Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 12,890
- 11,356
Chicken has come home to roost!
Naomba nitumie hii nukuu kutoka kwa Michuzi. Hivi tutamlaumu nani? Mwenye nyumba, diwani, katibu kata, meya, halmashauri, mbunge, DC, mkuu wa mkoa Waziri wa afya, Nyumba, Tamisemi, Mazingira, miundombinu, Waziri Mkuu au Raisi?
Hivi tukipata mlipuko wa kipindupindu tutapona?
http://issamichuzi.blogspot.com/2008/03/mjadala-pepe.html
Mwenye utaalamu wa kuweka picha hii ya maji machafu mtaani Mwananyamala baada ya mvua naomba aiweke hapa ukumbini!
Taifa la watu waliozoea uchafu, ni taifa la watu wachafu hata kama wananukia manukato
Mkuu MMJ,
Very strong quote, I like it! Nina wasi wasi kuwa ustaarabu wa uchafu tumeurithi toka kwa wahindi au waarabu, maana ukienda huko hutaaamini utakayoyaona kuhusu uchafu, pamoja na kwamba hali yao ya hewa sio kama yetu, kisiasa matatizo mengi ya taifa huanzia majumbani mwa wananchi wa lile taifa, kama taifa letu ni chafu, basi sisi wananchi ni wachafu tenma zaidi ya taifa, hakuna way out au around it!
great point mzee, lakini siamini kwamba haya matatizo tumeyarithi, ni kwamba hivyo ndivyo watanzania tulivyo ! na usafi/uchafu has no excuse ! Everyone should bare the blame !
Jamani uchafu tumejitengenezea wenyewe:
`Most Dar houses direct sewage into rivers, ocean during rains`
2008-04-01 08:59:59
By Angel Navuri
Most residential houses in Dar es Salaam reportedly drain their sewage to rivers and streams that lead to the ocean during the rainy season due to lack of main chambers, `The Guardian` has learnt.
A week-long survey carried out in various parts of the city, including Sinza, Kinondoni, Manzese, Mbezi Beach and Buguruni has shown that a large per cent of city dwellers drain sewage from their houses through small chambers, something which experts say is not technically advisable.
In an interview, Omar Hassan, a resident of Manzese admitted that most houses lack main chambers for sewage disposals, and are reluctant to pay for hired draining facilities.
``As a way of avoiding the cost of draining the facilities, these people have developed a disposing off sewage during the rain season,`` he said.
People who have constructed main sewage chambers, according to Hassan, are also involved in draining wastes during the rain season, he added.
Mariam Mhina, who resides at Mbezi Beach explained that landlords who build main chambers, but do not drain sewage through the system, but wait until the rain season to flush them.
observers say this careless diposal of sewage could be the main cause of diseases such as cholera and diahrea.
``House owners are not ready to incur costs of draining the chamber it is because of this that they do it during rain seasons, causing environmental pollution and other related problems,`` said Mhina.
Buguruni resident, Mohamed Saidi, blamed the Dar es Salaam City Council and the Ministry of Lands and Housing Settlements for the unplanned construction and the eventual sub standards structures in Dar es Salaam.
The survey has also extablished that it has always been a problem to control those who liter the city environs through this form of sewage disposal.
Tomson Msangi from Kinondoni told this paper that thorough and weekly-inspections by public health officers of the environs was crucial to enable people live in tidy circumstances.
``At the moment, public health officers are not doing their work. That`s why the problem has been going on unabated,`` he said.
Responding to this state of affair, Health and Social Welfare deputy minister Aisha Kigoda explained that serious measures would be taken against people found draining sewages during the rain season.
Kigoda explained that the government was aware of the problem but was waiting for amendment of the Public Health Act 2007, expected to incorporate related issues.
SOURCE: Guardian
Ni chamber baada ya septic tank,(note sio seepage tank) ambayo mara nyingi huwa na maji tu without sludge..
Itakuwa ni Soak Pit? Au ni tanki tu la kukusanya yatokayo kwenye septic tank bila kuyaruhusu yasambae kwenye udongo? Soak pit bila weep holes!
