavyotaka na anavyojisikia kifupi naona kuwa MC kwenye harusi ndio kuna mfaa zaidi huku kwingine ana shadadia tu bila kujua anachoongea ili mradi wakubwa wamsikie nae wampe tenda za kuwa MC
 
Pipo bwana!
Mnamuona mpumbavu,mjinga...wakati mnasikiliza anachokiongea sasa na nyie si mpo kwenye kundi hilohilo....na wengine ukute mnafanya pumba ambazo hazielezeki!
Kuna watu wana mijina ya ajabu,wengine wapo humu humu halafu mnalisema jina la kibonde....!Yani pipo bwana!
Yani mtabaki kumsema kibonde hadi mchoke lakini yeye anaingiza salary yake kama kawa!
No one is perfect...Makosa yapo kwa kila binadamu.
Clouds ni radio ya watu,we kama unajiona sio mtu usisikilize tupo tutakaoendelea kusikiliza!!!
I hate CCM,lakini sidhani kama ntaacha kusikiliza kipindi cha jahazi eti kisa anaisifia CCM....Mibango ya Kikwete imebandikwa kila mahali mbona hambadilishi njia myakwepe!!!
 
LONG LIVE KIBONDE!....
mimi ndo naondoka sasa naingia kwa mu-foleni nimeshapandisha sauti ya redio tayari kumsikiliza kibonde!....

kibonde ni staa manaake anajadiliwa na ''wasomi'' wa jf
 
Back
Top Bottom