In an interview, Omar Hassan, a resident of Manzese admitted that most houses lack main chambers for sewage disposals, and are reluctant to pay for hired draining facilities.
Wana Jf Kwa Kweli Hali Ya Usafi Katika Miji Yetu Inatisha. Miji Imejaa Takataka Kila Sehemu. Mifuko Ya Plastic Imezagaa, Karatasi Zimetupwa Ovyo, Watu Wanadiliki Kula Vitu Kama Ndizi Mbivu, Miwa, Mahindi Yaliyopikwa Au Kuchomwa Na Kutupwa Ovyo Bila Kujali Usafi, nimeona hata wengine wakila pipi na kutupa vijikarasi vyake ovyo, wengine ununua hata karanga na kutupa vijigazeti vilivyofungia karanga hizo. Miji Mingi Haina Vifaa Vya Kuwekwa Takataka Hivyo Kila Mtu Utupa Taka Taka Popote Alipo. Watu Hawaoni Tena Kama Kuna Sababu Ya Kujali Usafi Wa Miji Yetu. Miji Mingi Haifagiliwi Na Ile Inayofagiliwa Hii Ufanyika Mchana Na Kuleta Usumbufu Kwa Wapita Njia. Kuna mji ambao nilikuta maji taka yakiachiwa kutiririka katika barabara na katika mitaa na makazi ya watu. Je Usafi Wa Miji Yetu Tanzania Inahitaji Pesa Za Kigeni? Halmashauri Za Miji, Manispaa Za Miji Pia, Na Hata Majiji Mwafanya Nini Kama Uchafu Umesambaa Kila Mahali? Tufanye Nini Ili Tutunze Usafi Wa Miji Yetu? Hili Linanikera
charity begins at home. wangapi waamka na kundoka bila kutandika kitanda? wangapi wanaacha vyombo vichafu mezani ama vimelundikana kwenye sinki? wangapi wanakula bila kunawa? ( the opposite is quite funny: kunawa bila kula!)? wangapi wanatoka msalani na kuendelea na shughuli zao bila kunawa? wangapi wanaenda msalani na kutoka bila kuflash?
tujikumbushe singapore: baada ya udhia na kadhia iliyosababishwa na jojo (chewing gum) serikali iliamua kupitisha na kutekeleza kwa ukali sheria iliyopiga marufuku jojo singapore. umeshawahi kukalia kiti cha daladala na kusimama na mnato wa jojo kwenye makalio?
tukubaliane kwamba usafi ni kigezo kimojawapo cha kuzingatia wakati wa ku design makazi na namna ya kuishi. nimebahatika kutembelea 'mahekalu' kibao yaliyojengwa dar es salaam. good design and everything. lakini uchafu kuanzia barabara mbovu, mifereji iliyoziba, bustani zisizo na mbele wala nyuma na masinki meupe yaliyogeuka rangi ya 'ugoro'.i.e. deep brown! halafu mtu mzima na akili zake ndipo anapotokea hapo kila kukicha na suti ya kufa mtu, driving a bmw.nini kinamzuia asishushe kioo na kutema mate au kupenga kamasi barabarani? afterall alipotoka msalani asubuhi hakuflashi! hana utamaduni huo!!
je leo hii twaweza kutamba kifua wazi ( ladies this option not for you!!) kwamba 'tanzania bila kipindupindu yawezekana'? i can here a very loud msonyo...'thubutu'!!!!!
Hili swala litashughulikiwa kwa makini zaidi na serikali za mitaa kuliko serikali kuu.[/QUOTE]
Na kama miji haiwajibiki je, nani awawajibishe? tukae kimya? nani anawajibika uongozi wa miji unapokuwa haukufanya maukumu yake? Je ni hawa madiwani ambao wanashabikia mambo ya siasa tu bila kujali majukumu yao mengine? Nani tumuwajibishe kuhusiana na uchafu uliokithiri mijini?